Mimi huo ushauri nilipewa na daktari sikuweza kumbishia,ukizingatia alinifanyia maajabu kwa kunipa tiba ya tatizo lililonisumbua kwa muda mrefu sikuwa na budi kumuamini,japo nakubaliana na wewe kwani hizo product zipo kwa miaka mingi ila kuna tofauti aisee,kwani hizi za bongo ukizitumia ni kama umemeza kemikali,zina joto mpaka zinakua kama zinaunguza vile na povu kama la sabuni.
Halafu ukiwa unajisugua sana kwenye ulimi unatengeneza mazingira ya kutapika au kutoa udenda na siyo mate. Huwa inaboa unaweza kusukutua na maji udenda hauishi aiseee
Nadhani mkuu, japo sina uhakika, terminology ngumu kwangu hiyo. Ila ukiwa unaswaki at the end ukianza kusafisha ulimi kwa kusugua ni udenda au kutapika hasa ukigusa eneo la mwisho wa ulimi, ukijaribu kusukutua na maji bado ukitema mate yanatoka kama udenda.Unazungumzia gag reflex?
Nadhani mkuu, japo sina uhakika, terminology ngumu kwangu hiyo. Ila ukiwa unaswaki at the end ukianza kusafisha ulimi kwa kusugua ni udenda au kutapika hasa ukigusa eneo la mwisho wa ulimi, ukijaribu kusukutua na maji bado ukitema mate yanatoka kama udenda.
Mbinu zipi mkuu! NakusikilizaYup...ndo gag reflex hiyo.
Na zipo mbinu za kuipunguza...
Nawe pia Mkuu.Ubarikiwe..!
Nyani Ngabu.. Wanasema hizi toothpick ninasababisha kuharibu meno na fizi je linaukweli jambo hili..!?
Asante.. na hizo mara chache mno kupatikana maana sehemu zetu za vyakula wanaweka zaidi vijiti.Ndivyo wanavyosema,ninaweza kuamini kwani kuna dada mmoja enzi hizo nikiwa bwana mdogo alikua ana tabia ya kuweka kijiti kati ya meno ili aweze kuwa na mwanya na hatimaye aliupata japo haukua mkubwa sana,sasa wanasema mazoea hujenga tabia,kwa hiyo unapochokonoa meno yako na vijiti hasa kati ya jino na jino baada ya muda mrefu wanasema huwa inaacha athari ya aidha meno/jino kulegea.
Wanashauri watu wawe wanatumia zile nyuzi wanazoziita dental floss kama unataka kusafisha meno badala ya vijiti.
Hahahaha usijali mkuu ataelewa kuwa tatizo ni flouride...umenifanya nicheke sana.Sisi wa kazkazin hatupaswi kukaa katibu na Mkuu Nyanyi Ngabu