Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Kwa hiyo jamii iache kusomesha watoto wao wakike kabisa au siyo ?

For the matter of emphasis au siyo?!
 
Kwa hiyo jamii iache kusomesha watoto wao wakike kabisa au siyo ?

For the matter of emphasis au siyo?!
That would be endusive though I wouldn't support that. Kwani kusoma ndo lazima aajiriwe ?!! Watu wanasoma kupata maarifa au kuajiriwa ?.!

Akisoma asiajiriwe akawa mama wa nyumbani mwenye elimu SHIDA IKO WAPI ?
 
Nafikiria sababu siyo elimu wala fedha ya mwanamke inayoweza kumpa jeuri badala yake huwa ni hulka tu ya mtu binafsi.

Kwani hakuna wanawake maskini jeuri?

Mwanamke msomi iwapo alipata makuzi na malezi Bora ya nidhamu na adabu ya kike, akapata kuwa na misingi ya imani kwa kiasi na hulka hata asome awe mbobezi na mzamivu hawezi mfanyia mumewe ujeuri na kiburi [emoji108]

Ikumbukwe hapo ni pale ambapo mume anajua kuwajibika ipasavyo kama mume na baba wa familia na swala zima la uaminifu na utulivu katika ndoa.

Lakini iwapo itathibitika pasipo shaka kuwa mume anamtenda mambo ya hiyana mkewe hapo mke aki-react zidi ya vitendo viovu vya mumewe basi mke asichukuliwe kuwa ni kiburi na jeuri sababu hapo elimu yake na fedha yake au kutokuwa na elimu au fedha havihusiani kabisa.

Kuna wanawake hawajasoma na hawana fedha lakini hawako tayari kuvumilia kuishi na Mwanaume hajatulia.

Akijiridhisha kuwa mume wako hajatulia yu radhi waachane akaishi maisha yake ya Uhuru akiamini ridhiki mtoaji ni Mungu.

Kwani kabla ya kuwa na huyo Mwanaume alikuwa anaishije kiasi cha kuendelea kuishi maisha ya sononi na Mwanaume ambae haridhiki?!

Ishu siyo kuwa na elimu au kutokuwa nayo.

Ishu siyo kuwa na fedha au kutokuwa nayo bali ni zaidi ya hayo.
 
Wakisoma watapata kujitambua zaidi.

Awareness is empowering.

Hawatakubali kutendewa mambo ya hiyana na waume zao [emoji108]

Yatakuwa yale yale.

Hawatakuwa tayari kustahamili kutendewa mambo ya yasiyo sahihi.

Watajua namna ya kuchukua hatua stahiki!

Bora msisomeshe watoto wa kike ili muoe mamuma!

Ingawa hata mamuma wapo ambao ni maskini jeuri hawakubaligi kuvumilia kutendewa mambo ya hiyana!
 
Hivi kweli Mwanaume awe ameoa anatimiza wajibu wake vizuri kwa mke na familia,

Awe mwaminifu.

Halafu mke amletee mumewe ujeuri sababu ya elimu yake au pesa yake tu from no where ?

Huyo mke itabidi apelekwe kwa psychiatrist kumuona huenda kuna tatizo fulani ili asaidiwe na kutibiwa
Maana haitakuwa bure.

Ijapokuwa sikatai wapo wanawake wakorofi tu kama ambavyo pia wapo wanaume wakorofi tu na visirani lakini bila kujali ana elimu au fedha au hana chochote!
 
Wafikapo umri 45 miaka hutamani elimu na pesa ziwe zinawagonga usiku mzima Sasa hujikuta wanafuga mbwa nakumpa jina zuri

Mhn!

Labda kama wanachagua sana!

Lakini siyo rahisi mwanamke kukosa Mwanaume!

Sema mwingine hayuko tayari kuwa na Mwanaume wa aina yoyote sababu anajithamini nafsi yake .

Hataki kujirahisisha

Sema kumpata mwenye hisia naye na wa kupendana Kwa dhati ndio inahitajika neema ya Mungu lakini hawa wa kawaida tu wakuzugia mbona wapogo tu !

Kwa hiyo usije ukamuona mwanamke yuko single ukazani amefulia amekosa wa kumtaka hamnaga hiyo bali ni maamuzi tu!

Mwingine katendwa pakubwa sasa ameamua ajipe muda kwanza Kwani ngono siyo kila kitu.
 
Mimi sielewi why mnaumia. Oeni wasio na pesa wala elimu. Shida inatoka wapi??

Au sisi pekee ndo tuko sokoni?? Au sisi ndo type zenu ila tu mnapata hasira kwa kuwa tuna elimu ya kung’amua mambo na sio kondoo??
 
Unaowa mwenye ajira msaidiane maisha mwisho anajibebisha kwa mkuu wa kitengo anapigwa mbupu anakatika uno vizuri anakula kitengo mshahara unapanda yeye anapokea 1.7mill mixer posho za safari za mara kwa mara wewe na take home yako 600K unaonekana kenge tu,na hiyo hiyo lak6 itabidi uibane isomeshe watoto,ujengee na umpe hela ya nguo na salon.

Picha linaanza usiku ukipapasa ule mzigo anakupiga vibao ukijidai kumrudishia kesho yake mnaamkia dawati la jinsia una kesi ya unyanyasaji wa kijinsia siku akichelewa kurudi akarudi saa sita usiku ukamuuliza kesho yake ndo harudi kabisa unaanza stress kijana upo 35 bichwa limejaa mvi sura imekunjamana kwa mawazo ukiulizwa vipi ndugu unadai ooh ujenzi unanipasua kichwa kumbe hata kiwanja huna ni ndoa inakupasua akili.

Vijana nendeni kwa akili hakuna kitu kinaitwa kusaidiana maisha na mkeo.

Oyaaaa[emoji23][emoji23] umeua
 
Nafikiria sababu siyo elimu wala fedha ya mwanamke inayoweza kumpa jeuri badala yake huwa ni hulka tu ya mtu binafsi.

Kwani hakuna wanawake maskini jeuri?

Mwanamke msomi iwapo alipata makuzi na malezi Bora ya nidhamu na adabu ya kike, akapata kuwa na misingi ya imani kwa kiasi na hulka hata asome awe mbobezi na mzamivu hawezi mfanyia mumewe ujeuri na kiburi [emoji108]

Ikumbukwe hapo ni pale ambapo mume anajua kuwajibika ipasavyo kama mume na baba wa familia na swala zima la uaminifu na utulivu katika ndoa.

Lakini iwapo itathibitika pasipo shaka kuwa mume anamtenda mambo ya hiyana mkewe hapo mke aki-react zidi ya vitendo viovu vya mumewe basi mke asichukuliwe kuwa ni kiburi na jeuri sababu hapo elimu yake na fedha yake au kutokuwa na elimu au fedha havihusiani kabisa.

Kuna wanawake hawajasoma na hawana fedha lakini hawako tayari kuvumilia kuishi na Mwanaume hajatulia.

Akijiridhisha kuwa mume wako hajatulia yu radhi waachane akaishi maisha yake ya Uhuru akiamini ridhiki mtoaji ni Mungu.

Kwani kabla ya kuwa na huyo Mwanaume alikuwa anaishije kiasi cha kuendelea kuishi maisha ya sononi na Mwanaume ambae haridhiki?!

Ishu siyo kuwa na elimu au kutokuwa nayo.

Ishu siyo kuwa na fedha au kutokuwa nayo bali ni zaidi ya hayo.
Hii pwendi imekaa sawa kabisa.
 
Ili mahusiano yawe imara mwanaume lazima awe juu ya mwanamke katika kila nyanja, kiumri, kiuchumi, kielimu nk. Hawa wanawake walikusudiwa na Mungu wawe chini tena chini kabisa ndio wanakua na heshima kwa mume na atomatic mume atampenda mkewe na wataishi kwa furaha na amani TELE.

Hakuna watu wanafiki kama wanaume waliooa wanawake wenye vijielimu na viajira. Wataigiza igiza watakudanganya kua ndoa ziko imara ila ukweli ndoa za kuoa mwanamke mwenye kiajira na kaelimu HAZINA AMANI HAPA PUNJE. Ni mashindano, kutunishiana misuli, migogoro isiyoisha nk.

Mwanamke hakuumbwa kua mmiliki wa mali akipata kamali kokote lazima ajimwambafy mpaka akhera kumsikie. Hata hawa vifeminist vya humu jf vikina cariha , Miss Natafuta nk hivi vyote utakuta ni vinesi na vimwalimu vya shule ya msingi. Mwanamke hata awe na kamshahara ka laki sita atajimwambafy kejeli na dharau utadhani CEO wa Microsoft haa ha ha

Kijana oa mwanamke mrembo, mwenye elimu ya kawaida na asiye na ajira utakuja kunishukuru hawa wenye masters wacha waolewe na masters zao. Kuna jamaa yetu alikua anajifanya mr. malove love akaoa kamwanamke kamwanasheria kana masters waliachana ndani ya miaka 2 tu.

Usioe mwanamke mwenye ajira eti kusaidiana maisha, kwanza kwa vijihela vyake vya kununulia chupi atakudharau, atakusimanga, na wala hata kusaidia kwa lolote wanamake ni wabinafsi wa kutupwa. Oa mwanamke utakae mhudumia na kumtunza ATAKUHESHIMU na automatically UTAMPENDA na hivyo ndio ilipasa kua.

Wanawake wasomi na wenye hela wasioolewa na umri umekwenda sema kama 38 kuendelea hua wapweke sana, na kwa hasira na uchungu wao huwajaza sumu wasichana wadogo ili nao waharibikiwe kawa wao.

=====

Kupata maoni zaidi soma:Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!
Uko sahhi sijaoa ila Nina mto wa kike ingawa siwapendi wanawake wenye elimu kubwa kubwa

Kuna demu mmoja Ni advocate Ni single mam siku moja akanimbia Mr goroko Kwan nn usinioe tulehe mtot wako na wangu kwa pmj Mr goroko kidogo nidondeke hapo nikitazam tu maongezi yake nikataa tamaa sna to much knows ndio maana akaachiwa mtot siyo kwa bwebwe hzo nikasema moyoni Yule mwanume siyo buree akaingia mitini
 
Unaowa mwenye ajira msaidiane maisha mwisho anajibebisha kwa mkuu wa kitengo anapigwa mbupu anakatika uno vizuri anakula kitengo mshahara unapanda yeye anapokea 1.7mill mixer posho za safari za mara kwa mara wewe na take home yako 600K unaonekana kenge tu,na hiyo hiyo lak6 itabidi uibane isomeshe watoto,ujengee na umpe hela ya nguo na salon.

Picha linaanza usiku ukipapasa ule mzigo anakupiga vibao ukijidai kumrudishia kesho yake mnaamkia dawati la jinsia una kesi ya unyanyasaji wa kijinsia siku akichelewa kurudi akarudi saa sita usiku ukamuuliza kesho yake ndo harudi kabisa unaanza stress kijana upo 35 bichwa limejaa mvi sura imekunjamana kwa mawazo ukiulizwa vipi ndugu unadai ooh ujenzi unanipasua kichwa kumbe hata kiwanja huna ni ndoa inakupasua akili.

Vijana nendeni kwa akili hakuna kitu kinaitwa kusaidiana maisha na mkeo.
😂😂
 
Back
Top Bottom