Bonheur Travels Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 252
- 499
- Thread starter
-
- #61
Nini mantiki ya kulazimishwa kufunga mkanda muda fulani tu (huwa wakati ndege inaruka au kutua tu)?
Maoni mazuri. Tunasikitika hilo halipo ndani ya maamuzi yetu. Sisi hatuhusiki na upangaji wa bei wa ndege za ATCL.Geita - Dar 239,100
Mfano mkifanya 150,000 hamuoni mtaongeza wasafiri kwa njia ya anga kuliko ndege kwenda na abiria nusu?
Ninapokata ticket kupitia nyinyi huwa kuna gharama natakiwa kuwalipa?
1. Ukisafiri na mtoto ndani ya ndege unaweza kumpakata ama ni lazima ulipie ticket yake.
2. Traveling insurance gharama yake zikoje
Kwahiyo Mtoto wa kupakatwa anapanda bure?1. Sio lazima, ila kuna umri wa mtoto lazima umlipie siti yake kulingana na utaratibu wa shirika la ndege husika.
2. Gharama zinatofautiana baina ya wakala na wakala. Kwetu tuna package maalum kwa bei rafiki, kama unahitaji unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja.
Karibu.
Mala nyingi ndege hulipuka na kuua abiria pale tu inapopata hitilafu huko juu,.. sijawahi kusikia abiria wameruka Kwa parachuti au miamvuli unaweza kututoa hofu hapo?
Mtoto mchanga kabisa wa umri chini ya miaka miwili halipi nauli. Anapanda bure.Kwahiyo Mtoto wa kupakatwa anapanda bure?
Tunashukuru sana mkuu. Karibu kwa maswali zaidi kama yapo.Hongera mkuu kwa majibu murua
Kwasasa Sina swali, lakini naomba tu nikupongezeni kwamba ninyi ni kati ya watoa huduma wachache sana wenye uwezo wa kujibu maswali kwa ueledi na pasipo kukasirika hapa Jf....
Hongereni sana na nina wapongeza kwa hilo.
Napenda kuuliza air tz dreamliner engine yake ina ukubwa gan
Je ina cylinder gap
Na Je ni type gan stock engine
Naomba kujua kiwango cha mwisho cha pesa kusafiri nacho kwenye ndege
Ni takwa la kisheria na utaratibu rasmi uliowekwa katika kufanya safari za ndege. Ndio maana ikaitwa hati ya kusafiria, yaani ni nyaraka ambayo lazima uwe nayo ili uweze kufanya safari za ndani na nje ya nchi.Hati ya kusafiria( passport) kwanini lazima uwe nayo hata kwa safari za ndani ya nchi?
SawaHapana mkuu. Gharama unayolipa kwetu ni ya tiketi pekee. Kazi yetu ni kukusaidia kupata usafiri wa uhakika kwa haraka zaidi na kuhakikisha safari yako inakamilika salama.
Isitoshe, sisi tuna mahusiano ya kibiashara na mashirika kadha wa kadha ya ndege, hivyo tunaweza kukusaidia kupata tiketi zenye gharama rafiki kulingana na bajeti yako.
Kimsingi, tunakusaidia kuokoa muda na wakati mwingine kukuepusha kulipa gharama kubwa endapo utaamua kukata moja kwa moja.
Mkuu abiria kuvaa parachutes?? [emoji848][emoji848][emoji848]Hili ni suala la kiufundi na kitaalamu.
Hata hivyo, zipo dondoo za usalama (safety tips) ambazo hutolewa kwa abiria mapema ili inapotokea hitilafu basi waweze kujihami wakati hatua nyingine za usalama zikichukuliwa.
Njia za haraka zinazofahamika inapotokea hitilafu angani (japo inategemea na level) ni pamoja na;
.- Ndege kutua kwa dharura katika eneo lolote elekezi
- Kutoa taarifa kwa vikosi vya uokozi ardhini ili kupokea abiria kutokea angani (evacuation)
- Abiria kutakiwa kuvaa jackets au miamvuli aina ya parachutes
- Mengineyo.
Asante.