Elimu ilifia Chuo Kikuu au ilizikwa chuo kikuu?

basi sawa,
songa mbele kulaumu na kulalaama acha na wengine wasonge pia kwa uhuru...

Kumbuka kuna madhara kisaikolojia na kiroho ukikaza na kushupaza sana shingo kwa uchungu.

Usichakaze nafsi, akili na fikra kwa kuchochewa au kuhemshwa na mirengo ya kisiasa au utofauti wa fikra au kukataliwa kuungwa mkono.

Inauma ila itabidi uzoee tu
Tazama Nina muda gani hapa jukwaani na ww una muda gani, na kama Kuna popote nimewahi kujipendekeza kwa yoyote. Na kwa taarifa yako Niko happy vibaya mno. Na sijawahi kutoa pumzi kwa chawa wa aina yenu. Na huko kuungwa mkono unakokusema sijui hata ni kupi. Labda unionyeshe ww wanaokuunga mkono ili nione jinsi ambavyo Mimi siungwi mkono.
 
suala la kua na muda mrefu au mfupi humu JF si muhimu.

Ile ya maana ni articles na arguments zako zina Contents zinazo make sense ? au ni kubishabisha na kwa muhemko kubeza walio tofaut na mawazo yako bila kua na impact yeyoyete.
Sasa hapo hata ungekua umejiunga 10 yrs ago inabaki haina maana yeyeote.
Alie jiunga jana anaweza kua na maana zaidi ya alie jiunga 10yrs a go kama content zake zina maudhui ya maana.

Hicho umejiunga lini sio kichaka cha kujifichia, itafahamika tu.

🤣mie sihitaji kuungwa mkono ndio maana siwezi kuita mtu mpumbavu au hajielewi kisa anaunga mkono upande ule au huu. Na hata kama haungani na fikra na mtazamo wangu kwenye masuala mbalimbali.

Ile mimi nafaidi sana hapa ni kujifunza, kuongeza ufahamu na uelewa wangu dhidi ya mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya wanafamilia ya JF. Ikiwa ni pamoja na wew Tindo, nimekuelewa mbaya sana, nimeelewa mtazamo, mawazo na mrengo wako mbaya sana. Na kwakweli nimejifunza vitu vingi sana...
Shukrani sana
 
Waambie Bagonza na Jenerali Ulimwengu kwamba wao ni mfano mzuri wa waliyoyaandika. Kwamba baada ya kumaliza chuo kikuu walienda kuua elimu kuanzia ya msingi na kuendelea kama wanavyodai kwani wao walimaliza mapema. Ikitokea kuwajibishwa wao ndio wa kwanza. Mkumbushe Jenerali Ulimwengu kwamba Joseph Sinde Warioba na yeye walipigwa/walichapwa bakora Ikulu na mwalimu Nyerere kwa kauli kama hizo, hivyo asisahau.
Usichanganye madesa. Hilo group la viboko lilikuwa na akina Mwabulambo na Sitta!!
 
Vyuo havijawahi kutengeneza wanasiasa na viongozi makini. Kama ingekuwa hivyo tusingekuwa hapa tulipo. Vinazalisha takataka toka zamani.
 
Usichanganye madesa. Hilo group la viboko lilikuwa na akina Mwabulambo na Sitta!!
Fanya tena rejea. Ukiacha hiyo, nazungumzia pia kauli kwamba elimu ilifia vyuo vikuu au ilizikwa chuo kikuu. Ulimwengu ni zao la chuo kikuu, tena cha Dar es Salaam. Kwa kauli yake, yeye ni sehemu ya aliyoyazungumza kwani alisoma na akamaliza chuo kikuu. Tuanzie hapo.
 
suala la kua na muda mrefu au mfupi humu JF si muhimu.

Ile ya maana ni articles na arguments zako zina Contents zinazo make sense ? au ni kubishabisha na kwa muhemko kubeza walio tofaut na mawazo yako bila kua na impact yeyoyete.
Sasa hapo hata ungekua umejiunga 10 yrs ago inabaki haina maana yeyeote.
Alie jiunga jana anaweza kua na maana zaidi ya alie jiunga 10yrs a go kama content zake zina maudhui ya maana.

Hicho umejiunga lini sio kichaka cha kujifichia, itafahamika tu.

🤣mie sihitaji kuungwa mkono ndio maana siwezi kuita mtu mpumbavu au hajielewi kisa anaunga mkono upande ule au huu. Na hata kama haungani na fikra na mtazamo wangu kwenye masuala mbalimbali.

