Elimu ya Nape Nnauye

Elimu ya Nape Nnauye

i hate hm! Anaongea bila hekima! Mnyika jembe sana 2, u cnt compare the 2! Mnyika z a survivor bt nape ni result of circumstance! Mnyika mwanaume ila nape 2naweza 2kiwezeshwa! Too diffrnt pple, Mnyika ana vision, nape empty vessel ( bendera fata upepo) ni hayo 2. MNYIKA JEMBE HATA KAMA HAJAENDA SHULE, HE DARES, MO THAN A PROFFESOR WITH A CRAMED THEORIES! 2nataka ma action hapa porojo mwisho wake!
 
Kwa kweli Nape hajawafanyia vizuri Hao vijana wawili waliojitoa Chadema.....,amevuta pesa CCM kuwa eti aliwarubuni Kumbe kuwapa kidogo tu zingine kula mwenyewe..

Ukiangalia hii picha hapo chini ni Aibu ......kweli kijana mpambanaji ....kwenda mahala bila mualiko ni kukosa kazi na kujidhalilisha.....WENZAKE KADI ZA MWALIKO WAMEVAA SHINGONI.......INAELEKEA YEYE HAKWENDA BILA MWALIKO NA ALICHOWEZA KUFANYA NI KUSUBIRI PARKING LOT .....MAANA HATA MLANGONI WATU WA PROTOCAL ESPECIALLY WA KENYA HAWANGEKUBALI MTU ASIYE NI IDENTITY SHINGONI KUKARIBIA ANY WHERE NEAR PRESIDENTS....
VIJANA WASHAURINI WENZENU WAPUNGUZE KUJIDHALILI.....HADI MWISHO WA MWAKA HUU ITAKUWAJE....KWA KASI HII.....
SI BORA KINA RISHARD HIZA TAMWE,AKWILOMBE ,Lamwai ...,etc Angalau walikawia kutemwa...CCM WAKISHAGUNDUA HUUZI WANAKUTOSA ....HATA KIPAZA JUKWAANI HUTAPEWA.
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1361451126.036535.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361451126.036535.jpg
    131.8 KB · Views: 94
502 Bad Gateway
nginx/1.2.7

Nikifungua baadhi ya post, why kwa leo?
 
Ndugu wanajamvi nasikitika tu kueleza kuwa Nape kaanzisha suala la elimu ilihali yeye akijua kabisa kuwa hana uwezo na hatokuwa na uwezo kielimu kama aliokuwa nao Mnyika.

Nape alihamia Nsumba Sekondari iliyoko Mwanza Mwaka 1995 akitokea Ngudu Sekondari iliyoko wilayani Kwimba na kunikuta mimi nikiwa kidato cha kwanza yeye akiwa kidato cha pili.

Nape alifikia kuishi bweni lijulikanalo kwa jina la Mondlane room 3. Kijana Nape alikuwa mcha Mungu sana maarufu kama mlokole.

Nape baada ya kuhitimu form four alipata division four ya point 29. Sasa mimi sijui alifikaje huko form six. baada ya hapo sikuelewa tena nini kiliendelea kwa Nape kwa elimu ya bachelor lakini kwa masters yake amehangaika sana kukamilisha dessertation yake pale Mzumbe kwa habari niliyoipata kutoka kwa Lecturer mmoja ambaye ni jamaa yangu wa karibu na aliyemfahamu tangia akiwa form two.

Kasoma na kumaliza chuo kikuu au hakumaliza?
 
Nikawaida kwa watu wasiojua na wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama Nape kupenda kujisifia na kujionyesha kwamba wanajua....aliwezaje kujiunga na kidato cha tano? Haishangazi kusikia alifoji vyeti!

Hakwenda kidato cha tano kaka, uwezo huo hakuwa nao, aliunga unga certificate na diploma pale Kivukoni ndo akaenda India. Na unajua vyuo vya India vinapokea kila mtu mradi pochi.
 
Ndugu wanajamvi nasikitika tu kueleza kuwa Nape kaanzisha suala la elimu ilihali yeye akijua kabisa kuwa hana uwezo na hatokuwa na uwezo kielimu kama aliokuwa nao Mnyika.

Nape alihamia Nsumba Sekondari iliyoko Mwanza Mwaka 1995 akitokea Ngudu Sekondari iliyoko wilayani Kwimba na kunikuta mimi nikiwa kidato cha kwanza yeye akiwa kidato cha pili.

Nape alifikia kuishi bweni lijulikanalo kwa jina la Mondlane room 3. Kijana Nape alikuwa mcha Mungu sana maarufu kama mlokole.

Nape baada ya kuhitimu form four alipata division four ya point 29. Sasa mimi sijui alifikaje huko form six. baada ya hapo sikuelewa tena nini kiliendelea kwa Nape kwa elimu ya bachelor lakini kwa masters yake amehangaika sana kukamilisha dessertation yake pale Mzumbe kwa habari niliyoipata kutoka kwa Lecturer mmoja ambaye ni jamaa yangu wa karibu na aliyemfahamu tangia akiwa form two.

