Elimu yetu ipo kibaguzi, direct entry ndio wamepewa nafasi zaidi vyuoni

Elimu yetu ipo kibaguzi, direct entry ndio wamepewa nafasi zaidi vyuoni

Mzee Mchopu

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
1,031
Reaction score
268
Kwa utafiti wangu niloufanya karibu kwa kipindi cha siku sita sasa ni kwamba wanaopewa fursa ya kupata vyuo NI BRN na sio diploma holder kama mimi, wanajamii wenzangu mie nina diploma ya sheria na nina GPA ya 4.3, sasa ni kwann mpaka sasa sjapewa fursa ya kupata chuo kati ya vyuo niloomba kimebakia UDOM pekee na sio mimi ni kundi kubwa sana, hivi tatizo lipo wapi?
 
GPA yako sio mbaya. ila tatzo umeomba vyuo ambavyo unapambana na wenye minimum points 13 sjui unapataje nafasi hapo.
 
mda bado wana haraka hawa duh pole pole ndo mwendo kaka
 
halaf ubaguz huo mnautengeneza kuitana brn. na wao mbonq hawawaiti kuwa mnaunga unga? au fm 4 mloshndwa? acgeni ujinga.

kuna mijitu inadiriki kusema et div 1 ya sasa ni 4 au 3 ya mwaka jana, sasa cjui ni kujitoa akili au ndo maneno ya mkosaji, hata siwaelewi hawa watu na vidiploma vyao, wao enzi zao si walikosa hata E mbili watulie basi. na tuache kudharauliana. kwa taarifa ni kwamba mwenye div 1 ya sasa kwa grade za zamani asingepata chini ya div II ya point 10.
 
DIPLOMA YA SHERIA SI KITU KIDOGO ETI WE JAMAA, NI PROFESSIONAL ILA WEWE NA FORM SIX YAKO HAUNA UJUZI UNAJUA MZIKIWA KUPATA 4.3 WEWE unasemea utashi hata ukasome hapo udsm miaka mia law hupewi kizembe lazima ufanye kazi ya ziada, halafu si kila mwenye diploma ana form four bana. mi najivunia nina professiona naweza hata kutoa legal advice ila wewe na six yako huna lolote la kumpa ushauri wa kisheria mtu.
 
Pia Sa nyingine inategemeana na chuo ulichochukulia iyo diploma kwa mfano kwa udsm senate yake inatambua vyuo vyenye reputation nzuri sasa unaweza ukakuta una first class na bado wakakutema,afu pia hoja ya kusema Form six ndo wamepewa upendeleo si kweli kuna nafasi special kwa diploma holders zinakuwa zimewekwa reserved kwa ajili yenu kwenye kila course sasa labda kuna wenzako wamekuzidi vigezo ndo mana ujachaguliwa
 
sio kwamba wananikatisha Ila TCU imeshindwa kutoa haki yenye usawa, kwann tunsema hii nchi ni moja wakati kiuhalisia imegawanywa, si nchi moja hii tanzania UBAGUZI. na nina apa kwa jina la mwenyezimungu kama nisipo pata kabisa hata second BATCH, ntaenda nacte na TCU kuwaomba watimize wajibu wao, na kama ikiendelea hivyo, itanibidi nifanye kuona kama kuna uwezekano wa mimi kwenda MAHAKAMANI, Kudai haki yangu ya kikatiba kabisa
 
kaka UDSM kachukua DIPLOMA HOLDERS 71 TU. NA KATI YA HAO MTU WA DIPLOMA YA SHERIA NI MMOJA TU. kwann. hivi unajua INSTITUTE OF JUDICIAL ADMINISTRATION, mziki wake. ni zaidi ya udsm asee. WHY? tena mtu mwenyewe ana GPA YA 3.5. mimi nina 4.3, angalia hapo gap hilo kama kigezo ni reputation. IJA NI CHUO CHENYE HESHIMA KUBWA SANA NA CHENYE HISTORA hapa TANZANI
 
Hakuna alomdharau mtu wa BRN ila tuncholalama ni kwamba BIG RESULT NOW mmepewa KEKI KUBWA KARIBU 97% mmepewa kweli Hii nchi yenye kufata ujamaa?
 
Basi ni haraka?, sio hata haraka, basi nisichaguliwe mie wachaguliwe basi wengine zaidi yangu, hiki kitu hakiingii akilini. duuh kweli inaumiza mpaka sasa KIMEBAKIA UDOM TU.
 
AU sio itakua heri pia ila mimi nlikua nataka course ya 3yrs. law enforcement. sababu tayari nna diploma
 
Ki ukweli hii kauli ya kuipeleka TCU mahakaman nimesikia kwako na mkuu ntapenda sana niwepo kuisikiliz hiyo kesi

nina apa kwa jina la mwenyezimungu kama nisipo pata kabisa hata second BATCH, ntaenda nacte na TCU kuwaomba watimize wajibu wao, na kama ikiendelea hivyo, itanibidi nifanye kuona kama kuna uwezekano wa mimi kwenda MAHAKAMANI, Kudai haki yangu ya kikatiba kabisa[/QUOTE]



Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom