Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Sasa mshagundua tatizo lilipo. Hebu onyesheni mfano sasa kwa kutukupeleka watoto wenu wa kike shule ili waje kuwa wake bora.
Sina mtotnd wa kike ila Mola akinijalia nitamsomesha ila hataajiriwa. ATASOMA ILA ATAKUA MAMA WA NYUMBANI KWA MUME WAKE
 
Inaskitsha sana, lkn kiuhslisia mambo ya sasa s kama ya zaman ustake kuyafananisha. Kadr miaka inavyoenda ndvyo mambo yanabadilika.


Hakuna kaz ya mwanamke wala ya mwanaume muhim nikuimudu, wote tunahaki ya kufanya kaz na kupata kipato ili kutimiza malengo yetu. Wanaume weng n wabnafs wanataka wawe juu tu ili wanyenyekewe, kama vwanda magar na majumba kila mtu anahtaj amiliki.


Kaen kwa kutulia, wote n watu na tuna haki sawa:-[emoji4]
Sure na kujioa mjioe wenyewe "haki sawa sio" si wote tuko sawa wewe ni sawa na mimi sasa kwa nini nikuoe natafuta alie mwanamke asili ndio naoa nyie madume jike 50/50 muoane.

Kesho unakuja na uzi unatafuta mume ebo !! si umesema wewe ni sawa na wanaume sasa unataka uolewe vipi ?
 
Ili mahusiano yawe imara mwanaume lazima awe juu ya mwanamke katika kila nyanja, kiumri, kiuchumi, kielimu nk. Hawa wanawake walikusudiwa na Mungu wawe chini tena chini kabisa ndio wanakua na heshima kwa mume na atomatic mume atampenda mkewe na wataishi kwa furaha na amani TELE.
We jamaa you made my day!, Yaani umeongea ukweli mtupu aise yaaani Kama umeona ndoa yangu ndio ukaandika mulemule najuta kuoa msomi aise najuta mimiiiii
 
1. ELIMU
2. PESA
3. MREMBO SANA.

Usioe hizo PAKA. Utakuja kunishukuru baadae.

NB: Mwanaume unatakiwa umzidi mke wako vitu vifuatavyo ili kuweza kudominate mahusiano na ndoa yako.
1. Pesa.
2 Elimu.
3. Umri.
Kati ya hivyo chochote utakachozidiwa basi ndoa itakuelemea saaaaaaaaana.
 
Unaowa mwenye ajira msaidiane maisha mwisho anajibebisha kwa mkuu wa kitengo anapigwa mbupu anakatika uno vizuri anakula kitengo mshahara unapanda yeye anapokea 1.7mill mixer posho za safari za mara kwa mara wewe na take home yako 600K unaonekana kenge tu,na hiyo hiyo lak6 itabidi uibane isomeshe watoto,ujengee na umpe hela ya nguo na salon.

Picha linaanza usiku ukipapasa ule mzigo anakupiga vibao ukijidai kumrudishia kesho yake mnaamkia dawati la jinsia una kesi ya unyanyasaji wa kijinsia siku akichelewa kurudi akarudi saa sita usiku ukamuuliza kesho yake ndo harudi kabisa unaanza stress kijana upo 35 bichwa limejaa mvi sura imekunjamana kwa mawazo ukiulizwa vipi ndugu unadai ooh ujenzi unanipasua kichwa kumbe hata kiwanja huna ni ndoa inakupasua akili.

Vijana nendeni kwa akili hakuna kitu kinaitwa kusaidiana maisha na mkeo.
Hahahaahahh hatari sana.
Wazungu walishapita hii stage. Wako civilized.
 
Hakuna mwanamke mwenye pesa akawa na heshima kwa mwanaume maskini labda huyo mwanaume awe baba yake tu maana hata kaka zao huwa wanawadharau.

Mliobakia atawaona watu kwa sababu ni wateja wa biashara yake au mnamsaidia mambo mawili matatu nje ya hapo kwake mnakuwa kenge tu.
Umefunga uzi mkuu
 
ACHA UZEZETA sikio halizidi kichwa. Biashara uliyomfungulia wewe haiwezekani eti ikikua akaota mapembe maana boss wake ni wewe.
Ooooh kumbe!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya.
 
Hahahahahah usichokijua tu hata vitabu vya dini vilishinikiza mfumo dume kwa sababu ndio mfumo pekee ambao unge work flawlessly. Mwanamke kumtawala ni lazma awe like a toothless dog. Mwanamke akipewa uhuru wa kila kitu huwa actions zake ni za uharibifu tu.

Mwanamke anatakiwa awe chini ya mume na hilo sio ombi ni lazima. Makafiri katika kuiharibu dunia wamejaribu kuharibu hilo kwa ku insist haki sawa.
Wacha bwana!!
 
Ukiondoa mwanamke nyumbani ,
Akawa busy kutafuta Hela na kupanda vyeo ,automatically umeua familia,
Women are home makers, A softer part of existence ,familia yenye mama (mama mlezi ,sio mama anayewahi kazini asbh) na baba anayefanya kazi Kwa ajili ya familia yake
Ni familia complete iliyo na kila kitu,

Vile familia bora ilivyo basic unit ya jamii inayojielewa (socially,spiritually) na kujitambua,vivyo hivyo ndio umuhimu wa mama kuwa nyumbani kulea watoto katika njia za haki,

Naturally viumbe vya kiume huwa hata visipokuwapo maisha yanaenda tu with a mother around,hii ni common Kwa wanyama wote ,huwezi kukuta jogoo anajishugulisha na vifaranga[emoji1787]

Mbio za kutafuta Hela hazina mwisho ,bahati mbaya ni fumbo tunakuja fumbua wakati wa uzee ,how we wasted our time.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mimi mwenyewe ni mwanamke ila ningekuwa mwanaume ningeoa mama wa nyumbani mwenye muda wa kulea familia.
 
Back
Top Bottom