Bonheur Travels Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 252
- 499
- Thread starter
-
- #141
Swali la nyongeza katika hili jibu.
Ni muda gani(time limit) unaoruhusiwa kukata tiketi kabla ya siku ya safari?
Yaani 1 week, Month or year to travel day?
Swali lako limejibiwa kule juu, ni vyema usome kila comment maana maswali mengi muhimu yameulizwa na kujibiwa(ushauri wangu tu).Safar za ndani ya nchi znaihitaji paspaort? Au unafika tuu airpot na nauli yako unapanda kama Marcopolo?
Tumeshalifafanua hili swali kwenye majibu ya awali mkuu NellysevenSafar za ndani ya nchi znaihitaji paspaort? Au unafika tuu airpot na nauli yako unapanda kama Marcopolo?
naomba maelekezo ya aina za ticket za kwenda na kurudi zinakuwaje nikimaanisha range ya muda wa kwenda na range ya muda wa kurudi .
asante
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Mimi nilipanda ndege na mtoto wa mwezi mmoja lakini kwenye bookin ticket yake iliandikwa nauli yake 20,000/= je ilikuwa kwa ajili ya nn kama wao hawalipi nauli?Mtoto mchanga kabisa wa umri chini ya miaka miwili halipi nauli. Anapanda bure.
Lakini, umri wa kulipa au kutokulipa nauli hutofautiana kati ya shirika na shirika.
Asante.
Kama tulivyoeleza hapo juu mkuu, mashirika ya ndege hutofautiana sera na taratibu zake.Mimi nilipanda ndege na mtoto wa mwezi mmoja lakini kwenye bookin ticket yake iliandikwa nauli yake 20,000/= je ilikuwa kwa ajili ya nn kama wao hawalipi nauli?
Ofisi zenu zipo wapi? Na mteja anapata unafuu gani kuwatumia nyie katika utayarishaji wa safari yake?
Asante sana sisi ni ndugukazi nzuri mnafanya congrats
Je, ni kweli unatakiwa lazima uwe na pass ya kusafiria hata safari za ndani.
Ndugu WanaJF,
Tunafahamu si kila mmoja ni mzoefu wa kufanya safari kwa usafiri wa ndege. Sababu ni nyingi, ila kwa uchache ni hofu, kipato au sababu tu ya kusafiri kwa ndege haijatokea bado.
Pia, usafiri huu licha ya kuwa ni wa haraka na uhakika, una changamoto zake lukuki ambazo zinapelekea wasafiri wengi kupoteza pesa na kuharibu ratiba zao kwa sababu mbalimbali.
Bonheur Travels Tanzania kupitia uzi huu maalum, tumeona ni vyema tutoe elimu kwa umma kuhusu safari za ndege kwa ujumla kwa njia ya kujibu maswali yenu moja kwa moja. Ni matumaini yetu uzi huu utakuwa rejea muhimu kwa kila anayetaka kutumia usafiri wa Anga kwa matembezi, shughuli za kibiashara na mengineyo.
Tunakaribisha maswali yote kuanzia mchakato wa kupata hati ya kusafiria, maombi ya visa, ukatishaji tiketi na nyaraka zote zinazohitajika ili kuweza kusafiri. Aidha, maswali kuhusu vitu ambavyo msafiri anatakiwa kuvifanya na vile vya kuepuka kuvifanya, zoezi la ukaguzi Uwanja wa Ndege, Muda wa Kuwasili, Kuunganisha Ndege, Usafiri baada ya Kutua na mambo mengine.
Si mbaya kupitia uzi huu pia, wale wenye uzoefu wakasaidia kuongezea mambo mengine muhimu yanayohitajika. Lengo ni kuondoa hofu na kutoa elimu kwa wasafiri wapya sambamba na kubadilishana uzoefu kwa wale wanaosafiri mara kwa mara.
Karibuni kwa Maswali turahisishe maisha!
safari za ndani uwe na kitambulisho tu chochote hata leseni ya gari ili pale getini ukipita wajue kweli mwenye tiketi ni weweJe, ni kweli unatakiwa lazima uwe na pass ya kusafiria hata safari za ndani.
Mfano Geita to Dar es salaam?
Na kunautofauti kati ya pass ya kusafiria na tiketi
Shukurani mkuusafari za ndani uwe na kitambulisho tu chochote hata leseni ya gari ili pale getini ukipita wajue kweli mwenye tiketi ni wewe