Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Ili mahusiano yawe imara mwanaume lazima awe juu ya mwanamke katika kila nyanja, kiumri, kiuchumi, kielimu nk. Hawa wanawake walikusudiwa na Mungu wawe chini tena chini kabisa ndio wanakua na heshima kwa mume na atomatic mume atampenda mkewe na wataishi kwa furaha na amani TELE.

Hakuna watu wanafiki kama wanaume waliooa wanawake wenye vijielimu na viajira. Wataigiza igiza watakudanganya kua ndoa ziko imara ila ukweli ndoa za kuoa mwanamke mwenye kiajira na kaelimu HAZINA AMANI HAPA PUNJE. Ni mashindano, kutunishiana misuli, migogoro isiyoisha nk.

Mwanamke hakuumbwa kua mmiliki wa mali akipata kamali kokote lazima ajimwambafy mpaka akhera kumsikie. Hata hawa vifeminist vya humu jf vikina cariha , Miss Natafuta nk hivi vyote utakuta ni vinesi na vimwalimu vya shule ya msingi. Mwanamke hata awe na kamshahara ka laki sita atajimwambafy kejeli na dharau utadhani CEO wa Microsoft haa ha ha

Kijana oa mwanamke mrembo, mwenye elimu ya kawaida na asiye na ajira utakuja kunishukuru hawa wenye masters wacha waolewe na masters zao. Kuna jamaa yetu alikua anajifanya mr. malove love akaoa kamwanamke kamwanasheria kana masters waliachana ndani ya miaka 2 tu.

Usioe mwanamke mwenye ajira eti kusaidiana maisha, kwanza kwa vijihela vyake vya kununulia chupi atakudharau, atakusimanga, na wala hata kusaidia kwa lolote wanamake ni wabinafsi wa kutupwa. Oa mwanamke utakae mhudumia na kumtunza ATAKUHESHIMU na automatically UTAMPENDA na hivyo ndio ilipasa kua.

Wanawake wasomi na wenye hela wasioolewa na umri umekwenda sema kama 38 kuendelea hua wapweke sana, na kwa hasira na uchungu wao huwajaza sumu wasichana wadogo ili nao waharibikiwe kawa wao.

=====

Kupata maoni zaidi soma:Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!
huu uzi ufanyiwe binding
 
Enyi wanaume wenzangu!!! Ukitaka maisha mazuri na matamu kwenye huu USO wa dunia!! Achana na pesa ya mwanamke kabisa!!! Tafuta pesa yako mwenyewe atakuheshimu mno!!! Fursa kibao wewe unakomaa na pesa za MTU!? Tena kama umeishiwa mwambie " my nikopeshe kwa riba"nakulipa baada ya muda Fulani ukifika muda lipa deni na riba ya watu ,epuka lawama!!!kinyeme na hapo unatafuta balaa achana na mwanamke na pesa yake
 
Mimi nachojua mfumo wa dunia(Muumba?) imeweka kauzibe fulani kwa mwanamke ambako mwanamke akika-Unlock anakua smarter na Multitasking X100 zaidi ya mwanaume. Hii inafanya wanaume tunajaa wivu zaidi yao maana by nature tunajua kwamba jinsi Ke inafaa kua Submissive kwa mwanaume, Moja ya kitu kinachofungua hako kauzibe ni Elimu + Financial freedom

Ni kama wivu fulani hivi hua tunaupata kwamba wanachukua nafasi zetu ambazo actually we are not endowed to those positions but we were favored to since ulichopewa kama dhamana unaweza kunyanganywa na kupewa mwingine

Kikubwa turudi kwenye misingi ya Uanaume, maybe kuna sehemu tunakosea ndio maana wanakuja kubeba status zetu kwa kasi ya mwanga🤔
🙏🙏🙏
 
Enyi wanaume wenzangu!!! Ukitaka maisha mazuri na matamu kwenye huu USO wa dunia!! Achana na pesa ya mwanamke kabisa!!! Tafuta pesa yako mwenyewe atakuheshimu mno!!! Fursa kibao wewe unakomaa na pesa za MTU!? Tena kama umeishiwa mwambie " my nikopeshe kwa riba"nakulipa baada ya muda Fulani ukifika muda lipa deni na riba ya watu ,epuka lawama!!!kinyeme na hapo unatafuta balaa achana na mwanamke na pesa yake
Umeongea vizuri ubarikiwe, na kama hivyo ndivyo yanini kuoa mwanamke mwenye ajira wakati pesa yake haina manufaa kwa familia na bado mwanaume unahitajika kumuhudumia na kuongezea ni kwamba mda wote wala hatunzi familia yuko busy kazini kwake kazi ambayo haina manufaa, kazi yenyewe inampa kiburi na jeuri achilia mbali kuto.mbwa na staff wenzake ?!
 
Kwanini apate ajira ?! Mpaka kapata ajira ulikua wapi ?! Hakukushirikisha ?! Kwanini umruhusu kutafuta ajira ?! Kama unataka ajishughulishe kwanini usimfungulie biashara ?!

