Kwa sasa tunafanywaje?Si tunategemea tu huruma yao? Je tumewagusa? Makinikia yapo?Tumewafukuza nchini? zaidi ya kuishia kusema kuwa ni wezi na kuwa hawajasajiriwa TanzaniaLisu alisema tusithubutu kuwagusa Acacia tutanyolewa kwa chupa !
PoleHata kujua tu kwamba sheria ya madini inayotumika sasa ni mpya ,nalo hujui!
Kama hujawaleta wezi nyumbani kwenu ,ndiyo uwatete wakitaka kufukizwa?Tatizo kuu la nchi hii ni elimu mbovu ya wananchi waliowengi wangapi unadhani wenye elimu mbovu watamwelewa Lissu??sio rahisi hinyo.Lissu hakuwaleta hao wawekezaji wenu wala kusaini nao hiyo mikataba ambayo huishia kufishwa magogoni hata bungeni haikanyagi Lissu alitoa ushauri wa kisheria unamwona hafai basi fuata ushauri wa Chenge utakufaa.
Bila kutamka na kuandika Lisu na Chadema , familia yako haiendi chooni. Tanzania raha sanaLisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Mleta mada elimu yako ndio dhaifu sana.
Lissu pekee ni sawa na wabunge 100 wa ccm.Nia na lengo lake ni kuiokoa taifa lisiingie kwenye mitego ya mabebebru.Kwa akili zenu finyu mikataba mlizo saini ndio imeifikisha taifa hapa tulipo,umaskini na hali ngumu umetuganda,sijui kama awamu ya tano itaweza kulikwamua.Ninawasiwasi
Lakini alitudanganya tutashitakiwa MIGA ili tuwaogope Accacia kuwashughulikia kama ambavyo tunawashughulikia sasa hivi...!!
Wanasubiri walazimishwe kulipa trioniWanasubiri nini sasa
Sibishani na shoga maana kashfa kwenu ni hekimaWe we hujielewi huna maarifa yoyote wewe ndo elimu yako ya informal Education Negative guy.
Huwezi kukaa unataja taja ushoga kama siyo shogaSibishani na shoga maana kashfa kwenu ni hekima
Vipi elimu ya Jiwe umeonaje ilivyotumika kwenye korosho ,thamani ya shilingi dhidi ya dola ,vipi uchumi wa nchi ,umaskini na ufukara ulivyongezeka toka 2015 .Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Kipumbavu sana kutwa Lissu umemsau mama yakoLisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Correct!,he's matha https://jamii.app/JFUserGuide!,deserving heavy punish!Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Una comments kama umechomekewa kitu chenye ncha kali.Majina ya hussen ni mapunga wote