Kwahiyo alikwenda INDIA kwa VYETI VYA KUGUSHI either vya FORM FOUR kuweka angalau C 5 kuchaguliwa chuo kikuu cha INDIA... Serikali ya CCM imembeba...
 
Hakwenda kidato cha tano kaka, uzo huo hakuwa nao, aliunga unga certificate na diploma pale Kivukoni ndo akaenda India. Na unajua vyio vya India vinapokea kila mtu mradi pochi.

Kivukoni Diploma hakuipata...aliishia Certificate.....baada ya hapo akaajiriwa CCM ...idara ya nje...kabla ya kutafutiwa admission za kiitifaki......Kama zile makada wa std seven walizokuwa wakipewa zamani....kwenda Russia...wakirudi baada ya miaka Saba wanaitwa doctors ..phd.
Huko India pia alimaliza kiitifaki ....maana Muda mwingi alitumia kufanya siasa za uvccm na kumpigia kampeni Malecela mwaka 2005.
 
Tutaomba Siku mmoja ...mzee sembeye amualike Nape kwenye Kile kipindi cha kingereza....This week in perspective ........ Huwa anaalika figures Kama ulimwengu and the like....dogo Mnyika pia hualikwa Mara nyingi.
 
Tatizo la vijana mnaoshabikia CHADEMA mna ushabiki wa kijinga uliochanganyika na wivu na kukosa fursa!
Sasa unadhani Mnyika ni kiongozi mzuri kuliko Nape, Mnyika anapenda sifa za kijinga ana utulivu alionao Nape hata chembe!
Kuwa na Div 4 o level si hoja! Tuna maprofesa walio feli darasa la saba wakarudia leo ni maprof,fanyeni tafiti acheni ujinga Nape oyee!
Acha kujifariji,tupia hapa tafiti zako,naamini ni mbovu kichwani hujui hata kufuatilia mambo yanayojili kila uchwao,Kamuulize msema kweli aliyetunga kitabu na kuwataja kwa majina hao wewe unaowaita wana masters, madokta na maprofesa na huo utulivu wa nape ni upi???tafakari.
 
Tutaomba Siku mmoja ...mzee sembeye amualike Nape kwenye Kile kipindi cha kingereza....This week in perspective ........ Huwa anaalika figures Kama ulimwengu and the like....dogo Mnyika pia hualikwa Mara nyingi.
Ngoma inogile umenena vema,ngoja niitafute simu ya huyu mzee Simbeye ili Nape na Mnyika wawe ni miongoni mwa waalikwa,halafu tuone vituko, kwanza ninavyomfahamu Nape ataomba kuwa anaudhuru wa kazi za chama.teh teh,teh.
 
Kivukoni Diploma hakuipata...aliishia Certificate.....baada ya hapo akaajiriwa CCM ...idara ya nje...kabla ya kutafutiwa admission za kiitifaki......Kama zile makada wa std seven walizokuwa wakipewa zamani....kwenda Russia...wakirudi baada ya miaka Saba wanaitwa doctors ..phd.
Huko India pia alimaliza kiitifaki ....maana Muda mwingi alitumia kufanya siasa za uvccm na kumpigia kampeni Malecela mwaka 2005.
Sasa wewe ndio nimekuelewa nilikuwa najiuliza sana hii inakuwaje? sasa si Nape tu peke yake wewe umeshanipatia jibu ambalo limekuwa likinisumbuwa muda mrefu hawa Madoctor waliojazana CCM halafu upstairs empty! kumbe jibu ni rahisi tu ni Madoctor wa Itifaki.

Na kwa wale wanaomshangaa JK kupenda Udoctor wa kupewa siyo kosa lake kumbe ni makuzi na utamaduni kwenye chama chake.

Kumbe nchi hii dawa yake kama wewe hujulikani ni bora ukafoji Dgree ya kuscan Marekani ukija Bongo unakuwa Meneja wa kitengo fulani, kumbe ni wewe akili yako ndiyo inayofanya kazi na si kile cheti.
 
Jibu hilo hapo juu, hivyo uzi ufungwe sasa, asante sana staki shari.
Uzi ufungwe kakudangaya nani? tumeshaongea na Moderator na Nape amepigiwa simu aje kujibu hapa, Division 4 point 29 mwenzetu alipenya vipi mpaka Masters? kuna mengi tunataka kujifunza kutoka kwake hasa mimi ambaye ni Form four Graduate, labda Nape anaweza kuwa role model wangu badala ya Augustine Mrema.
 
kama AG alisema kuna Dr ya akili na ya kupewa basi hata hizo masters kuna za akili na zakupewa.
 
Back
Top Bottom