Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Kwa utafiti wangu niloufanya karibu kwa kipindi cha siku sita sasa ni kwamba wanaopewa fursa ya kupata vyuo NI BRN na sio diploma holder kama mimi, wanajamii wenzangu mie nina diploma ya sheria na nina GPA ya 4.3, sasa ni kwann mpaka sasa sjapewa fursa ya kupata chuo kati ya vyuo niloomba kimebakia UDOM pekee na sio mimi ni kundi kubwa sana, hivi tatizo lipo wapi?