Elimu ya Nape Nnauye

Elimu ya Nape Nnauye

This is interesting:

Nimeamua kueleza ukweli huu baada ya kuona upotoshaji wa makusudi unaoendelea humu.

Kuna mtu kajitokeza kujibu elimu ya Nape wengi wakahoji kwani Nape yuko wapi asijitokeze mwenyewe kujibu kama alivyofanya Mnyika?

Naomba mfahamu aliyejibu ni Nape mwenyewe kwa kutumia ID ya bandia, lakini amekuwa mno too radical hadi watu wakamshtukia.

Lakini hoja sio kuwa radical, au kutumia ID bandia, hoja ni kuwa amefanya upotoshaji wa makusudi uliotuacha mdomnd wazi wale tunaomfahamu. Sasa ukweli kuhusu elimu ya Nape huu hapa.

Mwaka 1993 alifeli darasa la saba. Wakati ule jina halali la Nape akiitwa Nahum Nnauye. Waliosoma nae wanakumbuka. Bt akafanyiwa mpango na kupewa jina la Nape Mkumbo Nyagicha mtoto masikini wa Kinyiramba, aliyefaulu lakini familia yake haikuwa na uwezo wa kumsomesha.

Mwaka 1994 Nahum Nnauye akajiunga na shule ya sekondari ya kutwa Ndugu wilayani Kwimba akiwa na jina kaiba jina jipya la Nape. Mwaka 1995 akahamishiwa shule ya Sekondari Nsumba kwa kutumia title ya baba yake Mzee Moses Nnauye.

Mwal 1997 akafeli form four kwa kupata division four ya point 29 akiwa na D 4, c 1 na F 5. Akareseat mara 2 bila mafanikio pale Butimc TTC ambacho ni kituo cha watahiniwa binafsi. Mwaka 1999 na mwaka 2000.

Akakata tamaa na hatimaye mwaka 2001 akaamua kwenda kusoma cheti cha Uhazili (cert of secretarial services) katika chuo cha Kivukoni. So kabla sijaendelea naomba ieleweke kuwa Nahum Moses Nnauye (Nape) hajawahi kusoma form 5 shule yoyote duniani. Kama anabisha aje hapa tumuulize maswali ya Geography 1 au Ecomics 2 uone atakavyochanganyikiwa. Kwanza hajui kama kuna paper 1 na 2 A.level, atasemaje amesoma A.level?

So uhazili mwaka akatumia cheti chake cha uhazili kuomba diploma pale chuo cha Diplomasia kurasini. akapata na akaanza kusoma. Mwaka mwaka 2002 akafeli kuendelea na 2nd year baada ya kupata suplimentary 4 ktk masomo 6 aliyokuwa akisoma. So kwa kifupi akadsco. Hivyo naomba ieleweke kuwa huyu jamaa anayejiita Nape hajawahi kutunukiwa diplmoma yoyote kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini. Kwanza asikidhalilishe chuo maana pale hakuna Diploma ya mwaka mmoja. kama anabisha aupoad picha yoyote hapa alipokuwa anatunukiwa hiyo diploma.

Grace Mwasonge unamkumbuka Nape vzr maana alikuwa classmate wako wakati huo. So najua uko humu japo kwa ID tofauti naomba ujitokeze kudhibitisha ili isionekane nafanya defamation.

Mwaka 2004 akatumia cheti chake form four kuomba degree India kwa kusaidiwa na mwandishi mmoja mashuhuri nchini kwa kuwatafutia vyuo vya nje watu waliofeli.

Na akapata kwa masharti ya kusoma miaka minne. Ikumbukwe India ni nchi yenye vyuo vya hovyo sana duniani, na ni miongoni mwa nchi ambazo hata kama una zero unaweza kusoma Bachelor bila matatizo yoyote hadi ukahitimu. Reffer kesi ya Mr.Andekisye, Lecturer aliyefukuzwa kazi Arusha University kwa kusoma elimu feki India. Andekisye aliajiriwa kama mhadhiri wa Marketing na Business Mathematics akidai ana MBA kutoka India. Bt ilipofuatiliwa ikagundulika ni kweli ana Masters bt hajawahi kusoma Bachelor. Alichomoka na Diploma yake ya Ualimu (Mathematics & Physics) kutoka Monduli TTC akaaply Masters India akapata akaenda kujoin. Sasa imagine mtu anatoka Diploma anakwenda Masters sembuse Nape kusoma bachelor?

