Kazi ipo leo unafanya overtime nini naona umeshinda kwenye uzi huu,,.. njaa mbaya sana hasa ikihamia kichwani toka tumboni.Pole sana mkuu lakin kazi bado zipo nyingi sana za kufanya ni bidii yako tu.
Fanya tukutane mimi na wewe utajua nani mwenye njaa kati yetu!
Chama
Gongo la mboto DSM