Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

ndoa ni maelewano,kwa maisha ya sasa mwanaume kupambana mwenyewe ni vigumu sana anahitaji sapport kutoka kwa mwanamke,kama mwanamke una kazi basi kama familia lazima mpangie mapato yenu mmoja wenu akiwa mbinafsi hamwezi kuendelea na ndoa inakufa
Wanawake wasomi wanaongoz kwa UBINAFSI. Sijui kwanini
 
Najua wapo wanawake ambao Elimu, pesa na mamlaka havijabadili tabia zao njema.

Ila asilimia kubwa wanawake wenye Elimu kubwa, pesa na mamlaka fulani basi ni kazi sana kuishi nao vizuri lazima watataka utawala mkubwa kwenye ndoa.
Acha wawe wasimbe wazeeke wakiwa na aibu yao wakome, wanawake wamekua siyo wanyenyekevu tena kwa wanaume kisa ana pesa fulani, na hata awe na pesa na elimu utakuta kuna kinamna Fulani tu hapo mwanaume alihusika lakini wana mbwembwe kama wamemeza dunia, siku hizi nikionaga mwanamke anahangaika kwenye ndoa au mahusiano hua sitangulizi kumhurumia hata, maana Wana mambo ya ajabu sana, unaweza kuta mahangaiko yake ameyasababisha kwa makusudi, yaani mwanamke ambaye namuombea na kumheshimu ni mama yangu tu mzazi ambaye naye watajuana na baba huko mi sitaki kujua, hawa wengine acha wakome tu
 
wanakipato lakini heshima ipo pale pale kwa wanaume zao
Very rare bana. Anaweza akatandikwa vibao let say Ila bado akaendelea kuishi kwa ivyo usemavyo. Ama ndio inabidi uishi naye kizungu unajifanya eti wewe Ni msomi. Anakuaga anaenda kwa party ya rafikiye usiku wewe fresh tu ukigoma Basi.
Lazima asafiri mfano mko singida kimakazi na kazi zake Ila inatokea dharura ama safari ofisini anasafiri kikazi feki
 
Mimi sielewi why mnaumia. Oeni wasio na pesa wala elimu. Shida inatoka wapi??

Au sisi pekee ndo tuko sokoni?? Au sisi ndo type zenu ila tu mnapata hasira kwa kuwa tuna elimu ya kung’amua mambo na sio kondoo??
Haha ikishindikana kabisa waoane wenyewe kwa wenyewe 😂😂
 
Mimi nachojua mfumo wa dunia(Muumba?) imeweka kauzibe fulani kwa mwanamke ambako mwanamke akika-Unlock anakua smarter na Multitasking X100 zaidi ya mwanaume. Hii inafanya wanaume tunajaa wivu zaidi yao maana by nature tunajua kwamba jinsi Ke inafaa kua Submissive kwa mwanaume, Moja ya kitu kinachofungua hako kauzibe ni Elimu + Financial freedom

Ni kama wivu fulani hivi hua tunaupata kwamba wanachukua nafasi zetu ambazo actually we are not endowed to those positions but we were favored to since ulichopewa kama dhamana unaweza kunyanganywa na kupewa mwingine

Kikubwa turudi kwenye misingi ya Uanaume, maybe kuna sehemu tunakosea ndio maana wanakuja kubeba status zetu kwa kasi ya mwanga[emoji848]
Chukua Pepsi kubwa Kwa mangi nakuja kulipia[emoji125][emoji125]
 
Iko hivi ke sisi ni wajanja sana, ndivo tulivo, naishi kwa kukusoma weye unachotaka ni nini! nikijua unataka heshima ni rahisi tu kukupa kwa muda ninao utaka mie!! fanya yooote ufanyayo ajili ya familia yako!