So akapata degree yake fake ya psychology ambayo ndiyo aliyoitumia kuomba masters mzumbe. Na mzumbe hakukabidhi cheti zaidi ya kile cha degree yake ya India.
Kama anabisha aweke vyeti vyake vya o.lel na a.level hapa.

Huyo ndiye Nahum Moses Nnauye anayejiita Nape. Katibu mwenzezi wa Chama cha Mapinduzi CCM na mgombe ubunge ubungo mwaka 2010, wakati ule akijaribu kushindana na genious aliyepata A 9 O.Level yeye akiwa na D 4 tu.
 
This is interesting: MUZEEZAIDI posted:

Mwaka 1993 alifeli darasa la saba. Wakati ule jina halali la Nape akiitwa Nahum Nnauye. Waliosoma nae wanakumbuka. Bt akafanyiwa mpango na kupewa jina la Nape Mkumbo Nyagicha mtoto masikini wa Kinyiramba, aliyefaulu lakini familia yake haikuwa na uwezo wa kumsomesha.

Mwaka 1994 Nahum Nnauye akajiunga na shule ya sekondari ya kutwa Ndugu wilayani Kwimba akiwa na jina kaiba jina jipya la Nape. Mwaka 1995 akahamishiwa shule ya Sekondari Nsumba kwa kutumia title ya baba yake Mzee Moses Nnauye.

Mwal 1997 akafeli form four kwa kupata division four ya point 29 akiwa na D 4, c 1 na F 5. Akareseat mara 2 bila mafanikio pale Butimc TTC ambacho ni kituo cha watahiniwa binafsi. Mwaka 1999 na mwaka 2000.

Akakata tamaa na hatimaye mwaka 2001 akaamua kwenda kusoma cheti cha Uhazili (cert of secretarial services) katika chuo cha Kivukoni. So kabla sijaendelea naomba ieleweke kuwa Nahum Moses Nnauye (Nape) hajawahi kusoma form 5 shule yoyote duniani. Kama anabisha aje hapa tumuulize maswali ya Geography 1 au Ecomics 2 uone atakavyochanganyikiwa. Kwanza hajui kama kuna paper 1 na 2 A.level, atasemaje amesoma A.level?

So uhazili mwaka akatumia cheti chake cha uhazili kuomba diploma pale chuo cha Diplomasia kurasini. akapata na akaanza kusoma. Mwaka mwaka 2002 akafeli kuendelea na 2nd year baada ya kupata suplimentary 4 ktk masomo 6 aliyokuwa akisoma. So kwa kifupi akadsco. Hivyo naomba ieleweke kuwa huyu jamaa anayejiita Nape hajawahi kutunukiwa diplmoma yoyote kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini. Kwanza asikidhalilishe chuo maana pale hakuna Diploma ya mwaka mmoja. kama anabisha aupoad picha yoyote hapa alipokuwa anatunukiwa hiyo diploma.

Grace Mwasonge unamkumbuka Nape vzr maana alikuwa classmate wako wakati huo. So najua uko humu japo kwa ID tofauti naomba ujitokeze kudhibitisha ili isionekane nafanya defamation.

Mwaka 2004 akatumia cheti chake form four kuomba degree India kwa kusaidiwa na mwandishi mmoja mashuhuri nchini kwa kuwatafutia vyuo vya nje watu waliofeli.

