- Thread starter
- #21
HahahNdiyo maana watoto wanauliza maswali ya kiingereza kwa muundo wa Kiswahili.
"My pen is where?" [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahNdiyo maana watoto wanauliza maswali ya kiingereza kwa muundo wa Kiswahili.
"My pen is where?" [emoji3]
Umekigundua wewe.....ita jina kwa lugha yako lakini litamke kama lilivyo kwa kingereza hutapungukiwaShida yako ni hayo majina kuwa ya Kiswahili...ama? Jivunie cha kwako
Kwani kuziita Kwa Kiswahili ndio inabadilisha wagunduzi ama? Ondoa fikra za kitumwa kichwani ndugu!Umekigundua wewe.....ita jina kwa lugha yako lakini litamke kama lilivyo kwa kingereza hutapungukiwa
Uwelewa ni mkubwa! Kwa maana ya maarifaNakubali tatizo lipo, lakini ni kubwa kuliko lugha.
Ukitaka kunielewa zaidi fuatilia matokeo ya mitihani ya somo la kiswahili na yenyewe huwa ni mabovu vile vile.
Kama kweli lugha ni moja ya vikwazo ningetegemea kuona watoto na wadogo zetu wanapasua sana kwenye somo la lugha mama.
Inaleta mkanganyika na matumizi mabaya ya muda mtu anasoma kama kitu kipya wakati alitakiwa apigwe brush tuKwani kuziita Kwa Kiswahili ndio inabadilisha wagunduzi ama? Ondoa fikra za kitumwa kichwani ndugu!
Kuna sayar inaitwa saratan, hiyo ni mpyHuu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu!
Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa!
Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary kikiwa na jina tofauti unategegemea nini!
Sayari kwa kingereza
1. Mercury 2. Venus 3. Earth 4. Mars 5. Jupiter 6. Sutan 7. Uranus 8 Netune 9. Pluto
Sayari zile zile kwa kiswahili
1. Mercury > ZEBAKI
2. Venus >ZUHURA
3. Earth > DUNIA
4. Mars > MIRIHI
5. Jupiter >SUMBULA
6. Sutan > SARATANI
7. Uranus> ZOHARI
8. Neptune> KAUSI
9.Pluto >KIBETE
Kwanini Wizara ya Elimu na BAKITA majina haya wasingeyatohoa kama yanavyotamkwa kwa Kingereza iwe ndo Kiswahili chake?
Elimu ni nyepesi sana lakini tunaifanya iwe mzigo pasipo sababu ya msingi!
Leo mtoto anafundishwa hii ni ZUHURA baadae tena mtoto huyo kesho anabadilishiwa kuwa ile inaitwa VENUS! Na hatuoni kuwa kuna shida!
Wizara ya elimu na bakita mnaweza saidia kupunguza ugumu wa ELIMU ili kupata wasomi wa kweli wanaoelewa na siyo kukariri!
Chimbuko la kisayansi libakisheni asili yake hata kama litatamkwa kiswahili!
Mambo mengi watoto inabidi wakariri kuliko kuelewa na ndiyo maana hadi Leo hatuna wasomi wakutatua matatizo yetu wenyewe! Kwasababu mfumo unalazimisha tukariri kuliko kuelewa!
Hiyo sifa iliyopotea ni ipi!No.6 tuweke Sarateni
No.9 tuweke utaridi (japo wanasema imepoteza sifa ya kuwa sayari)
Ungejua baraza la kiswahili limejaa wajinga na wapumbavu wa kutupwa ndiyo utajua kwanini kiswahili kinajengeka vizuri nje ya baraza.kuna matatizo mengi ya kijinga mfano sijui kama hapa JF kuna page yao kama ilivyo tanesco na ttcl nk maana tungeweza kuwapa maoni na ushauri ...kuna siku mtu wa baraza la kiswahili alikuwa redioni ana jimwambafai kama ilivyo kawaida yao ya kujiona wataalamu kwa kukosoa wengine na kuwaona awajui....basi kuna neno alisema lina ukakasi ni kama tusi ila yeye kung'ang'ania sehemu ya matumizi yake hadi mtangazaji wa redio akamshangaa maana lile neno lilikuwa ni tusi kabisa .....yule mtangazaji akamwambia mbona ilo neno lina tamkika kama tusi kabisa ...lakini jamaa kangangania ilo neno lao walilo buni wao hatakama halina ladha .....sasa hivi baraza la kiswahili wana lazimisha kiswahili kiwe wanavyo taka wao siyo jamii inavyo penda wakibuni neno basi awataki neno jingine lolote kutoka nje hata kama neno lao alikubaliki.Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu!
Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa!
Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary kikiwa na jina tofauti unategegemea nini!
Sayari kwa kingereza
1. Mercury 2. Venus 3. Earth 4. Mars 5. Jupiter 6. Sutan 7. Uranus 8 Netune 9. Pluto
Sayari zile zile kwa kiswahili
1. Mercury > ZEBAKI
2. Venus >ZUHURA
3. Earth > DUNIA
4. Mars > MIRIHI
5. Jupiter >SUMBULA
6. Sutan > SARATANI
7. Uranus> ZOHARI
8. Neptune> KAUSI
9.Pluto >KIBETE
Kwanini Wizara ya Elimu na BAKITA majina haya wasingeyatohoa kama yanavyotamkwa kwa Kingereza iwe ndo Kiswahili chake?
Elimu ni nyepesi sana lakini tunaifanya iwe mzigo pasipo sababu ya msingi!
Leo mtoto anafundishwa hii ni ZUHURA baadae tena mtoto huyo kesho anabadilishiwa kuwa ile inaitwa VENUS! Na hatuoni kuwa kuna shida!
Wizara ya elimu na bakita mnaweza saidia kupunguza ugumu wa ELIMU ili kupata wasomi wa kweli wanaoelewa na siyo kukariri!
Chimbuko la kisayansi libakisheni asili yake hata kama litatamkwa kiswahili!
Mambo mengi watoto inabidi wakariri kuliko kuelewa na ndiyo maana hadi Leo hatuna wasomi wakutatua matatizo yetu wenyewe! Kwasababu mfumo unalazimisha tukariri kuliko kuelewa!
Ujinga ...watu mnao waza hivyo mnaufinyu wa akili sana ...nitaweza kukusmbieni kwa nini mnaufinyu wa akili kama mtataka kujuaWabadioishe elimu yote tu kuwa ya kiingereza toka chekechea
Kusiwe na discrimination kwenye elimu wengine English medium wengine kiswahili kama ilivyo Kenya na Uganda kiswahili liwe somo tu
Kwani umesahau tulivyo fundishwa kuwa reli ina gapu ili kuzuia inapo pigwa na jua na kutanuka isipinde ila cha ajabu kwa sasa inachomelewa yote na magepu kuondolewa kwa huko kuichomea ...kumbe ndiyo inakuwa bora zaidiPluto ilishapokwa sifa ya kuwa sayari
Sayari zimebaki bane tu.
Wazungu wajinga sana,miaka yote tuliambiwa pluto ni sayari kumbe uongo
Sasa jiulize jina la somo GEOGRAPHY > Unaliita vizuri JIOGRAFIAUngejua baraza la kiswahili limejaa wajinga na wapumbavu wa kutupwa ndiyo utajua kwanini kiswahili kinajengeka vizuri nje ya baraza.kuna matatizo mengi ya kijinga mfano sijui kama hapa JF kuna page yao kama ilivyo tanesco na ttcl nk maana tungeweza kuwapa maoni na ushauri ...kuna siku mtu wa baraza la kiswahili alikuwa redioni ana jimwambafai kama ilivyo kawaida yao ya kujiona wataalamu kwa kukosoa wengine na kuwaona awajui....basi kuna neno alisema lina ukakasi ni kama tusi ila yeye kung'ang'ania sehemu ya matumizi yake hadi mtangazaji wa redio akamshangaa maana lile neno lilikuwa ni tusi kabisa .....yule mtangazaji akamwambia mbona ilo neno lina tamkika kama tusi kabisa ...lakini jamaa kangangania ilo neno lao walilo buni wao hatakama halina ladha .....sasa hivi baraza la kiswahili wana lazimisha kiswahili kiwe wanavyo taka wao siyo jamii inavyo penda wakibuni neno basi awataki neno jingine lolote kutoka nje hata kama neno lao alikubaliki.
