Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Pamoja na kupewa mwongozo na sir God waishi na sisi kwa akili, bado kuna wakulungwa wanaseme eti wanawake hawana akili, hawajawahi kugundua kitu....hihihiii nacheka kIsuKUMa
Wanajitoaga ufahamu, mwanamke anajicho mara 2 zaidi ya mwanaume na ndiyo maana anaweza kufanya kazi 3 kwa pamoja na zote zikaenda sawa.
 
tatizo wanawake wenye elimu ndogo na kipato duni ukimpata/akikupata hakawii kukuroga na malimbwata na chuma ulete juu, we jaribu kudate na hawa wavaa madera uone kazi

utajuta
Kwani si ndiyo wazuri kuwaendesha hawana kiburi?
 
Wana msemo wao sku hizi MARRIAGE IS ANOTHER FORM OF SLAVERY
 
nakazia hapa

kunywa soda kwa mangi nakuja kulipa

wanaume mmezoea mfumo dume, kuonea kunyanyasa na kudhulumu, wanawake

sasa mwanamke akishakuwa na elimu na pesa hawez kukubali unyanyasaji

mtaachana tu
 
N
nakazia
 
Hamtaki wanawake zenu wawe na elimu na pesa..wakati huohuo hamtaki kuwahudumia na kuombwa pesa na bado Kuna vijisimango vya kukosa elimu hahaha..wanaume bwana
Mwanamke kuwa kuwa na pesa na elimu awe nayo tena ata phd ila muhimu ni kwamba heshima apewe mume kama kichea cha familia
 
Sasa wewe ndo huelewi hata unachokisema, sawa na kusema umkaange samaki na bado abaki hai. MWANAMKE AKIWA NA PESA TAYARI HAWEZI KUMUHESHIMU MUME.
Kweli kabisa...wanatuona takataka hawa viumbe. So tuwagegegde tuu
 
Sasa wewe ndo huelewi hata unachokisema, sawa na kusema umkaange samaki na bado abaki hai. MWANAMKE AKIWA NA PESA TAYARI HAWEZI KUMUHESHIMU MUME.


Siyo kweli.

Kuheshimu au kutoheshimu mume siyo sababu ya elimu/pesa ya mwanamke maana hata wasio na elimu nao wapo wasio heshimu waume zao.

Kwa hiyo ujeuri ni hulka tu ya mtu tu mwenyewe.
 
Mwenye elimu / asie na elimu , oa rafiki yako. Oa mtu ambae mnaweza kuwa marafiki , haya mengine yote hayatatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…