Lkn na ke atakuwa na Plan B'' yake kamwe me hutaijua! ke wa siku hizi hawabweteki make hukawiii kumuolea mke mwingine! pamoja na kukuheshimu sana!..akili mukichwa ukiona unaheshimiwa sanaaa ujue unaibiwa!

na kweli lazima niwe na Nyumba yangu binafsi km ke!....kupitia hela yako wewe me hiyo hiyo!....lazima mikuroge tuu utake usitake ili ulewe zaidi!..na unipe manufaa zaidi!

me unaejifanya kuheshimiwa siku ukiona mwanao wa kiume mkubwa amaefika chuo kikuu anza kuchimba kaburi lako utake usitake kabla hujaoa mke mwingine utaingia humooo!

na hakuna wa kuniuliza wala fyoo!...nakupeleka kiulainiiii kama unabisha Nenda Machame/Marangu nk! uone Muziki wa wanawake wa kichaga walivo ucheza!.....usipojifunza kitu hapo utakuwa mburula sana!

Mleta Mada lazima una kauchoyo flani hivi! ndani ya moyo unataka me wenzako wasifaidi hela za wanawake matajiri .....wenzako walisha jua kitambooo!! sana.

Remmy Ongalla asingekuwa na mke msomi/tajiri Ulaya angeisikia tu! sikia sasa nikwambie Bora uoe Mke mwenye Elimu na Pesa mingi mingi kukuzidi ili uishi maisha marefuuu! mpaka ushangae!.....


Eti unaogopa kusimangwa na mwanamke? mwache akusimange kwani nini bana! saana unampiga kimoja hapo hapo sebuleni baasi kwisha habari zake,

ke mwingine anakusimanaga zaidi maksudi tu, sababu yuko on heat! anataka mambo faster! eti me unalia umesimngwa yaani ngekuwa karibu ningekupiga kofi hilo mpaka unye!

me wengi walio kamilika hasa!! kale ka mdomo! domo! ka mwanamke ndo chachandu ile ya mapenzi raha ya Maisha bin kubwela!

Wenzako, wakipigwa vikofi/kujambiwa/kukojolewa/ wakisemwa/simangwa na wake zao! ndo wana nenepa kwa furahaaaa! na amani km zoote! kwa sababu ndo ke wote walivyo umbwa! ...

ukiona ke yuko tofauti na hizo tabia za kukunanga/simanga basi jua kabisa ni mgonjwa wa kisukari cha maini au kichaa hautafaidi mambo mazuri!

Nakupa mfano tu wa. mbuzi, ngo'mbe kuku mtetea anavyo msumbua jogoo kumkimbiza weeee!!...basi na nyie ndo ivo vio mtufukuzie kwa jashooo! kilio! ukitushindwa ina maana jogoo anakuzidi akili!

ajabu Dume zima LILILOENDA JANDO unalia kabisaa mpaka JF unalalama!, unakimbia nyumba kisa simango la mke? tena kiumbe yule wenzako wanasema ni dhaifu?...basi weye mleta mada utakuwa dhaifu zaidi!

Moderator Thread nyingine km hii muwe mnazipiga pin make zina dhalilisha sana Wanaume! kuna watoto wa kiume wanajifunza pia kupitia humu humu! mke fighter ndo mwenyewe! Km MUHESHIMIWA RAIS wetu!

kwanza km ke Ana Mali kukuzidi, anasomesha watoto wake ambao pia ni wako!.....weye unakula misele tu km zoote! badala ya kumshukuru Mungu amekupa kiumbe anaye tafuta vizuri eti weye unamkimbia? Loool!!

Mambo mengine Me muwe mnaona aibu kuyaleta humu! km vepi basi weye ndo utafute zaidi na zaidi yake ale asaze yeye! kabisaaa unalia lia na viji million vya mwanamke??

kwa hiyo hata Mama kuwa pale alipo umenuna siyo? make siyo dume yule!
 
Aisee mnapenda kuanzisha nyuzi za lawama kwenye wabaya na wema wapo
Aelewe hilo kuna watu wameoa hao hao form 4 na bado hali ni mbaya mno na tunao huku street na kuna walio oa pia hao wenye hizo shahada nao mambo ni magumu mno ila cha kufurahisha vice versa is true...
 
Mimi sielewi why mnaumia. Oeni wasio na pesa wala elimu. Shida inatoka wapi??

Au sisi pekee ndo tuko sokoni?? Au sisi ndo type zenu ila tu mnapata hasira kwa kuwa tuna elimu ya kung’amua mambo na sio kondoo??
Na wakumbuke kutosomesha watoto wao wa kike pia.
 
Back
Top Bottom