Ile mimi nafaidi sana hapa ni kujifunza, kuongeza ufahamu na uelewa wangu dhidi ya mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya wanafamilia ya JF. Ikiwa ni pamoja na wew Tindo, nimekuelewa mbaya sana, nimeelewa mtazamo, mawazo na mrengo wako mbaya sana. Na kwakweli nimejifunza vitu vingi sana...
Shukrani sana
Sasa unapong'ang'ania kuungwa mkono unamaanisha Nini? Huo muda wa Mimi kuwa hapa nimekupa kama intro tu ujue kwamba haya ninayosema ni msimamo wangu wa muda mrefu, na Wala sio jambo la juzi ww ulipojiunga.

Hilo suala la kuwaita chawa Wala sio la kuwabeza maana maana mnajiita hivyo hadharani bila aibu. Kama unaheshimu kutofautiana mawazo, kipi kinakuliza wakati haya tunayotoa ndio utofauti wenyewe wa mawazo?

Na kwa taarifa yako sio kubeza tu Bali ni kupuuza kabisa. Kama unadhani Kila mtu atasifia au kuunga mkono kwa utashi wenu nyie chawa hilo sahau. Kama umeamua kuvumilia mitazamo tofauti, vumilia tu. Vinginevyo ukimbukie kama wenzio waliopewa kazi ya kusifia humu ndani.
 
mie sihusiki na maswala ya unyumbu, sijiu ukibaraka, uchawa, au undakindaki wa kushupaza shingo, kubeza hoja ya mtu au mtazamo wake.
From there mie yangu ni kuchota maarifa na ujuzi ili kuongeza ufahamu na uelewa wangu. Pengine ni mdogo na siwezi kua najua kila kitu na kwahiyo hii platform mie naitumia zaidi kuongeza kitu kidogo kakujifunza ni hiyo tu.....

we kama umejiunga tangu 2010 ama kabla ya hapo na alie jiunga jana au leo that is none of my business, I think to me content yake ni muhimu zaidi kuliko amejiunga lini.

Thus why nimeshukuru mno hata kujua mrengo wako kulingana na tones of your articles, contents and replies na nimepata kujifunza kakitu.
thank you very much...
 
ndio maana waswahili husema ujana maji ya moto. Utumie vizuri kuepuka majuto na maumivu moyoni baadae.

Mzee ana mawazo mazuri sana. Lakini pia kama haridhiki na mawazo na uwezo wa kujieleza na kuhoji wa vijana wanaohitimu vyuo vikuu kwasababu hakuna mijadala hilo ni tatizo lake binafsi. Lakini vijana wa sasa wana ujuzi, umahiri na uwezo mkubwa sana wa kujieleza na kuhoji mambo.

Na mimi binafsi na mpa pole sana generali kama jambo hilo linamkwaza. Mambo yanabadilika wakati wake uliisha, awape fursa vijana wajiandalie kesho yao kulingana na mazingira yao yaliopo.

Vijana wanaohitimu vyuo vikuu mbalimbali nchini. Wanaohitimu na kutoka na maarifa, ujuzi na umahiri mkubwa sana wa kadre mbalimbali na wanasonga mbele kwa furaha na mikogo kama yote ama hamuhudhuriagi graduations, wameridhika na kwakweli inaridhisha na kutia moyo sana.

Babu jenerali tunampenda na tunamuheshimu sana. Anajaribu kufundisha na kuichochea jamii ya hususani ya wasomi ujasiri wa kubeza kama ilivyo hulka yake. Umri wake umesonga kidogo ni vigumu vijana kumuunga mkono kwenye pendekezo lake. Nashukuru vijana na wasomi makini wamekua wakimpuuzia kisomi zaidi ,Mzee wetu huyu ambae tunaempenda sana asijiskie vibaya, na kwakweli wamefanikiwa pakubwa na mambo yanasonga vizuri...

Mawazo yake mazuri ikiwa yanafaa basi atathiminiwe na yatekelezwe na vyuo husika kwa wakati wana ona unafaa na kama jambo lenyewe linamanufaa.

Ana uhuru wa kutoa maoni, kukosoa, kupendekeza mambo yawe vipi ili tusonge mbele kama Taifa, ila nia yake ya ndani inafahamika vizur sana muda mrefu. Na kwahivyo hasira na ghadhabu ndani ya maoni mazuri sana ya generali ulimwengu vinafahamika sio jambo geni humu nchini.

Maoni yangu kwenye pendekezo na na maoni juu ya mijadala.

Mijadala mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi iendeshwe na vyama vya kisiasa, kupitia jumuiya zake mathalani jumuiya za vijana, wanawake, wazazi, chipukizi n.k ili kuwajengea vijana uwezo wa kujieleza na kuhoji, ikiwa hilo ndio tatizo kama anavyodai Mzee general ulimwengu.

Platforms za mijadala ni nyingi mno si vyuo vikuu tu.

Kwako Tindo
Vijana wemeinovate nini, kama nawe hufanyi siasa hapa!

