cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Ni kumzeesha tu mtoto kwa kweliSana mtoto ana miaka 3 au 3 anapewa homework du hatar sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kumzeesha tu mtoto kwa kweliSana mtoto ana miaka 3 au 3 anapewa homework du hatar sana
Mtot wa bro ana miaka 3 kapo midlle class du kila siku mi homework maskin ya mungu mi homework yenyewe hakajui kafanye nn ikifika saa 7:30 kanasinzia bas wanakafanyisha haraka harka kan kwenda lala hata hakajaelewa basi nasema du mungu saidiaNi kumzeesha tu mtoto kwa kweli
Zamani serikali ilikuwaga na shule za technical school wanafunzi walikuwa wanaenda huko form one Hadi form four mnasoma na masomo ka umeme, kwa wasichana kulikuwaga na cookery na niddle work wanajifunza walimaliza form four Wana kitu Cha kufanya tofauti na sasa serikali ilifuta hzo shule na kuanzisha shule za kata na kufuta kilimo ambacho ndio tegemezi kwa wananchi wengiNatamani shule za Ufundi kama mfano VETA zingekua na course fupi fupi hasa za kipindi cha likizo, ambapo mwanafunzi akirudi likizo, anapata muda wa kujiunga kule kwenye ufundi kama kushina nguo, magari, marekebisbo ya mitambo, uhunzi, ufundi mitambo, umeme nk..hata kama ni zile bazics tu..ili mwanafunzi akimaliza darasa lasaba/form 4 nk awe angalau na ujuzi mqingine
Halafu hzo holiday package ni ujanja na uvivu wa walimu kufundisha, mie mwanangu nitamfundisha life skills za kitaa na hata biashara akimudu huko kitaa shule hawezi kukosa na kufeli tofauti na Hawa watoto wa spoon feedingMtot wa bro ana miaka 3 kapo midlle class du kila siku mi homework maskin ya mungu mi homework yenyewe hakajui kafanye nn ikifika saa 7:30 kanasinzia bas wanakafanyisha haraka harka kan kwenda lala hata hakajaelewa basi nasema du mungu saidia
Kweli kabsaHalafu hzo holiday package ni ujanja na uvivu wa walimu kufundisha, mie mwanangu nitamfundisha life skills za kitaa na hata biashara akimudu huko kitaa shule hawezi kukosa na kufeli tofauti na Hawa watoto wa spoon feeding
Kuweza kumpa mwanafunzi kufuzu sio hizi package kwa kweli.Private (english medium) schools ni holiday package, serikali (kayumba) ni hakuna kufunga likizo, ni mitihani kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni, walimu wanataka wanafunzi wafaul wasijepewa vinyago kama walivyopewa walimu wakuu wa shule za Arusha. Mtoto anakuwa anakariri tu, full kuchoka.
Wavivu tu haoExactly uwezekano wa kumaliza topics upoo...kama mwl atatumia 80mins zake vzr kabisaa....mbona wapo wanamaliza bila hizo za kwenda likizo!!!kujituma tuu...!!mi sikubaliani na haya mateso ya wanafunzi jamani
Kingine wazazi siku hizi wanakimbia majukumu yao wamewaachia walimu na wadada wa kazi hapo ndo shida ilipo hapo...
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji11]duhNimempeleka mwanangu pre form one ..nimemkuta kashamaliza topic ya nne physics na masomo mengine...yupo topic ya pili...[emoji41] Shule hz balaa
Halafu hzo holiday package ni ujanja na uvivu wa walimu kufundisha, mie mwanangu nitamfundisha life skills za kitaa na hata biashara akimudu huko kitaa shule hawezi kukosa na kufeli tofauti na Hawa watoto wa spoon feeding
Holiday packages si jambo baya, lasivyo lisingekuwepo kabisa; na hilo neno tusinge kuwa nalo. Mwaka wa masomo hugawanyaa katika likizo nne, mbili fupi yaani ya March na September na Mbili ndefu yaani Juni na Disemba.
