Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kupingwa shule Ni soko huria mpeleke huyo wako huko kusiko Ni mi school package waachie wazazi wengine wapeleke huko kwenye mi school package simple.Au mpeleke shule za serikali huwa hawana Cha school package wala homework wakiambiwa Julia tawanyika shule imeishia shuleni.Mpeleke shule za serikali hatapewa homework Wala school package awe primary au secondary .Wakifunga shule wamefunga vitabu na maraftari aweza viacha huko huko shule akarudi likizo mikono mitupu ai enjoy maisha na wewe mzazi wakeHayo madubwasha Yana DUMAZA UBONGO WA WATOTO ila tukisema tutapingwa na wazazi wasio elewa
SI kwa kunishukia huku YehodayaSio kupingwa shule Ni soko huria mpeleke huyo wako huko kusiko Ni mi school package waachie wazazi wengine wapeleke huko kwenye mi school package simple.Au mpeleke shule za serikali huwa hawana Cha school package wala homework wakiambiwa Julia tawanyika shule imeishia shuleni.Mpeleke shule za serikali hatapewa homework Wala school package awe primary au secondary .Wakifunga shule wamefunga vitabu na maraftari aweza viacha huko huko shule akarudi likizo mikono mitupu ai enjoy maisha na wewe mzazi wake
International school bongo ni chache nyingi ya hizo ni English Medium school.Shule zinakaribia kufungwa. Hii maana yake ni nini? Maana yake walimu wamefanya kazi wakamaliza syllabus wamefunzidha vizuri. Wanafunzi mwamesoma vizuri na wamesimamiwa vizuri.
Sasa wanaenda kupumzika kwa mwezi mzima. Ratiba ya shule imeisha inaanza ratiba nyingine ya nyumbani. Mtoto anahitaji kupumzisha akili. Mtoto anahitaji ku socialize na ndugu, majirani marafiki na wanafunzi wenzake toka nchi mbalimbali.
Kama anawea huu ni muda wa kwenda kuanglia tembo anafananaje kule Serengeti.
Kimsingi ratiba ya shule imeisha kwani ratiba ya mwalimu ni vipindi vyake vya darasani. MWalimu mzembe au shule yenye wazembe ndizo hupenda sana kupelekea mambo ya shuleni nyumbani.
Mojawapo ni hili kwamba sasa shule zinafungwa, badala ya mwanafunzi kupumzika wanamrundikia rundo la homework za likizo wanaziita "Holiday Package" na bila aibu zimefikia kiwango cha kutangawzwa mitandaoni.
TUmeuendekeza hadi umekuwa sehemu ya maisha.
Shule za Kimataifa, International Schools hazifanyi jambo hilo, wao wanahakikisha kila kitu mwalimu umemaliza ndani ya dakika 80 za kipindi chako. Shule hizi hukuti hata siku moja mtoto anapewa "Holiday Package" aifany wakati wa likizo, mwalimu wa namna hiyo akifanya anafukuzwa kazi.
Kumbe, hili "Holiday Package hazitakiwi bali ni uzembe tunaoundekeza kwa kushindwa kukagua yanayoendelea mashuleni.
Kinachosababisha ni kwamba baadhi ya wamiliki wa shule wanadhani kuwekeza kuwapata walimu wazuri ni gharama. Mwanzoni hawaajiri walimu wa somo fulani, ikiaribia ndipo wanaajiri. Au kama wamemuajiri utakuta walimu hawalipwi mishahara kwa wakati na wakati mwingine hawalipwi kabisa.
Mwalimu wa namna hiyo lazima ataandaa "Holiday Package" kwa wanafunzi wake, kwa sababu ya uzembe huo ambao hauwezekani kwenye international schools.
shule ziache uzembe, tuhimize kufutwa hizi "Holiday Package" ibaki kwa wale tu wanaozipenda.
Yanadumaza kweli akili ndio maana wahindi huenda na watoto wao kwenye business sisi tuko busy kuwarundikia wanetu mi homework kibao wanasahau hata haki za msingi za mtoto kucheza, pia wazazi wanapenda kusikia watoto wakiongea kingereza huku walimaliza shule hawajui mambo mengine ya kijamii Matokeo Yao wanakuwa tu mzigoHayo madubwasha Yana DUMAZA UBONGO WA WATOTO ila tukisema tutapingwa na wazazi wasio elewa
Sasa watoto sikuhizi wanakila kitu na wanakula mzinga wa kufeliKwanza mimi O level enzi zetu kuwa na kitabu ni deal, sasa mimi kuna masomo nilikuwa na vitabu sikujisumbuwaga kuandika notice kujaza madaftari bila sababu.