R&D ni tatizo kwa nchi yetu, Nimekuwa nikifuatilia sana bajeti yetu katika kuboresha R&D, sehem ambayo ndio kitovu cha innovation and development.

Kiukweli bado tuko nyuma sana, REDET kazi yao Siasa tu, Tafiti zetu hazina tija kwa maendeleo ya nchi kwa ujumla. Najiulizaga hata hiyo Satelite tunayotaka kurusha 2024, itakuwa ya namna gani kama sio kituko.

Vijana hawana la kufanya zaidi ya kujikita kwenye Betting na mambo mengine yasiyokuwa na faida chanya kwa maendeleo ya Vijana na Nchi kwa ujumla, sababu ya sera ya elimu pamoja na siasa zisizokuwa na afya kwa nchi yetu.

Imekuwa ni kawaida sasa vijana kujipa kazi ya Praise and worship ilimradi mkono uende kinywani.

Siku izi ni wazi vijana hawawezi kuhoji na kwa sabab ya aina ya kizazi tulichonacho, wao wanawaza kupata pesa bila kujishughulisha.

Vijana ni waoga na wanafiki!
 
mie sihusiki na maswala ya unyumbu, sijiu ukibaraka, uchawa, au undakindaki wa kushupaza shingo, kubeza hoja ya mtu au mtazamo wake.
From there mie yangu ni kuchota maarifa na ujuzi ili kuongeza ufahamu na uelewa wangu. Pengine ni mdogo na siwezi kua najua kila kitu na kwahiyo hii platform mie naitumia zaidi kuongeza kitu kidogo kakujifunza ni hiyo tu.....

we kama umejiunga tangu 2010 ama kabla ya hapo na alie jiunga jana au leo that is none of my business, I think to me content yake ni muhimu zaidi kuliko amejiunga lini.

Thus why nimeshukuru mno hata kujua mrengo wako kulingana na tonekamas of your articles, contents and replies na nimepata kujifunza kakitu.
thank you very much...
Kama umeingia humu ndani na marking scheme hutapata Raha kabisa. Utavumilia tu maana humu hakuna vyombo vya Dola vya kudictate mijadala. Uta/umejifunza ama la hilo utajua ww.
 
Vijana wemeinovate nini, kama nawe hufanyi siasa hapa!

R&D ni tatizo kwa nchi yetu, Nimekuwa nikifuatilia sana bajeti yetu katika kuboresha R&D, sehem ambayo ndio kitovu cha innovation and development.

Kiukweli bado tuko nyuma sana, REDET kazi yao Siasa tu, Tafiti zetu hazina tija kwa maendeleo ya nchi kwa ujumla. Najiulizaga hata hiyo Satelite tunayotaka kurusha 2024, itakuwa ya namna gani kama sio kituko.

Vijana hawana la kufanya zaidi ya kujikita kwenye Betting na mambo mengine yasiyokuwa na faida chanya kwa maendeleo ya Vijana na Nchi kwa ujumla, sababu ya sera ya elimu pamoja na siasa zisizokuwa na afya kwa nchi yetu.

Imekuwa ni kawaida sasa vijana kujipa kazi ya Praise and worship ilimradi mkono uende kinywani.

Siku izi ni wazi vijana hawawezi kuhoji na kwa sabab ya aina ya kizazi tulichonacho, wao wanawaza kupata pesa bila kujishughulisha.

Vijana ni waoga na wanafiki!
human being are political animals.

ukiikwepa siasa jukwaani utakuta kanisani, utaikuta nyumbani, utaikuta kijiweni, utaikuta shuleni, msibani, kwenye sherehe n.k wap utaikosa au kuikwepa siasa mwanadamu?

Ile muhimimu zaid ya kuzingatia ni,

if you don't want to take part in political administration don't blame to be ruled by a fool.

Umezungumza jambo moja muhimimu sana mwishoni mwa reply yako umesema "KIZAZI tulichonacho"

Hiyo maneno mingi nyingine umeandika inazama apo kwenye kitu umetaja 'Generation'
Kilichopo hivi sasa ni mafarakano ya fikra baina ya generations.

Generation fulani inahisi ni bora au ina haki au ina mawazo bora kuliko ingine au generation hii inaona makosa ya generations nyingine zaid kuliko makosa yake....
This is generations mindset confrontations haiwez isha huwa inapoa tu kidogo...

Kulaumiana au kubezana hakutaisha na wala hakutasaidi chochote. Vizazi vinapita, vizazi vinakuja maisha yanasonga...

Ukishupaza shingo utaishia kujidhuru tu saikolojikali na mentally...
 
Kama umeingia humu ndani na marking scheme hutapata Raha kabisa. Utavumilia tu maana humu hakuna vyombo vya Dola vya kudictate mijadala. Uta/umejifunza ama la hilo utajua ww.
dola tena?
🤣 marking scheme ya nin tena aise
 
Back
Top Bottom