Elimu ya Kinywa: Usafi wa meno na kinywa kwa ujumla, sababu, kinga na tiba za harufu mbaya

Hv kuuliza SI ujinga hv vile vichuma vinavyopitaga kwenye meno katikati huwa ni vya nini au meno yakilegea ndo unatia hvyoo

Vile ni kwa ajili ya mpangilio wa meno mkuu

Sisi wengine tuna meno hata kukenua unaona noma

Sasa vile vinarudisha tabasamu

Ukiwekewa baada ya muda unakuwa poa sana.
 
Aisee... nimezunguka maduka mengi sijaipata... nakutana na Azuma tu... ila wanasema ndo hiyo hiyo!! inakuwaje hapa??!!!
 
Hakika Jamii Forum ni shule, kupitia huu uzi nimejifunza mengi japo unamuda mrefu hongera kwako mkuu uliyeanzisha huu uzi.
 
Je Kuna faida gani kiafya kuwa na meno meupe? Nilipata fahamishwa kuwa meno kwa asili yana unjanonjano ambao ni maalum kwa ulinzi wa meno hayo hivyo kuyafanya kuwa meupe unaitoa hiyo Kinga ya asili je ni kweli?
 
Mimi ninatatizo, nikila kitu chenye sukari nyingi mfano Ndizi mbivu ama Asali, jino langu(gego) upande wa kushoto huwa linauma ghafla mithili kama linachoma hivi kwa mda afu linaacha,

Je ni jino litakuwa limetoboka ama? Na kama ni hivo, gharama za kumuona dentist ni affordable?
Ama kuna njia zingine kuzuia hali hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…