Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Wasiojielewa namaanisha hao wanaotishika na mikwala ya kitoto ya kushtakiwa MIGA, hao wa kutushtaki ndio wakaja na kuanzisha kampuni ya ubia na serikali.Kumbe unatambua hilo kuwa "hawajielewi,sasa wanafanya nini na wa-TZ TUTEGEMEE CHA MAANA KWA WASIOJIELEWA"
Hahaha umemchana mkuuWasiojielewa namaanisha hao wanaotishika na mikwala ya kitoto ya kushtakiwa MIGA, hao wa kutushtaki ndio wakaja na kuanzisha kampuni ya ubia na serikali.
Chizi wewe
We bwege bashite elimu yako fake ina faida gani zaidi ya kuua watu.Kutoa uhai wa mwenzio bila sabab ya msingi ni ishara ya uhaba wa akili,ujinga na upumbavu,ushetani usio na chembe ya akili.Just get lostLisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Wa Tanzania wametumia kodi zao kumsomesha Lisu ili awasaidieUmesema elimu ya Lisu haina msaada kwa watanzania, tujiulize swali, Je! Watanzania wana msaada kwa elimu ya Lisu?
Kaka tusaidie upelelezi wa suala lake umefikia wapi?Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Juzi Mbatia amemkosoa Mbowe akaambulia kufukuzwa kwenye uwaziri kivuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mlivyomfanya Chacha WangweMimi nimezungumzia "Kuua"
Kufukuza hata nyie mlimfukuza Nape bila kosa
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe hizo bangi zako unazovuta zinasaidia taifa la tanzani? wakati bangi zako zinasaidia taifa la Afghanistan ndio walimaji wa kubwa wa bangiLisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Zuzu mama yako Kenge wewe
Upumbavu na ujinga wa chama madarakani miaka 60 haujatusaidia loloteLisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
wanalipwa kwa kodi za watanzani mwehu wewe. walamba ruzuku ni wale wenye hati chafu ya CAG hujui lolote lofa kabisa nyie ndio mlioiba mitihani unaonekana tu kwa maandishi yakoElimu ya Magufuli inawalipa mshahara akina Lisu na Mbowe na pia wanalamba ruzuku kibao.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama kusifia wazungu ni kosa yale maandishi yaliyoandikwa kwa HISANI YA WATU WA MAREKANI MPAKA KWENYE MATUNDU YA CHOO YAyanangoja nini hapa nchiniSasa Lisu kila mkutano lazima asifie wazungu, sijui wamelala huko ubelgiji
yamebaki haya tu.Tutashitakiwa MIGAView attachment 1532881