Au ndo nawewe wale ma kutaka kusaidiwa maisha na mwanamke ?
Umeongelea suala la kumfungulia biashara. Kuna memba mmoja humu alishaleta uzi kuwa kumfungulia biashara mwanamke ni kuandaa njia ya kuachana na mke wako. Je hapo vipi?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Naomba niboreshe, ni kufungua biashara ya familia na kumuweka kama msimamizi. Ila pia japo kumfungulia biashara na kumkabidhi kama yakwake yaweza kuleta shida ila sio kama kumkuta kaajiriwa, YANI ANA ANA AJIRA YAKE SEMA DAKTARI AU MUHASIBU NK aloo.

Kumfungulia biashara na kumkabidhi kama yake bado kama mume una mamlaka ya kumnyanganya andapo ataleta jeuri mavi ila kama utamkuta na ajira yake kumamae hata awe na jeuri vipi UTAFANYA NINI ?!
 
Unajua hawa wanawake sijui wameumbwaje tu. Yaani ninmakenge kweli japokuwa sio wote ila wengi wao ni kenge.

Mfano mdogo tu. Niliingia kwenye mahusiqno na mdada mmoja, nikawa namsapoti kuongeza mtaji kwenye biashara yake. Nashangaa akaanza kuvimba, jeuri kibao, unauliza kitu majibu ni ya ajabu ajabu tu.

Sasa biashara imekufa kawa mpole anashangaa shangaa tu. Na mimi nipo kimya.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Enyi wanaume wenzangu!!! Ukitaka maisha mazuri na matamu kwenye huu USO wa dunia!! Achana na pesa ya mwanamke kabisa!!! Tafuta pesa yako mwenyewe atakuheshimu mno!!! Fursa kibao wewe unakomaa na pesa za MTU!? Tena kama umeishiwa mwambie " my nikopeshe kwa riba"nakulipa baada ya muda Fulani ukifika muda lipa deni na riba ya watu ,epuka lawama!!!kinyeme na hapo unatafuta balaa achana na mwanamke na pesa yake
Kweli kabisa ndio maana mie sioni faida ya kuwa na mke maana hawana msaada wowote ule. Sii bora nijigegede malaya tuu na hupati stress za kijanga na unapunguza uwezekano wakupata hiv
 
watoto wenu wa kike nyie hamtawasomesha mtawafanya wawe wa kuolewa na kuwa mama wa nyumbani tu? Jiulize huyo mkeo mfanyakazi hela huoni Mara ya mwisho kutuma hela kijijini kwao kwa ajili ya matumizi madogo madogo ilikuwa lini?kule kijijini naye anategemezi umebeba hata mmoja unamsomesha hata veta?Mara ya mwisho kumfanyia shopping ha nguo zake na watoto ilikuwa lini?kwa mwezi hela ya matumizi unaacha shilingi ngapi?au mchele,maharage,gas na sembe uliyonunua unadhani ndio budget yako ya mwezi imeisha.Binadamu jitahidini kuwa waungwana mnavimiliwa kwa mengi na mitandaoni wake zenu hawawaaniki km mnavyotoa comment zenu hapa.
Baadhi yenu hapa comment za ajabu wakati mlisomeshwa na mama zenu ambao walikuwa wanakologa pombe vilabuni na walimu wa upe baba zenu wangefungia ndani sijui mngekuwa wapi.
Mwisho ukiona huheshimiwi jitathmini ww kwanza ujue kasoro zako lazima Kuna sehemu Kuna tatizo
 
Naunga mkono tumepeleka tunapeleka na tunawaandaa mabinti kwenda shule pia waje kuwa mama.
Tabia haina elimu tofauti ni baadhi tu ya majukumu. Wanawake na wanaume wanatakiwa wapate elimu, watoe zaka na sadaka wanapunguka baadhi ya utegemezi lakini pia maisha hayana mmiliki ila kwenye kuwa mume au mke
 
Umeongea vizuri ubarikiwe, na kama hivyo ndivyo yanini kuoa mwanamke mwenye ajira wakati pesa yake haina manufaa kwa familia na bado mwanaume unahitajika kumuhudumia na kuongezea ni kwamba mda wote wala hatunzi familia yuko busy kazini kwake kazi ambayo haina manufaa, kazi yenyewe inampa kiburi na jeuri achilia mbali kuto.mbwa na staff wenzake ?!
Hapa ndipo patamu....maana hili nimeliona kwa wengi sasa najiuliza kama ata luku ya buku 20 hatoi kuna faida gani kuwa na huyo mtu ndani mwa nyumba?
 
That would be endusive though I wouldn't support that. Kwani kusoma ndo lazima aajiriwe ?!! Watu wanasoma kupata maarifa au kuajiriwa ?.!

Akisoma asiajiriwe akawa mama wa nyumbani mwenye elimu SHIDA IKO WAPI ?
Watakwambia kwani baba yangu alinisomesha nije nikae nyumbani😂😂😂
 
ndoa ni maelewano,kwa maisha ya sasa mwanaume kupambana mwenyewe ni vigumu sana anahitaji sapport kutoka kwa mwanamke,kama mwanamke una kazi basi kama familia lazima mpangie mapato yenu mmoja wenu akiwa mbinafsi hamwezi kuendelea na ndoa inakufa
 
Tatizo hawa viumbe bwana wabinafsi sana.
 
As long as napewa kachumbari yangu ya kutosha!!!! Pilau zenu pambaneni nazo.

Ni mimi afande wenu naripoti kutoka kitengo cha mihogo inayopenda ili pilipili yetu ya asili. Ova!!!
 
Back
Top Bottom