[emoji23][emoji23]Sasa umejiona mjanja sana kupiga huto tu mil 20 kwa miezi 6 je ungekuwa Ontario anayepiga milioni mil 1 kwa kila sekunde ingekuaje
Sio wa mwezi soma tena [emoji23]Siku ukipata hiy 20M uje utupe mrejesho. Hiyo pesa kwa mwezi ni ndogo sana. Haitoshi kukidhi mahitaji ya kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyooo watanzania tuna mbwembwe.....tupostie picha ya nyumbani kwenu.....kijijiniSiku ukipata hiy 20M uje utupe mrejesho. Hiyo pesa kwa mwezi ni ndogo sana. Haitoshi kukidhi mahitaji ya kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama neno hili profession unaandika "profetional" na hapa najua ulitaka uandike "professional" ambayo pia siyo sahihi. Nina wasiwasi na elimu yako, hata hivo zari la mentali linaweza kukudondokea kwa nadra sana. Sidhani kama unatarajia kupata mchongo kama huu tena maishani hivo jipange usikosee.generally elimu yeyote yenye profetional , mimi nipo upande wa afya na maendeleo ya jamii
Kijijini nikatafute nini mkuu. Huko sio kwetu. Nimezaliwa mjini na maisha yangu yote yako mjini. Tena sio bongo.Nyooo watanzania tuna mbwembwe.....tupostie picha ya nyumbani kwenu.....kijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Niconnect kitengo basi na mie nweke mrija hapo Mkuugenerally elimu yeyote yenye profetional , mimi nipo upande wa afya na maendeleo ya jamii
Mkuu perdiem sio mshahara na huwezi kusafiri kila siku. Unapaswa kufurahia mshahara na sio perdiem ambayo leo ipo kesho haipo. Ila mshahara piga ua galagaza lazima ulipwe.
Huu ushauri asiuache. Keshapata wenge tayari. Akumbuke mipango si matumizi.Hujasema tayari umeajiriwa?. Kwanza hongera. Ila kwa maelezo yako hiyo hela tayari imekuchanganya tayari. Nafikiri sababu ya umri. Nakushauri tulia isije ikakupa kichaa ukawa unashinda bar. Halafu chunga hiyo hela weka akiba,ukimaliza hiyo project ya miezi 6 utajikuta unasotea kazi tena kwa muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada amekosa uelewa,Watu mna chuki!? Wapi mtoa mada kasema yeye ni mjanja?
.
Eti Ontario anaingizia milioni kwa kila sekunde. HAHAHAH..Nigga please!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point sanaHujasema tayari umeajiriwa?. Kwanza hongera. Ila kwa maelezo yako hiyo hela tayari imekuchanganya tayari. Nafikiri sababu ya umri. Nakushauri tulia isije ikakupa kichaa ukawa unashinda bar. Halafu chunga hiyo hela weka akiba,ukimaliza hiyo project ya miezi 6 utajikuta unasotea kazi tena kwa muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app