Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Unazan their doing the Best au kuna dili kuw katk hizo position ,

Kuweza kulpa 20+M kama ada hyo ni familia inayowaz urais tena wa afrc ambao mchakato wake ni full majungu na ushirkna
 
Kama bado uko singo, pambana utoke hiyo nchi, ukaanze maisha na family yako US au Europe
Shule watakazo soma hata zile za uswahilini bado ni zaidi ya hiyo....na ni bure.........
International schools ni levels nyingine, hata marekani wana shule zao za serikali na private kama huku kwetu lakini hazifikii international
 



Sasa tukishauri shule zote zifundishe Kiswahili na Kingereza mnatoa vijimaneno. Kwanini msiulize kwanini Diamond hampeleki mtoto shule za kata? Yeye si ana unga juhudi?
 
Uchawa ukizidi ni ujinga ....wako anasoma wapi!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…