Kazi ipo leo unafanya overtime nini naona umeshinda kwenye uzi huu,,.. njaa mbaya sana hasa ikihamia kichwani toka tumboni.Pole sana mkuu lakin kazi bado zipo nyingi sana za kufanya ni bidii yako tu.
Can you prove your point that Nape cheated? I still believes that he worked his way out; one thing I want to remind you is along the life people change; I have the same story my form 4 results was not excellent my dream job was to be sailor so I did not put much pressure towards education; But after the results came out my beloved teacher Mr. Mnyamuru he personal had a special discussions with my parents; since that day I changed for good!!! so for all you nay sayers kiss you ass Nape Nnauye proved you wrong!!!!!!!!
I've never said that Nape cheated. What I said is one is a failure and the other is a cheat. I didn't specify who is a failure and who is a cheat. And i didn't do that for a reason. If you read my initial posts there is some clue in there.
Chama
Gongo la mboto DSM
Ya kwako sina shida nayo, na wewe umejieleza mwenyewe nimekubali.Sikulazimishi kuamini nilichosema ila matokeo yangu ni baada ya kubadili mwenendo mzima kitu ambacho niliwahi kununua ni discharge book wakati huo nikiwa na lengo la kuwa baharia; form 6 nilipata 2 ambayo ilikuwa na sifa zote ndio sababu sikuhitaji kujiunga na masomo ya jioni!
Chama
Gongo la mboto DSM
Ya kwako sina shida nayo, na wewe umejieleza mwenyewe nimekubali.
Kuna gap ambalo tunataka kujua, baada ya Form IV ya point 29 safari ya Nape Nnauye kwenda masters ilikuwaje? Yaani alipitia wapi mpaka aka qualify kuingia chuo kikuu? Tunataka kujua alirudia kwanza mitihani ya Form IV? Akapataje? Na baada ya hapo.... mpaka masters.
Nape ni mtu mzima, hahitaji kujibiwa na watu. Hii thread imemwalika yeye aje ajieleze mwenyewe.Kabla sijakupa majibu yako niwekee sifa za kujiunga Mzumbe kwa masomo ya masters
Chama
Gongo la mboto DSM
I didn't specify who is a failure and who is a cheat. The clue is in my initial posts.
Ficha upumbavu wako, watu wanahoji Division 4 point 29 amepataje Masters? wewe kama ndio karani wake jibu sasa maana Nape amekimbia lakini kamwe you can not run away from yourself.Kabla sijakupa majibu yako niwekee sifa za kujiunga Mzumbe kwa masomo ya masters
Chama
Gongo la mboto DSM
Maji yamefika shingoni, huoni yule karani mwingine anaitwa Ritz kaamuwa kuuchuna, mimi nitamsaka mpaka facebook kwenye wall yake na nitamuwekea hii link kama anajifanya kuuchuna, hapa tunaka mbivu na mbichi zijulikane.Nape ni mtu mzima, hahitaji kujibiwa na watu. Hii thread imemwalika yeye aje ajieleze mwenyewe.
Mada ya uzi huu, ni kujulishwa tu: baada ya Division IV point 29, safari ya masomo ya Nape Nnauye ilikuwaje? Kwanza ali overcome vipi huo ukosefu wa credits za kumruhusu aendelee na level nyingine?Mkuu chama,
Viongozi wengi wa Chadema elimu zao za kuungaunga.
Angalia elimu ya Lema, Vicent Nyerere, John Mnyika, Joseph Mbilinyi, Highness Kiwia, Freeman Mbowe, hawa ndiyo wabunge wa Chadema hakuna mwenye elimu ya chuo kikuu.
Unategemea hawa wana uwezo wa kuchambua bajeti zetu bunge. Katiba mpya kama huna elimu ya chuo kikuu marufuku kugombea ubunge.
Nape ni mtu mzima, hahitaji kujibiwa na watu. Hii thread imemwalika yeye aje ajieleze mwenyewe.
Hapo kwenye BLUE!.
Mkuu chama
huoni kuwa majibu ya Nape yanaweza kuwa msaada kwa sasa hasa ukizingatia matokeo ya Form 4 mwaka huu yalivyo?.
Nape kama mzalendo wa kweli tusaidie mbinu ulizotumia mpaka ukawa na master kutokea kwenye DIV IV 29!.
mbona anapost sana tu humu, tena vijembe vijembe tu.Nape ni mtu muhimu sana kwenye shughuli za chama hivi sasa anafuatilia ufuatiliaji wa sera za chama kuhakikisha serikali inatimiza ahadi zake kwa wananchi.
Chama
Gongo la mboto DSM
badala ya kujaza server kwa utetezi ambao unaelewa ni wa uwongo ni heri ukae kimya ili next time mtu mwenye akili akisoma posts zako avutiwe kusoma unajadili nini!!Nape ni mtu muhimu sana kwenye shughuli za chama hivi sasa anafuatilia ufuatiliaji wa sera za chama kuhakikisha serikali inatimiza ahadi zake kwa wananchi.
Chama
Gongo la mboto DSM
Ficha upumbavu wako, watu wanahoji Division 4 point 29 amepataje Masters? wewe kama ndio karani wake jibu sasa maana Nape amekimbia lakini kamwe you can not run away from yourself.
badala ya kujaza server kwa utetezi ambao anajua ni wa uwongo ni heri ukae kimya ili next time mtu mwenye akili akisoma posts zako avutiwe kusoma unajadili nini!!
mbona anapost sana tu humu, tena vijembe vijembe tu.