Tuna kundi la mitihani ya Mid-Term
Kuna Terminal
Na Annual.
Mtihani wa Terminal hufanyika mwezi Juni, terminal exam maana yake ni upimaji wa maendeleo ya mwanafunzi kabla ya kumaliza mtaala wa somo (term assessment). Hapa ndipo Mwalimu hupaswa kutoa Holiday Package ili kupima umbali mwanafunzi amefikia nusu muhula wa kwanza.
Pia tuna mitihani ya Mid term ya mwezi September, mitihani ile ni ya kufanyia tathmini ya uelewa wa mwanafunzi nusu muhula ya pili, kisha mwezi oktoba na novemba ni kwa ajili ya kurudia maudhui ya mihula yote miwili.
Mtihani wa Annual ni mtihani wa upimaji wa mwisho wa mwaka, likizo ya mtihani huu ndipo mwalimu hapaswi kutoa Holiday Package kwa sababu hafanyi tathmini ya nusu muhula. Mtihani ule sio Assessment ni Examination (cross check) ile ni taarifa ya nini mwanafunzi ameambulia mwaka mzima, na ni taarifa kwa mzazi na Mwalimu juu ya uwezo wa mwanafunzi anayejiandaa kuingia ngazi inayofuata.
Diwani,
Hujaielewa topic hii. Kinachoongelewa ni muda wa mapumziko wa likizo ya mwanafunzi.
Kama mwalimu umemaliza syllabus huna sababu hata ya REMEDIAL, Holiday package.
Tabu ni kwamba shule nyingi hazilipi mshahara walimu wanakuja kuwachukua term ikikaribia kwisha ndipo wanakurupuka na hizi Holiday package.
Nimesema na hujapinga Internation schools hazin kitu kama hicho na wanafanya vizuri.
[emoji16] mbona kama hatujaelewana; mimi nimefafanua holiday packages zinapaswa kutoelewa likizo zipi, si kila likizo ni ya holiday package, but ni utaratibu mzuri, huwezi kumaliza syllabus halafu ukasema the storm is over, huo sio ualimu, lazima uji tathmini na wewe nje ya chanzo chako kama Mwalimu, mwanafunzi anaza kujifunza concept ile ile mahala pengine kwa utashi wa namna gani.
Shule za international sio kwamba hawatoi holiday packages na msiaminishe watu hivyo, shule nyingi ambazo hawatoi ni kutokana na experimentation wanayotumia kupima mwanafunzi, kwa mfano mtaala wa Cambridge kwa shule kama IST
Shule hizi ordinaries zinatoa holiday package kwa sababu mtaala wetu ni academic orientation na experimentation ni kupitia mitihani ambapo results zitasema mwalimu na mwanafunzi mlikuwa mnafanya nini muhula wote
Asante kwa kunielewaNi kweli kabisa na kibaya zaidi wanakwepa majukumu yao mfano nalipa ada milion mbili na nusu alafu mtoto asipofanya vizuri wanasingizia wazazi hamfuatilii watoto wenu kufanya hizo home work sasa mimi huwa najiuliza kazi ya mwalimu ni nini? Yaani mimi nikapambane usiku na mchana kutafuta ada wanayotaka wao alafu pia napewa kazi nyingine ya kumfundisha mwanangu yaani hizi shule ni za kisasa ni bomu kabisa
Naelewa vizuri mitaala yenyewe inayofundishwa na walimu failures?Natamani uelewe maana ya mtaala. [emoji16]
Unaongelea shule za serikali.Huwa hazina packageNo follow up is done kuona kama hiyo holiday package imefanywa. Intimidation ya watoto is the order of the day. Utakuta shule ina wanafunzi 800, wanaosoma biology ni 800, una waalimu wa biology 2, hivi anapata muda gani to go through hizo holiday package yenye average ya maswali 10 na kujua kama kuna tatizo mahali. Tabia mpya sasa ni kuuza handouts ambazo wame copy and paste toka text book.