T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Mbona sasa hapa umetaja, yeye kaamua kusema mwanzoni anapoanza. Binafsi sioni tatizo kwenye hoja yake, labda katokea mazingira magumu kupata kiasi kikubwa hivi kwa muda mfupi hivo kutokana na furaha akaja kushare na sisi mawazo yake.Nilipewa per diem allowance ya $200 kwa miaka miwili mfululizo.
Na sijawahi kuona sababu ya kulimbuka kuja kutangaza hilo hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio. Yeye atajua ni mamilioni hayo. Ataanza kuchezea anasahau kwamba hiyo ni project ya muda mfupi tu. Baada ya miezi 10 tu atakuja kulia tena.Umeongea point sana
Kwani wapi nimesema nimeona tatizo kwenye hoja yake?Mbona sasa hapa umetaja, yeye kaamua kusema mwanzoni anapoanza. Binafsi sioni tatizo kwenye hoja yake, labda katokea mazingira magumu kupata kiasi kikubwa hivi kwa muda mfupi hivo kutokana na furaha akaja kushare na sisi mawazo yake.
Ulisomea fani gani? Chuo? Ili watoto wetu wafate hiyo channel.generally elimu yeyote yenye profetional , mimi nipo upande wa afya na maendeleo ya jamii
Hahaha ila leo umeona ulitangaze hapaNilipewa per diem allowance ya $200 kwa miaka miwili mfululizo.
Na sijawahi kuona sababu ya kulimbuka kuja kutangaza hilo hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh waswahili tunajuna kwa vilemba hata kama ungezaoiwa Jupiter huna ubavu wa kutumia 20m kwa siku na isikutoshe. Kama kweli unatumia 20m unafanya kazi gani ku sustain matumizi ya hivyo? Siamini hata mo au bakhresa katika matumizi ya kawaida (yasiyo ya kibiashara) anatumia 20m kwa siku. Kawadanganye rika lako.Kijijini nikatafute nini mkuu. Huko sio kwetu. Nimezaliwa mjini na maisha yangu yote yako mjini. Tena sio bongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh kwel duniani hakuna usawa, yaani hiyo pesa yako yote mpaka unamalizaa project yako unakuta mtu analipia frem tu pale kariakoo kwa mwaka mmojaMu hali gani wajumbe,
Nawaasa kama una watoto wapo shule au hawajaanza wakazanie wasome kuna mahala ukibahatika unainjoy life hamna kifani unapiga pesa hadi unaona kama unadhulumu wengine kumbe haki yako.
Elima ni njia, elimu ni ufunguo.
Hiyo pesa nalipwa hivyo kwa miezi sita hadi project itakapoisha.
Wanafunzi msicheze na shule someni.
After the project wazee wangu nitawapa zawadi isiyo chini ya Milioni 20 bila wao nisingepata hii kitu.
"....Na sijawahi kuona sababu ya kulimbuka kuja kutangaza hilo hapa."Kwani wapi nimesema nimeona tatizo kwenye hoja yake?
Nimeonesha tofauti tu. Na tofauti sio tatizo, kwa sababu hata vidole havilingani.
Wewe kuona nimesema tatizo katika hoja yake wakati sijasema hilo, hapo ndipo penye tatizo.
Inawezekana kabisa post yangu maana yake ni kwamba najiona nimechelewa kuchukua fursa ya kuwahimiza watu kusoma na kupata per diem zinazoonekana nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu. Pesa watu wanazishika ila hawapigi kelele. Mathalani nikienda kwa conference nakula per diem ya dola 447 na life linasonga tu.Nilipewa per diem allowance ya $200 kwa miaka miwili mfululizo.
Na sijawahi kuona sababu ya kulimbuka kuja kutangaza hilo hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama neno hili profession unaandika "profetional" na hapa najua ulitaka uandike "professional" ambayo pia siyo sahihi. Nina wasiwasi na elimu yako, hata hivo zari la mentali linaweza kukudondokea kwa nadra sana. Sidhani kama unatarajia kupata mchongo kama huu tena maishani hivo jipange usikosee.
Nilipewa per diem allowance ya $200 kwa miaka miwili mfululizo.
Na sijawahi kuona sababu ya kulimbuka kuja kutangaza hilo hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chalii ndoto nyevu zitakuua.generally elimu yeyote yenye profetional , mimi nipo upande wa afya na maendeleo ya jamii
Zile anazoishia kupiga nazo picha kule showrooms sio?Hiyo pesa 60M haifikii hata bei ya ile gari ya ONTARIO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watuuu πππππ
mkuu hyo sio ya mwezi ni ya siku mojaSiku ukipata hiy 20M uje utupe mrejesho. Hiyo pesa kwa mwezi ni ndogo sana. Haitoshi kukidhi mahitaji ya kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
mi ni daktari na mfanyabiashara , elimu yangu ni bachelorKama hutojali mkuu naomba unijibu hapa kwa manufaa ya wengi
1) umesoma kada gani chuoni?
2) mpaka sasa wakati unafanya hiyo project unaelimu kiwango gani?
3) je project kama hiyo ipo kwa kawaida au imezuka tu (mara moja) na upatikanaji wake upoje mpaka uwe na connection ama vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app