Na akapata kwa masharti ya kusoma miaka minne. Ikumbukwe India ni nchi yenye vyuo vya hovyo sana duniani, na ni miongoni mwa nchi ambazo hata kama una zero unaweza kusoma Bachelor bila matatizo yoyote hadi ukahitimu. Reffer kesi ya Mr.Andekisye, Lecturer aliyefukuzwa kazi Arusha University kwa kusoma elimu feki India. Andekisye aliajiriwa kama mhadhiri wa Marketing na Business Mathematics akidai ana MBA kutoka India. Bt ilipofuatiliwa ikagundulika ni kweli ana Masters bt hajawahi kusoma Bachelor. Alichomoka na Diploma yake ya Ualimu (Mathematics & Physics) kutoka Monduli TTC akaaply Masters India akapata akaenda kujoin. Sasa imagine mtu anatoka Diploma anakwenda Masters sembuse Nape kusoma bachelor?
Duuh!!!!!

Ama kweli!
 
MUZEEZAIDI, naona uzi wako ulikuwa umefutwa lakini kuna waliokuwa wameu copy na wametuwekea hapa. Nagonga thanks kwako.
 
Last edited by a moderator:
Dah hongera Nape Nnauye ! Hii path nitaitumia kwa dogo langu moja nunda ile mbaya! I'll simply have to use Nape's winning formula: Risiti,four, risiti, pata credit, A-level ya taasisi EGM,feli, risiti, pata cerdit, cheti kivukoni,weka pembeni, diploma diplomasia, B.A (saikolojia, lugha na habari....made in India ), M.P.A manufactured in Mzumbe (andikia chochote kile mfano "namna ya kutumia mishumaa majumbani umeme ukikatika")........SAAAFIII. Baada ya hapo wenye elimu ndogo watamkomaje!!!

Angalizo: Kwa ruti hii lazima pia awe na bahati ya kuweza kubadili Sur name na kutoka Mshindo kuwa, say Ngombale mwilu.
 
Ni genius wa kubuni ruti kama hii.
 
Taarifa ya maelezo binafsi,yanayomuhusu Ndugu Nape, iliyobandikwa jamvini na kada wa CCM anayefahamika kwa jina la Chama,yanafanana,kwa kiasi fulani, na jinsi ninavyoielewa historia ya mhusika ya Elimu.Kinyume na madai ya Ndugu Chama, kuwa,Nape alisoma Stashahada katika chuo cha makada wa CCM,ukweli wa mambo ni kuwa mhusika alisoma,Chuoni hapo,masomo husika, katika ngazi ya ''Certificate'',astashahada.Maelezo mengine yanafanana na taarifa ambazo baadhi yetu tunazo kuhusu mhusika ingwa hatuwezi kuthibitisha uhalisia ama uhalali wake.
Ni vema sote,tuelewe, kuwa wapo wananchi hupata udahili katika vyuo mbalimbali kwa utaratibu wa kutumia vyeti ama alama mlinganisho.Ni dhahiri,kuwa,mtiririko alioupitia Nape ulifuata utaratibu huo huo.Hata hivyo,daima,matokeo yake ya Kidato cha Sita na Nne yanaweka kovu lisipendeza wala kufutika katika historia yake ya kielimu.Ilitarajiwa,kwa hiyo,ajiepusha katika magenge na harakati za kuhoji historia za Elimu za wananchi wengine.Kwa kuwa amechagua njia isiyofaa,mara mambo yanapomuwia vigumu,utetezi wake umekuwa ni rahisi na wa haraka.Mara kadhaa umsikia atasikika yeye ama watetezi wake , wkitamka ''Elimu ya Shahada ya Kwanza kutoka India na Shahada ya Uzamili kutoka Mzumbe' kana kwamba ngazi hizo za Elimu hazina uhusiana na ngazi za chini!
Kwamba viwango vya Elimu alivyopitia katika ngazi mbalimbali ni halali ama vinginevyo,si rahisi sisi wengine kufahamu kwa uhakika,kutokana na urasimu katika kupata habari na taarifa sahihi na zenye kuaminika kutoka mamlaka husika.
Ukweli anaotakiwa kuukubali na ikiwezekana kuutangaza hadharani ni kuwa alipata kupata Daraja Sifuri katika Mtihani wa Kidato cha Sita na Daraja la Nne katika Mtihani wa Kidato cha Nne.Bila shaka hii kwake ni kumbukumbu zinazouumiza moyo wake na kutia doa historia yake na kufisha ujasiri wake.Lakini huo ndio ukweli utakaomfuata muda wote hata kama angependa kujitenga nao.

