Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Najua kama tumetofautiana Imani, mitizamo pamoja masuala ya kiitikadi."Ukiwa nyoronyoro hata nikipiga chafya utaona nimepanic na nikikusalimia tu "Hello" utasema nimekushambulia kwa kukuita "hell hole".
1. Astrology haina msingi wowote wa kutabiri maisha kama inavyosema.
2. Haijajibu maswali yanayoonesha kwamba astrology ni uongouongo tu.
Kwa sababu ni uongouongo tu.
Na wewe unakubali jua, mwezi na sayari zote ni sayari?
Hiyo ndiyo sababu wewe si mimi."Najua kama tumetofautiana Imani, mitizamo pamoja masuala ya kiitikadi."
Hivyo ndivyo jamaa alivyoandika mwanzoni kabisa kwnye uzi wake,hata mie nina mtazamo tofauti kidogo na jamaa katika hili ila sijaona haja kubishana na jamaa kama ufanyavyo wewe.
Tatizo huna elimu na hicho unachokipinga na kuita uongo,na si kwamba umekatazwa kupinga au wewe ni mtu wa kwanza kupinga.Hiyo ndiyo sababu wewe si mimi.
Natumia haki yangu ya kutoa mawazo kwa kupingana na uongo popote pale ninapouona.
Wewe kama unapendelea kuukumbatia ni haki yako pia.
Ukitaka kuijua hii elimu sharti uwe connected nayo la sivyo utakuwa mbishi tu.binafsi naipenda sana hii elimu ili inisaidie kny mambo yangu.kwani naamini hata unapotaka kufanya jambo unafanyaga ubashiri au utabiri kwanza kabla ya kulifanya hilo jambo tena bila kujua unafanya utabiri.Ungekua ni mtu ambaye upo huru kujifunza, ningekutumia vitabu vingi kwenye WhatsApp uone hizo hoja zilivyojibiwa.
Lakini baada ya kufuatilia nyuzi zako nyingi nikagundua we ni mtu wa aina gani.
Siwezi hata kukutumia vitabu vyangu kusoma. Mtu mwenye hoja za msingi ni yule aliyekua na elimu katika pande zote mbili. Kisha akaamua afuate njia ipi?
Je unajua lolote kuhusu unajimu?. Maana hizo hoja zako ulizoleta hapo sio msahafu ama biblia.
Elimu gani kuhusu uongo?Tatizo huna elimu na hicho unachokipinga na kuita uongo,na si kwamba umekatazwa kupinga au wewe ni mtu wa kwanza kupinga.
Kubali huna elimu na unachokipinga,hivyo ulipaswa uwe mstaarabu tu.
Itabidi uwe specific unataka kitabu cha aina gani na kinachohusu nini?Ukitaka kuijua hii elimu sharti uwe connected nayo la sivyo utakuwa mbishi tu.binafsi naipenda sana hii elimu ili inisaidie kny mambo yangu.kwani naamini hata unapotaka kufanya jambo unafanyaga ubashiri au utabiri kwanza kabla ya kulifanya hilo jambo tena bila kujua unafanya utabiri.
Nikija WhatsApp utanipa hivyo vitabu?
Kitabu cha nyumba ya Tisa.Itabidi uwe specific unataka kitabu cha aina gani na kinachohusu nini?
Sasa nikishakupa kitabu ni kama nimekupa elimu bure ambayo hujailipia.Kitabu cha nyumba ya Tisa.
tumia muda mwingi kuelimisha wapo wapendao na wasiopenda husika kujibu wanaotaka kujua,wasiotaka achana nao na endelea,wanaojifunza wapo ni wengi.Kwa mtu mgeni Jamii forum ndio atamshangaa Kiranga.
Elimu ni pana sana, ndio mana nimewapa fursa mniulize swali lolote nami ntawajibu.tumia muda mwingi kuelimisha wapo wapendao na wasiopenda husika kujibu wanaotaka kujua,wasiotaka achana nao na endelea,wanaojifunza wapo ni wengi.
Nimeuliza maswali lukuki hapo juu yanayohoji kama astrology ina mantiki.Elimu ni pana sana, ndio mana nimewapa fursa mniulize swali lolote nami ntawajibu.
Muwe huru kuuliza chochote. Ila kama unataka kozi ambayo inafuata mtiririko maalum (Syllabus) basi hapo utanicheki WhatsApp.
Miongoni mwa watu niliopitia kusoma katika kozi zake, kuna mwanamama anaitwa Sarah.Mkuu kichekoh unamfahamu mtu anayeitwa Sarah Freder? Unamjua kivipi kwenye maswala ya unajimu?
Sawa mkuu. Huyu mwana mama anapatikana/alikuwa anapatikana kwenye mji wa Liverpool. Maana nilianza kumsikia early 2000 na kwenye page yake kulikuwa na picha ya bibi kizee. Alitamba kwa unajimu huko ulaya.Miongoni mwa watu niliopitia kusoma katika kozi zake, kuna mwanamama anaitwa Sarah.
Ila sijamfuatilia kiundani kwa sababu kwenye title ya page yake. Aliandika Sarah tu. Ila nitamtafuta halafu nitamlinganisha kama mtu unayezungumzia ndio huyo.
Mkuu nimefuatilia na nimegundua ni watu wawili tofauti. Niliyemsoma mimi ni mwingine.Sawa mkuu. Huyu mwana mama anapatikana/alikuwa anapatikana kwenye mji wa Liverpool. Maana nilianza kumsikia early 2000 na kwenye page yake kulikuwa na picha ya bibi kizee. Alitamba kwa unajimu huko ulaya.
Anzisha uzi wako...ueleze kupinga acha kuchafua uzi wa mwenzako bila sababu za msingiUkiwa nyoronyoro hata nikipiga chafya utaona nimepanic na nikikusalimia tu "Hello" utasema nimekushambulia kwa kukuita "hell hole".
1. Astrology haina msingi wowote wa kutabiri maisha kama inavyosema.
2. Haijajibu maswali yanayoonesha kwamba astrology ni uongouongo tu.
Kwa sababu ni uongouongo tu.
Na wewe unakubali jua, mwezi na sayari zote ni sayari?