Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamuhitaji Nape aje hapa kujibu na siyo hizi ID maalum za Lumumba.Jamani ni kweli NAPE MOSES NAUYE ALIHAMIA NSUMBA sekondari tulimaliza naye kidato cha nne mwaka 1997 alikuwa ni monita wetu mkondo wa kidato cha nne c,matokeo ya kidato cha nne hakupata daraja la nne la 29 bali alipata daraja la pili point 18 iliyomfanya achaguliwe kuingia kidato cha tano Mwenge shule ya sekondari mkoani Singida.Baada ya hapo sikumfuatilia saana na sijui matokeo yake ya kidato cha sita, japo ya form four ndo nayafahamu hivyo.Ni kweli alikuwa ni mlokole kwelikweli nashangaa sasa kumuona anavaa kibadiko kichwani.
Member Array Kazi ipo leo unafanya overtime nini naona umeshinda kwenye uzi huu,,.. njaa mbaya sana hasa ikihamia kichwani toka tumboni.Pole sana mkuu lakin kazi bado zipo nyingi sana za kufanya ni bidii yako tu.Can you prove your point that Nape cheated? I still believes that he worked his way out; one thing I want to remind you is along the life people change; I have the same story my form 4 results was not excellent my dream job was to be sailor so I did not put much pressure towards education; But after the results came out my beloved teacher Mr. Mnyamuru he personal had a special discussions with my parents; since that day I changed for good!!! so for all you nay sayers kiss you ass Nape Nnauye proved you wrong!!!!!!!!
Chama
Gongo la mboto DSM
Bila kumtaja Dr Slaa wala usikii raha wananyevuwanyevuwa, Factjet mbona ana PHD 2 kasomea wapi? hapa tunamtaka Nape aje kujibu je wewe ni Nape?
Bila kumtaja Dr Slaa wala usikii raha wananyevuwanyevuwa, Factjet mbona ana PHD 2 kasomea wapi? hapa tunamtaka Nape aje kujibu je wewe ni Nape?
Kwa nini uje na beliefs na assumptions wakati Nape ni mtu mzima na anaweza kujisemea? Aje hapa aeleze hapa toka hiyo Division IV (29 points) alifanyaje hadi kufika Masters.Can you prove your point that Nape cheated? I still believes that he worked his way out; one thing I want to remind you is along the life people change; I have the same story my form 4 results was not excellent my dream job was to be sailor so I did not put much pressure towards education; But after the results came out my beloved teacher Mr. Mnyamuru he personal had a special discussions with my parents; since that day I changed for good!!! so for all you nay sayers kiss you ass Nape Nnauye proved you wrong!!!!!!!!
Chama
Gongo la mboto DSM
Punguza mashuzi, tangu thread hii imeanza mpaka usiku huu Nape hajatokea anaogopa nini? Aje hapa afafanuwe form four division four point 29 na Masters alipataje? na asipotokea huu mjadala nauhamishio huko facebook wanaposhinda watu dhaifu kama yeye.Wewe mbona toka asabuhi unamataja Nape vipi alete posa Segerea.
Your damn stupid! John Mnyika was not even a full time student at UDSM; he was a evening student !! BG is an inventor and he respects education that why he gives millions of US dollars to colleges in US; Mnyika is just failure but well who always stands to defends
naona hata kula au mapumziko hamna, vidole lazima vipate sugu ivo!
Kwa nini uje na beliefs na assumptions wakati Nape ni mtu mzima na anaweza kujisemea? Aje hapa aeleze hapa toka hiyo Division IV (29 points) alifanyaje hadi kufika Masters.
Mambo anayoyafanya na kuyaongea yanafanana zaidi na point 29 F.IV kuliko na masters.
Your damn stupid! John Mnyika was not even a full time student at UDSM; he was a evening student !! BG is an inventor and he respects education that why he gives millions of US dollars to colleges in US; Mnyika is just failure but well who always stands to defends
naona hata kula au mapumziko hamna, vidole lazima vipate sugu ivo!
Utajaza mwenyewe!
Chama
Gongo la mboto DSM
Punguza mashuzi, tangu thread hii imeanza mpaka usiku huu Nape hajatokea anaogopa nini? Aje hapa afafanuwe form four division four point 29 na Masters alipataje? na asipotokea huu mjadala nauhamishio huko facebook wanaposhinda watu dhaifu kama yeye.
Ninachoshangaa kwa nape ni kuwa elimu aliyonayo haimsaidii. Ameweka elimu pembeni na kuamua kutumikia tumbo. Bado nina mashaka na elimu yake kwani hata uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo sana.
Kwa hiyo tuambie Form 6 alisomea wapi na alipataje? Tuaminije kama hakununua cheti?There is no assumption that`s what he did!
Chama
Gongo la mboto DSM
tunahitaji mtu mwenye elimu ambayo ataitumia kutuondolea matatizo tuliyo nayo hata kama ni ya std seven.wale mafisadi wenye phd waliosaini mikataba mibovu ya kujinufasha elimu yao imetusaidia nini.nafikiri chadema imejaa vijana waliomaliza vyuoni wakitegemea kupatiwa kazi na serikali lakini haikuwa hivyo na bado wakisubiri wakiamini upinzani ukishinda wataitwa kazini.ngoma inogile umenena vema,ngoja niitafute simu ya huyu mzee simbeye ili nape na mnyika wawe ni miongoni mwa waalikwa,halafu tuone vituko, kwanza ninavyomfahamu nape ataomba kuwa anaudhuru wa kazi za chama.teh teh,teh.
Kwa hiyo tuambie Form 6 alisomea wapi na alipataje? Tuaminije kama hakununua cheti?