Sasa watoto sikuhizi wanakila kitu na wanakula mzinga wa kufeli
Mimi mwanangu hafanyi huo upuuzi yaani kama ni weekend anapumzika anajumuika kwenye social skills zaidi na kuparticipating kwenye social work kwa vitendo mtoto ndo kwanza miaka 4 eti mavitabu kwenye bag 10..hapana hapana.Shule zinakaribia kufungwa. Hii maana yake ni nini? Maana yake walimu wamefanya kazi wakamaliza syllabus wamefunzidha vizuri. Wanafunzi mwamesoma vizuri na wamesimamiwa vizuri.
Sasa wanaenda kupumzika kwa mwezi mzima. Ratiba ya shule imeisha inaanza ratiba nyingine ya nyumbani. Mtoto anahitaji kupumzisha akili. Mtoto anahitaji ku socialize na ndugu, majirani marafiki na wanafunzi wenzake toka nchi mbalimbali.
Kama anawea huu ni muda wa kwenda kuanglia tembo anafananaje kule Serengeti.
Kimsingi ratiba ya shule imeisha kwani ratiba ya mwalimu ni vipindi vyake vya darasani. MWalimu mzembe au shule yenye wazembe ndizo hupenda sana kupelekea mambo ya shuleni nyumbani.
Mojawapo ni hili kwamba sasa shule zinafungwa, badala ya mwanafunzi kupumzika wanamrundikia rundo la homework za likizo wanaziita "Holiday Package" na bila aibu zimefikia kiwango cha kutangawzwa mitandaoni.
TUmeuendekeza hadi umekuwa sehemu ya maisha.
Shule za Kimataifa, International Schools hazifanyi jambo hilo, wao wanahakikisha kila kitu mwalimu umemaliza ndani ya dakika 80 za kipindi chako. Shule hizi hukuti hata siku moja mtoto anapewa "Holiday Package" aifany wakati wa likizo, mwalimu wa namna hiyo akifanya anafukuzwa kazi.
Kumbe, hili "Holiday Package hazitakiwi bali ni uzembe tunaoundekeza kwa kushindwa kukagua yanayoendelea mashuleni.
Kinachosababisha ni kwamba baadhi ya wamiliki wa shule wanadhani kuwekeza kuwapata walimu wazuri ni gharama. Mwanzoni hawaajiri walimu wa somo fulani, ikiaribia ndipo wanaajiri. Au kama wamemuajiri utakuta walimu hawalipwi mishahara kwa wakati na wakati mwingine hawalipwi kabisa.
Mwalimu wa namna hiyo lazima ataandaa "Holiday Package" kwa wanafunzi wake, kwa sababu ya uzembe huo ambao hauwezekani kwenye international schools.
shule ziache uzembe, tuhimize kufutwa hizi "Holiday Package" ibaki kwa wale tu wanaozipenda.
Walimu wa Sasa hamna kitu hasa Hawa wa English medium wanaajiriwa Kwa vile wanajua kingereza ila hawajasoma ualimu na wengi ni kutoka Uganda, Kenya, Hadi Malawi na wengi hawajui skills za ufundishaji na shule nyingi zina focus kufundisha past papers Ili watoto wafaulu tu kwa wingi shule ipate wanafunzi wengi ila vichwani hamna kitu kabisa, walimu wa Sasa na zamani ni tofauti ingawa wazazi wanatoa ada kubwa huko privateKaka,
Hivi umeshakaa na walimu wa sasa hivi? Hawana vitabu kama Abbot, Backhouse uliyosoma, wana rundo la maswali ya past papers wanaita QUESTION BANKING.
Concept hawajui kabisa ndiyo maana failures ni wengi licha ya wingi wa hizi frustrating Home Package.
Kikubwa hawaingii darasani kwa sababu wamiliki hawawapi salary kwa wakati, au hawawapi kabisa.
Kuna upumbavu mwingine eti la saba na la nne lazima wakae boarding kwa ajili ya mitiani, inashangaza sana, wakati mitihani yenyewe karibu watoto wote wanafaulu na hakuna mzazi anayepeleka mtoto wake shule ya kata aliyetoka English medium primary school.Sasa watoto sikuhizi wanakila kitu na wanakula mzinga wa kufeli
Hyo ya kukaa boarding Ili wapige hela za wazazi wajinga sikuhizi watoto wote wanafaulu kwenda form one bila kukaa boarding. Sema design na wizara ya elimu watendaji wamelala maana Kuna madudu mengi ada tu ya private msingi ni kubwa kuliko bachelor halafu walimu wao ni wahuni na unqualified pia mtoto akiwa slow learner wanamfukuza eti atashusha wastani wa shule why focusing kwenye ufaulu zaidiKuna upumbavu mwingine eti la saba na la nne lazima wakae boarding kwa ajili ya mitiani, inashangaza sana, wakati mitihani yenyewe karibu watoto wote wanafaulu na hakuna mzazi anayepeleka mtoto wake shule ya kata aliyetoka English medium primary school.
