Elimu ya unajimu

Elimu ya unajimu

Taratibu naona tunaanza kuelekea kule kwa mpinga mungu.
 
Ifike pahala binadamu akubali kuna mambo mengine hawezi kuyajua.

Ukikubali hilo jambo utayajua mengi sana
 
Ukiwa nyoronyoro hata nikipiga chafya utaona nimepanic na nikikusalimia tu "Hello" utasema nimekushambulia kwa kukuita "hell hole".

1. Astrology haina msingi wowote wa kutabiri maisha kama inavyosema.

2. Haijajibu maswali yanayoonesha kwamba astrology ni uongouongo tu.

Kwa sababu ni uongouongo tu.

Na wewe unakubali jua, mwezi na sayari zote ni sayari?
"Najua kama tumetofautiana Imani, mitizamo pamoja masuala ya kiitikadi."

Hivyo ndivyo jamaa alivyoandika mwanzoni kabisa kwnye uzi wake,hata mie nina mtazamo tofauti kidogo na jamaa katika hili ila sijaona haja kubishana na jamaa kama ufanyavyo wewe.
 
Hiyo ndiyo sababu wewe si mimi.

Natumia haki yangu ya kutoa mawazo kwa kupingana na uongo popote pale ninapouona.

Wewe kama unapendelea kuukumbatia ni haki yako pia.
 
Tatizo huna elimu na hicho unachokipinga na kuita uongo,na si kwamba umekatazwa kupinga au wewe ni mtu wa kwanza kupinga.

Kubali huna elimu na unachokipinga,hivyo ulipaswa uwe mstaarabu tu.
 
Ungekua ni mtu ambaye upo huru kujifunza, ningekutumia vitabu vingi kwenye WhatsApp uone hizo hoja zilivyojibiwa.

Lakini baada ya kufuatilia nyuzi zako nyingi nikagundua we ni mtu wa aina gani.

Siwezi hata kukutumia vitabu vyangu kusoma. Mtu mwenye hoja za msingi ni yule aliyekua na elimu katika pande zote mbili. Kisha akaamua afuate njia ipi?

Je unajua lolote kuhusu unajimu?. Maana hizo hoja zako ulizoleta hapo sio msahafu ama biblia.
Ukitaka kuijua hii elimu sharti uwe connected nayo la sivyo utakuwa mbishi tu.binafsi naipenda sana hii elimu ili inisaidie kny mambo yangu.kwani naamini hata unapotaka kufanya jambo unafanyaga ubashiri au utabiri kwanza kabla ya kulifanya hilo jambo tena bila kujua unafanya utabiri.
Nikija WhatsApp utanipa hivyo vitabu?
 
Tatizo huna elimu na hicho unachokipinga na kuita uongo,na si kwamba umekatazwa kupinga au wewe ni mtu wa kwanza kupinga.

Kubali huna elimu na unachokipinga,hivyo ulipaswa uwe mstaarabu tu.
Elimu gani kuhusu uongo?

Mimi nasoma Astronomy, si Astrology.

Astrology is less than Alchemy.
 
Ukitaka kuijua hii elimu sharti uwe connected nayo la sivyo utakuwa mbishi tu.binafsi naipenda sana hii elimu ili inisaidie kny mambo yangu.kwani naamini hata unapotaka kufanya jambo unafanyaga ubashiri au utabiri kwanza kabla ya kulifanya hilo jambo tena bila kujua unafanya utabiri.
Nikija WhatsApp utanipa hivyo vitabu?
Itabidi uwe specific unataka kitabu cha aina gani na kinachohusu nini?
 
Kitabu cha nyumba ya Tisa.
Sasa nikishakupa kitabu ni kama nimekupa elimu bure ambayo hujailipia.

Mara nyingi hufanya hivyo kwa wale ambao washafika hatua fulani ya elimu katika unajimu.

Hivyo nawapa vitabu pamoja na software ili wajiendeleze kwa faida zao binafsi.

Pia ni lazima uwe tayari una ABC za unajimu, hiyo itapelekea kukielewa kwa wepesi hicho unachotaka nikutumie.
 
tumia muda mwingi kuelimisha wapo wapendao na wasiopenda husika kujibu wanaotaka kujua,wasiotaka achana nao na endelea,wanaojifunza wapo ni wengi.
Elimu ni pana sana, ndio mana nimewapa fursa mniulize swali lolote nami ntawajibu.

Muwe huru kuuliza chochote. Ila kama unataka kozi ambayo inafuata mtiririko maalum (Syllabus) basi hapo utanicheki WhatsApp.
 
Nimeuliza maswali lukuki hapo juu yanayohoji kama astrology ina mantiki.

Umeyakimbia, hujayajibu.

Kwa sababu astrology haina mantiki.

Ni uongonuongo ulioungwaungwa enzi za ujinga tu.

Nashangaa mpaka leo watu wanaaminineti nyota zinaongoza maisha yao.

Ujunga mtupu.
 
Mkuu kichekoh unamfahamu mtu anayeitwa Sarah Freder? Unamjua kivipi kwenye maswala ya unajimu?
Miongoni mwa watu niliopitia kusoma katika kozi zake, kuna mwanamama anaitwa Sarah.

Ila sijamfuatilia kiundani kwa sababu kwenye title ya page yake. Aliandika Sarah tu. Ila nitamtafuta halafu nitamlinganisha kama mtu unayezungumzia ndio huyo.
 
Sawa mkuu. Huyu mwana mama anapatikana/alikuwa anapatikana kwenye mji wa Liverpool. Maana nilianza kumsikia early 2000 na kwenye page yake kulikuwa na picha ya bibi kizee. Alitamba kwa unajimu huko ulaya.
 
Mkuu nimefuatilia na nimegundua ni watu wawili tofauti. Niliyemsoma mimi ni mwingine.
 
Kuanzia tarehe 26 Julai 2018 sayari ya Mercury itakua inarudi nyuma (Retrograde) mpaka tarehe 19 August 2018.

Ndani ya siku zijazo nitaweka makala maalum kuzungumzia hiyo hali na athari zake katika maisha yetu hapa duniani.
 
Ukiwa nyoronyoro hata nikipiga chafya utaona nimepanic na nikikusalimia tu "Hello" utasema nimekushambulia kwa kukuita "hell hole".

1. Astrology haina msingi wowote wa kutabiri maisha kama inavyosema.

2. Haijajibu maswali yanayoonesha kwamba astrology ni uongouongo tu.

Kwa sababu ni uongouongo tu.

Na wewe unakubali jua, mwezi na sayari zote ni sayari?
Anzisha uzi wako...ueleze kupinga acha kuchafua uzi wa mwenzako bila sababu za msingi
 
Back
Top Bottom