Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Unapoona unafanya jambo alafu adui yako anakwambia acha halina msaada kwako usiliache hata kidogo komaa nalo, tangu lini adui yako akakushauri MEMA juu yako?
 
We kwako imeisaidia vipi familia yako
 
Lisu hakudanganya alisema ukweli na serikali ikafanyia kazi kwa kasi vile vyote alivyosema kwani walikuwa wamejua nini kinafuata, kilichobakia sasa watanzania wanadai Noah zao pia kujua ukweli mwingineo mwingi uliojificha sekita za madini
 
Lissu alipiga sana kelele juu ya mikataba mibovu ya madini lakini serikali ya CCM hakumsikia na mkaingia mikataba hiyo sasa elimu ya nani haina msaada kati ya lissu na ya wanaCCM??
Tokea mwaka 1998 kikwete akiwa waziri wa Nishati na madini alikuwa kaanza kupiga kelele kwa kifupi Tundu lisu ndiye mwasisi wa kukataa mabaya ya uwekezaji kwenye madini
 
Kuna dada mmoja wa ACT Wazalendo alisema huyu mbwekaji naye ni batamzinga na aliwahi kuwekwa kinyumba na mzungu huko Masaki.
Musiba ni kajitu ka ajabu sana hasa pindi kakiwa na njaa kapo tayari hata kulala uvunguni mwa mtu mpaka kapate kile kanachotaka
 
wenzako wamecopy na kupaste desa hilo hilo la Lissu unaloliponda sasa na wamepewa cheo cha uanasheria mkuu wa serikali.Nakushauri umlaumu sana mzee wako aliyekupeka shule zinazotoa elimu bila malipo,bure ni gharama na ndo maana umeeanza kulipia
 
ila elimu ya chenge na Mkapa ndio imeleta faida ?
 
Sialisoma mwenyewe mkuuu
Na inafaida kwa mke wake na watoto wakeee
Na ndugu zakee
Nahao wanatosha kuwa watanzania
Au unawazungumzia akina nani
 
hujaeleweka
 
Ukute hata bunge hajawahi kuangalia kiumbe huyu pia inaonesha jf imevamiwa Sana yaani nahisi Kuna watu wapo kwa 7000 humu. Kazi yao Ni mmoja tu Kama huyo. Sasa na wewe elimu yako imekusaidia nini?
ana degree 4 labda
 
zimwi likujualo halikuli hadi ukaisha
 
Tokea mwaka 1998 kikwete akiwa waziri wa Nishati na madini alikuwa kaanza kupiga kelele kwa kifupi Tundu lisu ndiye mwasisi wa kukataa mabaya ya uwekezaji kwenye madini
Wangeweza kuchukua ushauri mujaraab wa Bure kutoka kwa Mh.Lissu miaka hii yote tangu,soko huria/holela,utandawazi na uwekezaji ulipoletwa katika Tanzania,hakika tungekuwa 1st world country(Donor)siku nyingi.Tanzania tuna raslimali za kutosha kutufanya tuwe Giant Nation in Africa.Hatujaandaliwa kuzimiliki,kuzisimamia au kuzilinda kwa makusudi na waliotutawala.
Tubadilike wananchi wote bila itikadi na Tudai kuandika Katiba yetu upya ili tuanze na alifu(From Square Zero if needed).Vinginevyo tutakuta mwana si wetu tena.
Hatujachelewa sana,please!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…