Ni ujinga mtupu na utapeli utapeli tu bin chupli chupli.
Mwl are you serious??!!watoto wadogo akili inahitaji relaxation bwanaa....kusoma from January to December not fair na mnakomoa mpk walimu mfano June holiday walimu wengi wenye likizo hapo wanashindwa kwenda mnawalazimisha wafundishe kiukweli inachosha,inakera na kuudhi hamjui tuu....!!!Mkuu maisha hayana holiday...kila aliefanikiwa hamalizi kazi zake zote ofisini.japo unaona kama hawana...ukichunguza wana (projects and assignments)....
Usizoeshe wanao kuwa kuna muda ambao mambo yote muhimu yanawekwa pose ili ale bata kwanza.....
Nina uhakika kuwa mtoto wako hasomi international school.
Shule unazolinganisha hazifanani,kwenye ufundishaji,mtaala,hadhi,sinyllabus na hata malengo ya elimu na kadhalika.kwa mfano kuna CBC ya English medium, CBC ya kiswahili,British Carriculum na Cambridge.....
Sasa wewe na Mimi watoto wetu wanasoma CBC ya kayumba alafu unataka waende na curriculum ambayo hata haitambui mitihani kama assessment ya uwezo wa mtoto.
Usikariri.
Mwalimu mkuu hapa.
Mkuu maisha hayana holiday...kila aliefanikiwa hamalizi kazi zake zote ofisini.japo unaona kama hawana...ukichunguza wana (projects and assignments)....
Usizoeshe wanao kuwa kuna muda ambao mambo yote muhimu yanawekwa pose ili ale bata kwanza.....
Nina uhakika kuwa mtoto wako hasomi international school.
Shule unazolinganisha hazifanani,kwenye ufundishaji,mtaala,hadhi,sinyllabus na hata malengo ya elimu na kadhalika.kwa mfano kuna CBC ya English medium, CBC ya kiswahili,British Carriculum na Cambridge.....
Sasa wewe na Mimi watoto wetu wanasoma CBC ya kayumba alafu unataka waende na curriculum ambayo hata haitambui mitihani kama assessment ya uwezo wa mtoto.
Usikariri.
Mwalimu mkuu hapa.
Exactly uwezekano wa kumaliza topics upoo...kama mwl atatumia 80mins zake vzr kabisaa....mbona wapo wanamaliza bila hizo za kwenda likizo!!!kujituma tuu...!!mi sikubaliani na haya mateso ya wanafunzi jamaniMwalimu mkuu,
Japokuwa response yako ina tone ya kejeli khna sehemu nitaziongelea.
Kwanza sijajizungumzia hivyo wanangu wanasoma wapi, hivyo siyo hoja humu.
Ila umeongelea curriculum nalo halikuwa jambo langu. Nilichoongelea ni uzembe wenu walimu kumaliza syllabus tena hiyohiyo ya Wizara.
Mmeweka vipindi hadi vinaitwa REMEDIAL lakini bado hamalizi syllabus.
Kama umemaliza syllabus una haja gani ya Holiday Package.
Umesema hata maofisini ni hivyohivyo, nakukubalia, ila bado ni uzembe vilevile.
Ukiwa kazini piga kazi maliza katika muda wako, zaidi ya hapo ni uvivu tu.
Ni kweli baadhi ya curricullum hazimpimi mtu kwa rundo la mitihani, nyinyi mnaita Question Bank. Hawa walisha research wakaona it was useless and they benefit and they are ruling the world.
Hivyo walimu pigeni kazi wakati wa vipindi vyenu vya darasani. Walipeni walimu mshahara wasihamehame.
Mathematics form 1 ina vipindi 231, sasa utavimalizaje kwa mwaka ukiendekeza uvivu.
Fuateni ratiba, full stop.
Hukoo twisheni kila siku mpk j2 na 500 mkononi!!!Mlete mwanao huku kayumba hatuna cha holiday package mkuu..
Sana mtoto ana miaka 3 au 3 anapewa homework du hatar sanaI think wanangu watasoma kwa Raha sitataka ma too much homework enzi tukiwa tunasoma hapakuwaga na holiday package wala too much homework sikuhizi Hadi chekechea wanapewa homework inasikitisha sana