VIWANGO VYA ELIMU VYA VIONGOZI WA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI TANZANIA.

Dr. Wilbrod P. Slaa (CV)

EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

Kwa CV hii ni wazi kabisa kuwa Dr Slaa amefoji Udaktari wake..,Katika System ya Mitaala ya Tanzania ambayo inafuata English system na iko hivyo duniani kote ambako English system inatumika ambapo ni takriban Nusu ya Dunia inatumia system hii (italy ikiwemo ambako Dr amesomea Upadri), hakuna uwezekano kwa mtu yeyote kuweza kusomea Doctor of philosophy (Phd) ambayo ni Degree ya tatu, akiwa bado hajasoma Masters Degree.

Lakini kama hilo la CV ya Slaa limekushtua nadhani hili linalofuata hapa ndio litakuua kabisa, ebu fuatilia kwa makini viwango vya elimu ya juu kwa viongozi waandamizi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Mwenyekiti: (Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, upande wa Bara)

Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe;
Kiwango cha elimu (education); Form four leaver.(form six alipata zero-hana cheti)
Uzoefu (Experience); Disco joker (DJ)

Mgombea Mwenza Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, upande wa Zanzibar.
Ndugu; Said Mzee Said;
Kiwango cha Elimu; Darasa la Saba (Standard Seven)
Uzoefu (experience); Muuza Samaki

Katibu Mkuu:
Ndugu Wilbrod Peter Slaa*
Kiwango cha Elimu; Walakini na kiza kinene kama ilivyoainishwa hapo Juu.
Uzoefu; Padri wa Kanisa Katoliki Tanzania.
*jina Peter Slaa pia linawalakini.(sio jina lake halisi)

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi;
Mhe. John Mnyika
Kiwango cha Elimu; Kidato cha Sita (Form six leaver)
Uzoefu: Kiongozi wa Migomo*.
*(Un-official disclosure)

Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Kivuli Ulinzi na Usalama
Mhe; Godbless Lema
Kiwango cha Elimu; Form four leaver. (Kidato cha Nne)
Uzoefu: Muuza mitumba Arusha.

Waziri Kivuli Habari, Michezo na Utamaduni
Mhe; Joseph Mbilinyi.
Kiwango cha Elimu; Darasa La Saba (aliacha shule akiwa form two)
Uzoefu; Muimba muziki wa kihuni (hiphop)

Waziri kivuli wa Maliasili na Utalii;
Mhe; Peter Msigwa
Kiwango cha Elimu; Form four (kidato cha nne)
Uzoefu; Mchungaji.*

*ametelekeza kanisa kwa sasa
 
Aliwahi yeye mwenyewe kutuambia kuwa alisoma India kwa mkopo wa bodi ya mkopo.

Nauliza uhalala wa mkopo huo kwa mtu mwenye Division O. Au ni alitumia cheo cha baba yake kupata huo mkopo?
 
Mwaka 2004 akatumia cheti chake cha form four kuomba degree India......???
 
Msomi my @$$, kama kweli ni msomi ajibu na kujenga hoja kisomi, sio propaganda, kama kweli ni msomi aseme ile miezi sita aliyowapa mafisadi wajiondoe wenyewe kwenye chama imebaki mingapi, au miezi mia sita sitini na sita
 
Nadhani muhimu ni kuhoji ukweli wa yaliyoandikwa.

Any public figure should be ready for public scrutiny.

Zaidi ya yeye mwenyewe Nahum kujitokeza na kuthibithisha hapa unadhani ukweli wa yaliyoandikwa tutaupata wapi Mwanaukweli?
 
