Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 534
Nape Ana Digree ya Masters isiyomsaidia kitu zaidi ya kutukana; Mnyika ana uwezo wa kukaa na watu, kuwasikiliza na kutafuta mbinu za kutatua matatizo yao. Yupi bora?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu wanajamvi nasikitika tu kueleza kuwa Nape kaanzisha suala la elimu ilihali yeye akijua kabisa kuwa hana uwezo na hatokuwa na uwezo kielimu kama aliokuwa nao Mnyika.
Nape alihamia Nsumba Sekondari iliyoko Mwanza Mwaka 1995 akitokea Ngudu Sekondari iliyoko wilayani Kwimba na kunikuta mimi nikiwa kidato cha kwanza yeye akiwa kidato cha pili.
Nape alifikia kuishi bweni lijulikanalo kwa jina la Mondlane room 3. Kijana Nape alikuwa mcha Mungu sana maarufu kama mlokole.
Nape baada ya kuhitimu form four alipata division four ya point 29. Sasa mimi sijui alifikaje huko form six. baada ya hapo sikuelewa tena nini kiliendelea kwa Nape kwa elimu ya bachelor lakini kwa masters yake amehangaika sana kukamilisha dessertation yake pale Mzumbe kwa habari niliyoipata kutoka kwa Lecturer mmoja ambaye ni jamaa yangu wa karibu na aliyemfahamu tangia akiwa form two.
Nikawaida kwa watu wasiojua na wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama Nape kupenda kujisifia na kujionyesha kwamba wanajua....aliwezaje kujiunga na kidato cha tano? Haishangazi kusikia alifoji vyeti!
Ndugu wanajamvi nasikitika tu kueleza kuwa Nape kaanzisha suala la elimu ilihali yeye akijua kabisa kuwa hana uwezo na hatokuwa na uwezo kielimu kama aliokuwa nao Mnyika.
Nape alihamia Nsumba Sekondari iliyoko Mwanza Mwaka 1995 akitokea Ngudu Sekondari iliyoko wilayani Kwimba na kunikuta mimi nikiwa kidato cha kwanza yeye akiwa kidato cha pili.
Nape alifikia kuishi bweni lijulikanalo kwa jina la Mondlane room 3. Kijana Nape alikuwa mcha Mungu sana maarufu kama mlokole.
Nape baada ya kuhitimu form four alipata division four ya point 29. Sasa mimi sijui alifikaje huko form six. baada ya hapo sikuelewa tena nini kiliendelea kwa Nape kwa elimu ya bachelor lakini kwa masters yake amehangaika sana kukamilisha dessertation yake pale Mzumbe kwa habari niliyoipata kutoka kwa Lecturer mmoja ambaye ni jamaa yangu wa karibu na aliyemfahamu tangia akiwa form two.
Hakwenda kidato cha tano kaka, uzo huo hakuwa nao, aliunga unga certificate na diploma pale Kivukoni ndo akaenda India. Na unajua vyio vya India vinapokea kila mtu mradi pochi.
Acha kujifariji,tupia hapa tafiti zako,naamini ni mbovu kichwani hujui hata kufuatilia mambo yanayojili kila uchwao,Kamuulize msema kweli aliyetunga kitabu na kuwataja kwa majina hao wewe unaowaita wana masters, madokta na maprofesa na huo utulivu wa nape ni upi???tafakari.Tatizo la vijana mnaoshabikia CHADEMA mna ushabiki wa kijinga uliochanganyika na wivu na kukosa fursa!
Sasa unadhani Mnyika ni kiongozi mzuri kuliko Nape, Mnyika anapenda sifa za kijinga ana utulivu alionao Nape hata chembe!
Kuwa na Div 4 o level si hoja! Tuna maprofesa walio feli darasa la saba wakarudia leo ni maprof,fanyeni tafiti acheni ujinga Nape oyee!
...........ni mbunge wa ubungonape nnauye ana masters john mnyika ana nini? Chama gongo la mboto dsm
MKUU samahani funguka kidogo "jitihada" gani!!?Mbinu ni kusoma kwa jitihada ndicho alichofanya Nape Nnauye nimefurahishwa sana na jitihada zake.
Chama
Gongo la mboto DSM
Hii ndo JF bhana, kila kitu unakipata live
Kweli JF never boring "The Boss"
Ngoma inogile umenena vema,ngoja niitafute simu ya huyu mzee Simbeye ili Nape na Mnyika wawe ni miongoni mwa waalikwa,halafu tuone vituko, kwanza ninavyomfahamu Nape ataomba kuwa anaudhuru wa kazi za chama.teh teh,teh.Tutaomba Siku mmoja ...mzee sembeye amualike Nape kwenye Kile kipindi cha kingereza....This week in perspective ........ Huwa anaalika figures Kama ulimwengu and the like....dogo Mnyika pia hualikwa Mara nyingi.
sawa ana masters, je hili la wadogo zake kufeli namna hii anasemaje?
Verry simple, NAPE anayo masterz na Mnyika hakumaliza chuo.period
Sasa wewe ndio nimekuelewa nilikuwa najiuliza sana hii inakuwaje? sasa si Nape tu peke yake wewe umeshanipatia jibu ambalo limekuwa likinisumbuwa muda mrefu hawa Madoctor waliojazana CCM halafu upstairs empty! kumbe jibu ni rahisi tu ni Madoctor wa Itifaki.Kivukoni Diploma hakuipata...aliishia Certificate.....baada ya hapo akaajiriwa CCM ...idara ya nje...kabla ya kutafutiwa admission za kiitifaki......Kama zile makada wa std seven walizokuwa wakipewa zamani....kwenda Russia...wakirudi baada ya miaka Saba wanaitwa doctors ..phd.
Huko India pia alimaliza kiitifaki ....maana Muda mwingi alitumia kufanya siasa za uvccm na kumpigia kampeni Malecela mwaka 2005.
Uzi ufungwe kakudangaya nani? tumeshaongea na Moderator na Nape amepigiwa simu aje kujibu hapa, Division 4 point 29 mwenzetu alipenya vipi mpaka Masters? kuna mengi tunataka kujifunza kutoka kwake hasa mimi ambaye ni Form four Graduate, labda Nape anaweza kuwa role model wangu badala ya Augustine Mrema.Jibu hilo hapo juu, hivyo uzi ufungwe sasa, asante sana staki shari.