Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Haya Labda I took it so far!!Hapana, wewe ndio umeitafsiri hivyo. Haujawahi kuongea kike.
Thanks for clarifying
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Labda I took it so far!!Hapana, wewe ndio umeitafsiri hivyo. Haujawahi kuongea kike.
Shida itakuwa Kwa Sisi wanaume hatu taki kuoa mapema na wanawake umri unaenda hawaja olewa na kama hawaja olewa nani hata wapa maitaji Yao yaki msingi na ukute wazaz maisha Yao duniUzi kama huu unahitaji sana falsafa za uislam
Mwanamke kazi yake ilikua ni kupigwa miti na kuwa msaidizi kwa mwanaume kwenye mambo madogo madogo sana
Mwanamke ni kaumbwa kuipamba dunia, leo hii mwanamke ni mpiga debe na konda wa daladala za mbagala
#Mandown
Hakuna mwanamke mwenye pesa akawa na heshima kwa mwanaume maskini labda huyo mwanaume awe baba yake tu maana hata kaka zao huwa wanawadharau.In general ni kweli mkuu almost wanawake wana mawazo ya aina hiyo .. ila trust me kuna wanawake wako vizuri wanakipato lakini heshima ipo pale pale kwa wanaume zao
Thumbs up sister!Inaskitsha sana, lkn kiuhslisia mambo ya sasa s kama ya zaman ustake kuyafananisha. Kadr miaka inavyoenda ndvyo mambo yanabadilika.
Hakuna kaz ya mwanamke wala ya mwanaume muhim nikuimudu, wote tunahaki ya kufanya kaz na kupata kipato ili kutimiza malengo yetu. Wanaume weng n wabnafs wanataka wawe juu tu ili wanyenyekewe, kama vwanda magar na majumba kila mtu anahtaj amiliki.
Kaen kwa kutulia, wote n watu na tuna haki sawa:-[emoji4]
Loh!
[emoji16][emoji16][emoji16]Ss mbona km unaumia na elimu za wengine?.
Si ukaoe tu mhadzabe kimya kimya[emoji23]?
Aise umeongea madiniMwanaume anatafuta sana hela ili akizipata atulie na mwanamke
wakati mwanamke anaamini akipata pesa ndio fursa ya kujiweka mbali na wanaume
Ukiondoa mwanamke nyumbani ,
Akawa busy kutafuta Hela na kupanda vyeo ,automatically umeua familia,
Women are home makers, A softer part of existence ,familia yenye mama (mama mlezi ,sio mama anayewahi kazini asbh) na baba anayefanya kazi Kwa ajili ya familia yake
Ni familia complete iliyo na kila kitu,
Vile familia bora ilivyo basic unit ya jamii inayojielewa (socially,spiritually) na kujitambua,vivyo hivyo ndio umuhimu wa mama kuwa nyumbani kulea watoto katika njia za haki,
Naturally viumbe vya kiume huwa hata visipokuwapo maisha yanaenda tu with a mother around,hii ni common Kwa wanyama wote ,huwezi kukuta jogoo anajishugulisha na vifaranga![]()
Mbio za kutafuta Hela hazina mwisho ,bahati mbaya ni fumbo tunakuja fumbua wakati wa uzee ,how we wasted our time.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
"Ukiondoa mwanamke nyumbani ,Ukiondoa mwanamke nyumbani ,
Akawa busy kutafuta Hela na kupanda vyeo ,automatically umeua familia,
Women are home makers, A softer part of existence ,familia yenye mama (mama mlezi ,sio mama anayewahi kazini asbh) na baba anayefanya kazi Kwa ajili ya familia yake
Ni familia complete iliyo na kila kitu,
Vile familia bora ilivyo basic unit ya jamii inayojielewa (socially,spiritually) na kujitambua,vivyo hivyo ndio umuhimu wa mama kuwa nyumbani kulea watoto katika njia za haki,
Naturally viumbe vya kiume huwa hata visipokuwapo maisha yanaenda tu with a mother around,hii ni common Kwa wanyama wote ,huwezi kukuta jogoo anajishugulisha na vifaranga[emoji1787]
Mbio za kutafuta Hela hazina mwisho ,bahati mbaya ni fumbo tunakuja fumbua wakati wa uzee ,how we wasted our time.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mkuu nionyeshe huyo mwanamke na mimi nikuonyeshe samaki anayeishi msituni.In general ni kweli mkuu almost wanawake wana mawazo ya aina hiyo .. ila trust me kuna wanawake wako vizuri wanakipato lakini heshima ipo pale pale kwa wanaume zao
Hakika mkuu, wanawake wa kileo akiwa na pesa hata kidogo tu lazima aote pembeHao wanawake Wa aina hiyo, walishapotea tangu kwenye vita ya pili ya dunia mkuu
Pretender huyo, hakuna cha kuhandle wala nini kama Mungu alishindwa kuwatuliza wakaleta uasi sembuse CarlosTumekusikia mkuu...ni ukwel ambao wengi hawataki kuuskia....kwa hyo unataka kunambia huyu jamaa kwa jina la Carlos Jackal anaendeshwa na mke ila anaona sehem ya kujifarij ni hapa JF maana mara nying anajifanya ana uwezo wa kuhandle mwanamke aliemzidi kipato na elimu
Vipi mkuuHahahahahah usichokijua tu hata vitabu vya dini vilishinikiza mfumo dume kwa sababu ndio mfumo pekee ambao unge work flawlessly. Mwanamke kumtawala ni lazma awe like a toothless dog. Mwanamke akipewa uhuru wa kila kitu huwa actions zake ni za uharibifu tu.
Mwanamke anatakiwa awe chini ya mume na hilo sio ombi ni lazima. Makafiri katika kuiharibu dunia wamejaribu kuharibu hilo kwa ku insist haki sawa.
Sio viburi wakua na hela mkuu, ni viburi vya kua na "vijihela" mkuu mwanamke hata akiwa na laki tano anajiona anamiliki billion kadhaa haa ha ha ngebe na jeuri ya hapo usipime.Nyie vibur vya kuwa na hela ndo vimewazid
Nafasi yangu naijua, vipi wewe dume jike wa 50/50 nafasi yako unaijua ?!Ukiijua nafasi yako haya mengine ni porojo tu,tafuta ela kijana
Nakubaliana na wewe 100%MAISHA YA KWELI ni MFUMO DUME
HAKI SAWA ni KUHARIBU UHALISIA WA MAISHA.
Kwa hyo unaoa alie ajiriwa "ili ukifa aendele vizuri" sio kuoa ili kua na furaha, upendo na amani ?! Yani unaoa afu unaishi maisha ya kipumbavu ya mamigogoro kila kukicha eti kisa ili ukifa aendelee vizuri ?! Aise kuna watu akili zenu mnaziweza nyie wenyewe.Chenye hasara hakikosi faida MKUU. Nimeshudia kisa Cha kwel ktk hili. Mume alikua na kila kitu na alimwachisha make Kaz. Make akawa wa nyumban tu. Kila ktu anapewa. Mume akafa gafla. Na yule mama alikua hajui ktu chochote kwenye mirad.
Baada ya Ile hali make akaanza kusimamia mirad. Na mda si mrefu mirad ikafa yote. Mama akaanza kuish maisha ya shida sana. Lakn kama make angekua kazn angetunza watoto vzr