Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Akili za kipumbavu
 
Hahaah huyo anaonekana ana stress nyingi sana maana huwa anashinda hapa JF hakuna siku nimeingia Jukwaa la Mahusiano na urafiki nimkose
 
Inasikitisha kweli kweli.. Tuishi ili tu enjoy sio unaishi kwa KUSUBIRI kufa
 
Wanawake wasomi na wenye hela wasioolewa na umri umekwenda hua wapweke sana, na huwajaza sumu wanamake wadogo ili nao waharibikiwe kawa wao.
Unazani hata walio olewa wao si hawana upweke? Sema wanawake wakishakuwa watu wazima wanavumilia maronya ronya ya waume zao, na wasio na chochote huvumilia kwasababu hawana pakwenda.
 
Sijajua kuhusu hao wanawake wengine uliowa-tag.

Lakini kuhusu huyo cariha nadhani humjui vizuri. She is far beyond what you think she is. Tangu nifahamiane na kukutana naye physically sijawahi kujutia. Kwa uchache tu, huyo binti ni msomi, ana akili (tofautisha usomi na akili), mpole, ana adabu (tofautisha upole na adabu), mkarimu, anasikiliza kuliko kuzungumza, ana pesa n.k.. n.k.. n.k..

Shida yetu wanaume wa humu ndani ni kwamba tukifahamiana na hawa mabinti huwa tunawaza kuwachakata tu, wakikataa tunaanza kuwa-offend wrongly. Humu ndani kuna wadada waungwana na wanaojielewa sana, tena ukiwatumia vizuri unaweza hata kuongezeka kiuchumi, siyo kwa kuwa marioo, la hasha! Bali kwa kuweka mezani mazungumzo yenye tija kibiashara n.k.

Tuache ghiliba za nyani mzee za kudhani kila mwanamke humu ni feminist, tujifunze kutofautisha mwanamke anayejiamini na mwanamke feminist.

I am out.
 
Ndo maana walitusomesha ili tusinyanyasike....mimi bibi yangu hana sikio moja mpaka sasa alimfuma babu na kimada akazira hakupika skan babu kurudi anakuta msosi tee eti bibi kajinunisha alilambwa panga la sikio
Ni kweli kabisa, mtu anamnyanyasa mkewe kisa hana kazi na hata hawezi fanya lolote,na unakuta mme mwenyewe hajielewi ni muda gani anatakiwa kuwa Mme ubabe tu na ukiona mwanaye anawivu kupitiliza utasikia unakosa nini tambua kabisa ni dhaifu anajihami wasimchapie huko!
 
Hata huko alikolala Mungu anamsuta, huwa wanajitoa ufahamu na kujiona wanamkataba na Mungu
 
Nawewe huyo mzazi mwenzio kwanini haukumuoa? Kwahiyo unamnyanyapaa wakati na wewe kuna uliye mwacha huo ni ubinafsi mkubwa[emoji23]
 
Tena hapo penye kusaidia wazazi utasikia sijaoa ukoo wala familia nimekuoa wewe, sasa kila mtu ajikune pale mkono unapofika si kutumia kijiti [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Inaweza kuwa wangekufa wote wakaacha watoto so unataka kusema kuwa maisha yasingeelea mwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…