Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Kwanza ana elimu gani kijana mpiga kelele, nadhani hata huko ubelgiji anapigia watu kelele
 
Hakuna mabadiriko yeyote, labda ungesema Dr slaa
 
Haina msaada kwako na familia yako na watu wa aina yako
 
Superiority complex ndio ugonjwa wa bwana mkubwa kutoka mkoa wa Singida.

Typical bongo mindset, aliwahi kumkejeli mwalimu Nyerere tena ndani ya bunge, alimjekeli mtu ambaye aliumiza kichwa chake katika kujenga msingi wa Tanzania inayoheshimika kila kona ya dunia hii.

Atashindwaje kuwatisha wasiojielewa eti kwamba tutashtakiwa kwa wazungu!!.
 
Mkuu hivi wewe huko uliko kitengo chako ni kuzungumzia watu walio kinyume chako kimtazamo kwenye mitandao, au ndo wale mnaosemwa watu wenye akili...... akili yao nikuzungumzi maisha ya wtu.Tuambieni kama Yale makontena bado yapo bandarini basi.
 
Anafikili juu ya tumbo lake tu huyo.
 
Anahusika kuitisha serikali isiwabugudhi acacia. Hata kama ccm ilikosea mwanzoni. Kwanini akawa anatutisha watatushtaki wakati sio kweli. Unafuatilia hili suala lakini
Kwani hatuja shitakiwa,upo dunia gani mwenzetu
 
Huko unakoenda ni mbali mno.Je,elimu yako imesaidia nini ukoo wako?
 

Tumekuelewa binti, elimu ya Kibajaji na Bashite ndio ina manufaa katika hii nchi!
 
Alitoa taarifa Vyombo husika, walifanya Nini?! Elimu yako ina mchango gani kwa Taifa?(sijui hata Kama Elimu yenyewe unayo)!
Vyombo gani ilhali vyote hana imani navyo?
 
Kabla hujamnyoshea mwenzako kidole jiulize kwanza wewe elimu yako inamsaada gani kwa taifa...........ebu thibitisha kwamba alisomeshwa na kodi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…