Jamani ebu acheni kumuonea kijana wa watu,Nape Moses N nimesoma naye na tukamiliza wote kidato cha nne 1997 shule ya sekondari Nsumba japo ni kweli kuwa alihamia sijui alikotokea na alikuwa mlokole sana, kiongozi wetu wa darasa la kidato cha nne C. Matokeo yake ya kidato cha nne hayakuwa mabaya kama ilivyosemwa hapo juu, ninachofahamu mimi ni kuwa alipata daraja la pili lenye point 18 ushindi uliomwezesha kuchaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano shule ya sekondari Mwenge mkoani Singida na baada ya hapo sikufuatilia sana kama alimaliza na kufaulu kwa ushindi gani ila hayo ya kidato cha nne nayafahamu hivyo.
Nawasilisha jamani.
 
Zaidi ya yeye mwenyewe Nahum kujitokeza na kuthibithisha hapa unadhani ukweli wa yaliyoandikwa tutaupata wapi Mwanaukweli?
Ndio na mimi namtaka aje hapa atueleze fumbo la elimu yake kuanzia ile Division IV ya Form IV (point 29) alisafishaje vyeti mpaka kusonga mbele.
 
VIWANGO VYA ELIMU VYA VIONGOZI WA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI TANZANIA.

Dr. Wilbrod P. Slaa (CV)

EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

Kwa CV hii ni wazi kabisa kuwa Dr Slaa amefoji Udaktari wake..,Katika System ya Mitaala ya Tanzania ambayo inafuata English system na iko hivyo duniani kote ambako English system inatumika ambapo ni takriban Nusu ya Dunia inatumia system hii (italy ikiwemo ambako Dr amesomea Upadri), hakuna uwezekano kwa mtu yeyote kuweza kusomea Doctor of philosophy (Phd) ambayo ni Degree ya tatu, akiwa bado hajasoma Masters Degree.

Lakini kama hilo la CV ya Slaa limekushtua nadhani hili linalofuata hapa ndio litakuua kabisa, ebu fuatilia kwa makini viwango vya elimu ya juu kwa viongozi waandamizi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Mwenyekiti: (Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, upande wa Bara)

Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe;
Kiwango cha elimu (education); Form four leaver.(form six alipata zero-hana cheti)
Uzoefu (Experience); Disco joker (DJ)

Mgombea Mwenza Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, upande wa Zanzibar.
Ndugu; Said Mzee Said;
Kiwango cha Elimu; Darasa la Saba (Standard Seven)
Uzoefu (experience); Muuza Samaki

Katibu Mkuu:
Ndugu Wilbrod Peter Slaa*
Kiwango cha Elimu; Walakini na kiza kinene kama ilivyoainishwa hapo Juu.
Uzoefu; Padri wa Kanisa Katoliki Tanzania.
*jina Peter Slaa pia linawalakini.(sio jina lake halisi)

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi;
Mhe. John Mnyika
Kiwango cha Elimu; Kidato cha Sita (Form six leaver)
Uzoefu: Kiongozi wa Migomo*.
*(Un-official disclosure)

Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Kivuli Ulinzi na Usalama
Mhe; Godbless Lema
Kiwango cha Elimu; Form four leaver. (Kidato cha Nne)
Uzoefu: Muuza mitumba Arusha.

Waziri Kivuli Habari, Michezo na Utamaduni
Mhe; Joseph Mbilinyi.
Kiwango cha Elimu; Darasa La Saba (aliacha shule akiwa form two)
Uzoefu; Muimba muziki wa kihuni (hiphop)

Waziri kivuli wa Maliasili na Utalii;
Mhe; Peter Msigwa
Kiwango cha Elimu; Form four (kidato cha nne)
Uzoefu; Mchungaji.*

*ametelekeza kanisa kwa sasa

kama kweli mmekubali akili ndogo itawale akili kubwa mnapotea kama hawa jamaa ni kweli wana hizo elimu then wengine wanasumbuliwa na hawalali usingizi kweli mmekubali akili ndogo itawe ile kubwa
 
Back
Top Bottom