Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Napingana na wewe sind kweli. Hakuma mama wa nyumbani anaye au aliembeza mume baada ya mume kupigika kiuchumi.
Ninachokiona upo vizuri katika kutunga propaganda fake ila kipaji chako cha propaganda hakibadili ukweli kua wanawake wenye vijiajira ushuzi hawanana naomba nirudie HAWANA SIFA ZA KUA WAKE, WALA KUA MAMA BORA.
Mnh ! [emoji14][emoji14][emoji14]
Unazungumzia basing on what?
Kuna utafiti wowote umefanyika ukapata taarifa ya huo utafiti?
Hiyo ni hypotheses tu ambayo haijathibitika!
Ibaki ni mtazamo wako tu binafsi lakini siyo kwa watu wote.
Wanaume wenye maono makubwa (Big visions) kwao kuoa mke msomi na mke kujaliwa Neema ya fedha wanaona fahari na kumtukuza Mungu kwa taarifa yako!
Tembea uone [emoji2149][emoji133] [emoji38][emoji38][emoji38]
Tanua hema yako, tujifunze zaidi , admitting a weakness is a halfway point towards better improvement.