Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo kumbe nape alifaa awe dj maana anaropoka ropoka tu kunogesha disco.wakuu tamuonea NAPE bure! yeye baadaya kuona ile CD ya DR SLAA kuwa na card mbili kuchuja akaona atoke ha hii ya ELIMU ya Mh J J Mnyika!
Kwa taarifa aliyotoa Mh. Mnyika, huyu mtu anayeitwa Nape, hawezi kujibu hoja wala na yeye kutoa details za elimu yake. mtasubiri mpaka Yesu harudi, nape hatoi taarifa yake kamwe. Kwa ni mara ngapi ametakiwa aeleze baba yake mzazi ni nani na ameshindwa, ndio itakuwa swala hili la elimu!!!
Riz One ni kilaza na hawezi kujibu chochote kwani kama sio Beno Malisa kumsaidia pale UDSM asingemaliza na hata sasa anamtegemea sana Beno kumuandikia barua za kiingereza hata nje ya nchi anakwenda na Beno na ndie msemaji wake yeye anajua hi na how r u too mengine Beno ndio anajibu ,Bila Beno Riz One na yule dada yake aliyepata sifuri Feza Sec hawatofautiani
Akija kujibu naomba nipigwe ban!!
.......aseeeh !Nape kasoma Qt
Napeeee!! Hata wewe ?? Kwenye masuala ya Elimu unahoji elimu za watu ?? Kwanini haujadili hoja unafaidi watu, kweli wakati huu ni wa kutuongoza tujadili "mtu" ?? Huyaoni yaliyo mbele yetu Kama Taifa ?? Au unataka tuamini wewe hayakuhusu ?? Haya ya umaskini, udini, ukabila, uvivu wa kufikiri, maradhi, shida za maji, ubovu wa elimu, miundombinu mibovu, rushwa, ufisadi, uvivu wa kufanya kazi, ukosefu wa ajira, mikataba mibovu ya madini/gesi..., Ardhi yetu inayotwaliwa na wageni, shida za muungano, dhiki ya mikoa ya kusini na gesi yao.... Au unataka sie tunaokujua tuanze kujadili uwezo wako na jinsi ulivyobebwa na walimu na wanafunzi wenzio pale Mzumbe!! Kwanini usijipe nafasi ya kujisomea tena masomo ulivyobebwa. Unapataje muda wa kujadili MTU ??
mi napita tu.....hii jela nje nje (bAN)Akili za Nape ni za 'kike kike'
mtamuua kwa presha wakuu kuna uzi unamtaka adhibitishe kama amepata familia yake.nashauri mpeni muda ajibu hoja moja moja uwezo wake ni mdogo he can not handle two things at a time.