Labda kama maana ya lugha imebadilika siku hizi ila nilichofundishwa hapo kale ni kwamba lugha ni sauti za "nasibu".Ungejua baraza la kiswahili limejaa wajinga na wapumbavu wa kutupwa ndiyo utajua kwanini kiswahili kinajengeka vizuri nje ya baraza.kuna matatizo mengi ya kijinga mfano sijui kama hapa JF kuna page yao kama ilivyo tanesco na ttcl nk maana tungeweza kuwapa maoni na ushauri ...kuna siku mtu wa baraza la kiswahili alikuwa redioni ana jimwambafai kama ilivyo kawaida yao ya kujiona wataalamu kwa kukosoa wengine na kuwaona awajui....basi kuna neno alisema lina ukakasi ni kama tusi ila yeye kung'ang'ania sehemu ya matumizi yake hadi mtangazaji wa redio akamshangaa maana lile neno lilikuwa ni tusi kabisa .....yule mtangazaji akamwambia mbona ilo neno lina tamkika kama tusi kabisa ...lakini jamaa kangangania ilo neno lao walilo buni wao hatakama halina ladha .....sasa hivi baraza la kiswahili wana lazimisha kiswahili kiwe wanavyo taka wao siyo jamii inavyo penda wakibuni neno basi awataki neno jingine lolote kutoka nje hata kama neno lao alikubaliki.
Nikweli maneno mengi ya kisayansi yanatakiwa kuachwa kama yalivyo kama kompyuta ,redio nk ...hii ndiyo maana wazungu wakabuni wakasema kuna majina ya kisayansi ....maana yake siyo ya lugha ya nchi fulani ni scientific language tosha maana mgunduzi wa sayansi au tekinolojia fulani anaweza akatokea pande yoyote ya dunia ..pia majina ya wavumbuzi yanatumika piaSasa jiulize jina la somo GEOGRAPHY > Unaliita vizuri JIOGRAFIA
halafu yaliyomo ndani unayabatiza jina jingine la kwako kama umegundua wewe!
Wangeyaacha kwa uhalisia elimu yetu ingekuwa nyepesi sana!
Watoto wetu wanadabo elimu bila kujua!
Ebu waza Leo hii watoto watohoe jina kwa kilugha then kiswahili ligeuke, na tena kiswahili nalo baadae ligeuke ..
Tunawachosha wanaikimbia elimu au wanaamua kukariri tu bhaasi
Wanaoendelea na masomo kwenye nchi kama Ukraine, Germany, Japan, China au Russia wanakaa darasani mwaka mzima kujifunza lugha hizo tu.Sasa jiulize jina la somo GEOGRAPHY > Unaliita vizuri JIOGRAFIA
halafu yaliyomo ndani unayabatiza jina jingine la kwako kama umegundua wewe!
Wangeyaacha kwa uhalisia elimu yetu ingekuwa nyepesi sana!
Watoto wetu wanadabo elimu bila kujua!
Ebu waza Leo hii watoto watohoe jina kwa kilugha then kiswahili ligeuke, na tena kiswahili nalo baadae ligeuke ..
Tunawachosha wanaikimbia elimu au wanaamua kukariri tu bhaasi
Kabisa!Nikweli maneno mengi ya kisayansi yanatakiwa kuachwa kama yalivyo kama kompyuta ,redio nk ...hii ndiyo maana wazungu wakabuni wakasema kuna majina ya kisayansi ....maana yake siyo ya lugha ya nchi furani ni sciencetific language tosha maana mgunduzi wa sayansi furani anaweza akatokea pande yoyote ya dunia ..pia majina ya wavumbuzi yanatumika pia