Elimu ni tamu sana, imagine unalipwa 335,500/= tsh per DM

lakin msg imefika
 
sawa mkuu , lakin hii sio hela ya kwanza kupiga kubwa , nishawahi piga tena km mil 200 kwenye madini kabla sijaajiliwa , so nipo vzuri hata kibiashara nipo vyema ndg
 
Way back 2004 nilikuwa nalipwa $100 kwa masaa mawili daily jumla utapata kama 56,000,000 ukiondoa matumizi mbalimbali hukosi 50.... Jitahidi ufanye jambo la maana hasa nyumba.. Unaweza usije kuipata tena hiyo

Jr[emoji769]
 
mkuu kanda ya ziwa nna office km nne za vifaa vya ujenzi wilaya tofauti niliwekeza hyo pesa , unahisi mimi ni kijana mwenzako nategemea chanel moja , nmemalza chuo nikapga mishe karb miaka 5 ndo nilivopga hyo pesa ndo nmejipumzikia nikaomba na ajira
'kanda ya ziwa nna office km nne za vifaa vya ujenzi wilaya tofauti niliwekeza hyo pesa kanda ya ziwa nna office km nne za vifaa vya ujenzi wilaya tofau,unahisi mimi ni kijana mwenzako nategemea chanel moja'

Hahah nice dreams mzee baba,mimi hata hio channel 1 sina niko kwa shemeji hapa naning'iniza poumbu juu ya kochi hapa nikisubiri Sultan ianze.

Ila Fogo jitahidi siku nyingine chai uwe unaiongeza tea masala ya kutosha ikolee vzr.

dodge
 
Elimu siyo chombo cha kuingizia pesa hata siku moja; usisome ile uje upate pesa, utaweza kuishia frustrations sana. Kazi kubwa ya elimu ni kukupa uwezo wa kuona mambo kwa mapana na marefu; ukishakuwa na uwezo huo, basi ni juu yako kuamua utautumiaje. Kuna wanaoutumia uwezo huo kwa faida na kuna wasioutumia uwezo huo kabisa baada ya kumaliza shule. Matumzi ya elimu na elimu yenyewe ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Wewe mshukuru Mungu wako wala husishabikie lielimu,Ata sisi tumesomasoma ila pengine tumepangiwa kuishi hivi.Lielimu halijatusaidia chochote zaidi ya kula muda wetu tu.Nimetafuta kazi mpk nimechoka sa hv nipo zangu nazurura tu na kila classmates wangu waliotoboa ambao huwa nakutana nao huwa naishia kusema "Nimesoma nae huyu".Mungu aliyekupa hiyo nafasi niwa kushukuliwa sana kwa nguvu zote.Ata sisi tunamlilia sana ila kakupa ww,so mtolee sadaka.Basi Poa kila la kheri bana,sisi ngoja tuendelee kuvutavuta tusiku siku zetu ziishe tufe bana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa mkuu , lakin hii sio hela ya kwanza kupiga kubwa , nishawahi piga tena km mil 200 kwenye madini kabla sijaajiliwa , so nipo vzuri hata kibiashara nipo vyema ndg
Aaah...! Hongera mkuu. Lakini bado naona umri unakubana mkuu. Ulifungua biashara gani katika hiyo ml 200?. Maana zipo biashara zinahitaji lazima usimamizi wako,vinginevyo zinakufa. Kwa namna yako wewe ya kupiga hela nyingi nyingi kwa wakati fulani. Kwa nguvu unayoipata hiyo wanza fungua duka la nguo kariakoo. Chagua kama za kike,weka na viatu vya kike. Au mashati ya kiume na Jean's. Liwe la jumla. Weka mtu unaemwamini. Nimesema hizo bidhaa ksbb zinahesabika,hata usipokuwepo. Weka kijana unamuamini kama umeoa,weka mkeo na kijana wa kumsaidia. Hapo ndio utakuwa unashinda kazi za msimu zikikata. Pili kama uko dar hakikisha ukipiga hela ndefu tena kama 200 nunua eneo mitaa changanyikeni manzese. Anza mdogo mdogo kujenga guest,visipungue vyumba 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kanda ya ziwa nna office km nne za vifaa vya ujenzi wilaya tofauti niliwekeza hyo pesa , unahisi mimi ni kijana mwenzako nategemea chanel moja , nmemalza chuo nikapga mishe karb miaka 5 ndo nilivopga hyo pesa ndo nmejipumzikia nikaomba na ajira
Aaah...! Ok kumbe uko mbali. Hongera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bravoo Give thanks to your almighty GOD coz it's Gods plan to you
 
Kulimbuka ni kuwa na mshawasha na kitu kwa sababu ya upya, na watu wote tunalimbuka kitofauti.

Unaweza kuwa umetumia tafsiri finyu ya neno kulimbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…