Bonheur Travels Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 252
- 499
- Thread starter
-
- #101
Kwa mtoto asiyelipa nauli utapaswa kumpakata. Japo nayo itategemea na utaratibu wa shirika la ndege husika.Na vipi huyu wa chini ya miaka miwili anapewa siti au napaswa kumpakata? Na infant ni yupi?
Nimekupata mkuu kama mnazungumzia utaratibu wa kidunia, mwanzo nilifikiri unazungumzia Tanzania. Big up kwa majibu murua.
Shukran mkuu kwa majibu mazuri tunapata elimu ya kutosha hapa jamvini
Uzi murua kwa sisi tusio na uzoefu na safari za ndege. Hope one day nitawacheki nikwee pipa hata kwenda Chato.
Uzi murua kwa sisi tusio na uzoefu na safari za ndege. Hope one day nitawacheki nikwee pipa hata kwenda Chato.
Wakivaa parachute, kwamba wanaruka kutoka kwenye ndege? Au parachute linasaidia nn kwenye ajali?Hili ni suala la kiufundi na kitaalamu.
Hata hivyo, zipo dondoo za usalama (safety tips) ambazo hutolewa kwa abiria mapema ili inapotokea hitilafu basi waweze kujihami wakati hatua nyingine za usalama zikichukuliwa.
Njia za haraka zinazofahamika inapotokea hitilafu angani (japo inategemea na level) ni pamoja na;
.- Ndege kutua kwa dharura katika eneo lolote elekezi
- Kutoa taarifa kwa vikosi vya uokozi ardhini ili kupokea abiria kutokea angani (evacuation)
- Abiria kutakiwa kuvaa jackets au miamvuli aina ya parachutes
- Mengineyo.
Asante.
Shukrani sana mkuuIla mjibu maswali upo vizuri sana katika kujibu. Yaonyesha una ELIMU n uzoefu kutosha. Au maswli mengine unadesa hapo JIRANI!
Hili la kuvaa parachute linalenga zaidi abiria wa kwenye ndege binafsi, za kijeshi na waliopanda helicopter [emoji576]Nina swali ndege inapopata hitilafu na mlango huwa umefungwa uko locked ! Ni muda gan hutumika kwenda kufungua kwa haraka kias hcho na watu kuvaa parachute maelezo
Kuna utaratibu upi unaozuia ndege zisigongane angani
Kuna utaratibu wowote wa kudai fidia endapo muda wa safari umebadilishwa ghafla(ukizingatia wakati mwingine mtu anatakiwa kuunga ndege nyingine)?
Ndio, ATCL kuna utaratibu huo hasa kwa misimu ya sikukuu au pakiwa na ofa mbalimbali.ATCL wana utaratibu ukikata mapema bei inapungua?
Hapana. Kama una kitambulisho halali na kinachotambulika, unaruhusiwa.Ukikosa passport safari za ndani hauruhusiwi?
Asante kwa majibu mazuri.Hapana. Kama una kitambulisho halali na kinachotambulika, unaruhusiwa.
Asante.
Kwanini ndege za ndani mara kwa mara huwa zinachelewa kuondoka na kusababisha stress kwa wasafiri
Au kwa mfano mnaambiwa ndege inakuja kutoka mkoa mwingine na kuelekea safari ya mwisho lakini mda uliopangwa unakuwa tofauti ya masaa?
Ndege na mabasi yanakuwa hayana tofauti
Asante kwa majibu mazuri.
Ninaomba uweke hapa jamvini mchanganuo wa gharama zote kwa safari ya siku tano kutembelea Dubai July 1-5