Elimu yetu ipo kibaguzi, direct entry ndio wamepewa nafasi zaidi vyuoni

nyinyi mnaotaka msome diploma mkajazane udsm mnajiongopea. vyuo vinavotoa nafasi kwenu ni vingi. kuna chuo kwene guidebook kina nafasi nyingi kuliko za wale direct entry na mkopo ni priority. hivi mliisoma guidebook au mlikua mnafata mkumbo wa udsm sua ardhi na mzumbe?
 

ww utaenda muhas na diploma yako wakat mtu ana 1 ya 5 na bado ana wasiwasi anaeza akakosa? mbn unaongea mashudu?
 

Ur so right
 
One ya tano kitu gani. Diploma haiwezi shindanishwa na alevel wewe kwa sababu haziwezi fanana nikujuze tu mwenye diploma tayari ana ujuzi na wewe six bado ulikuwaunafuta ujinga sasa ndio unatakiwa ukasome kazi. Diploma iko ment kwa kazi na ndio maana sera ya nchi inatoa nafasi chache za kuendelea na masomo ya juu la sivyo unamudoa mfanyakazi kazini nawe form six utatibiwa na nani nani atajega barabara nani ata hakikisha umekula nani ataendesha nchi iliwewe uwe na jeuri ya kusema hayo unayoyasema mitoto sa siki hizi bana hata sio mitafiti
 

endelea kubishania usichokijua.
 

gari jipya lina raha yake kuliko la zamani bro!!
 
in realy sense m2 akishindwa kuendelea na digrii either kwa gharama au kwa kupata alama za kusua sua ndo anakimbilia dip mkitoka huko mnaanza bweka ooh cjachaguliwa ud muhas mwaka wako ulikua wap mara brn zsinge kuwepo madogo wacnge pita au ni mfumo 2 serikali tumeamua unakuta mtu advanc kapga 3 ya 16 dip akapga gpa ya 4.3anataka ud muhas kisingizio dip mtabaki kulaumu ila nafas zenu mlisha chezea vyuo chagueni vya kuendana na hadhi zenu 2nahitaji vijana wenye ram inayo chemka ukiangalia dip wachache waliopelekwa ud hata advance walipiga poa wengne kulaumu mwisho ww diploma angalia ulpiga ngapi advance kwanza ndio utaona huendani na chuo unacho lilia mbona brn haikuwepo o level na wakafaulu they are best MJUMBE HAPIGWI HII NI KAULI ALIYOTOA MJUMBE MMOJA WA NGAZI YA JUU SO TUFANYE UCHUNGUZI NDUGU ZANGU MNAOLIA KUNA UKWELI WOWOTE ADV MLIVURUNDA?
 
Kuna mtu nilimfanyia Application, yeye ni Diploma holder. Wakati namfanyia application, yeye alikuwa anataka UDSM na Mzumbe. Kila nikiangalia vyuo vikuu vyote vya umma nafasi kwa diploma hazifiki 10. Nikamwambia wewe hivi vyuo kupata ni ngumu sana, hivi vyuo lazima uwe na G.P.A kubwa sana na nikazidi kumwambia hivi vyuo vipo kwa ajili ya form six. Baadaye nikamuombea vyuo vya NACTE, matokeo ya vyuo hivyo hayajatoka. Nimemwambia ukikosa hivyo vyuo nitatembea u....c.h.i
 

huu ndio ukweli ambao watu wa diploma hawautaki. wanajiona kama wana one ya point nne vle.
 

wanatakaga udsm sua mzumbe na muhas. hasa wenye kelele ni wale wenye gpa ndogo. wenye 1st class huwa wanajitambua na wanajua wanatakiwa kuchagua chuo gani.
 
wanatakaga udsm sua mzumbe na muhas. hasa wenye kelele ni wale wenye gpa ndogo. wenye 1st class huwa wanajitambua na wanajua wanatakiwa kuchagua chuo gani.

Mimi naona huwa wanapotoka kuna wakati, huyu niliyemuombea ni kozi za utawala. Mimi naamini baadhi ya kozi ni bora usome hivi vyuo vya NACTE tu kuliko vyuo vikuu tena kozi baadae zitakuletea usumbufu kwenye ajira kama unapenda kuajiriwa
 

Mkuu pamoja na GPA yako kubwa hapo sijakupata on the link kati ya BRN na wewe kukosa nafasi ya chuo
 
Mimi naona huwa wanapotoka kuna wakati, huyu niliyemuombea ni kozi za utawala. Mimi naamini baadhi ya kozi ni bora usome hivi vyuo vya NACTE tu kuliko vyuo vikuu tena kozi baadae zitakuletea usumbufu kwenye ajira kama unapenda kuajiriwa

sjakuelewa boss
 

huo ujuzi wako si ukupeleke ud sasa!!
 

1 ya 5 kitu gani!? we ulipata ya ngapi. au ndo ulipata 1 ya 3 ukaamua kwenda kufuata ujuzi kwenye diploma!
 
mie nilishapitaga huko zamani na siko level hiyo tena najaribu toa ushauri tu
 
mie nilishapitaga huko zamani na siko level hiyo tena najaribu toa ushauri tu

so ushauri wako ni mwenye 1 ya 5 ni nothing compared to diploma! am very sad of you.
 
Ni kweli kabisa kijana unayo haki kupata elimu pale UDOM kwahyo uwe tyar kule ziko snakes za kutosha maana ni porini,watu wanaenda vyoon bila maji,kuoga ni Mara 1 kwa wiki,scorpion ndo wa kutosha huyo akikuingia kwa pmbu utahisahau hyo diploma yako

Jina lako ni MEMKWA ata mawazo yako unayotoa yamekaa ki #memkwa .
Poor you
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…