chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
ungekuwa unajua mwenzako alikuwa anaona mbali kuliko wewe