Elite Bookshop Sabasaba International Trade Fair

Elite Bookshop Sabasaba International Trade Fair

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
ELITE BOOKSHOP SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR

Siwezi kupita duka la vitabu bila kuingia ndani.

Achilia mbali kuwa Elite ndiyo wachapaji wa kitabu changu cha watoto, "The School Trip to Zanzibar," kitabu kinachotumika kusomesha Kiingereza na wakati huo huo mwanafunzi anajifundisha historia.

Walipogundua kuwa ndani ya duka lao la vitabu wametembelewa na mwandishi ambae kitabu chake kipo dukani hapo kwa maonyesho ikawa ghafla pamezuka patashika nguo kuchanika.

Kanisimamia mpiga picha wa video anarekodi kila hatua kila neno ninalowaambia Exhibitors ndani ya duka ambalo kwa hakika linavutia jinsi vitabu vilivyopangwa na vikapangika.

Nimepewa kiti kukaa huku camera ziki-roll Mashaallah!
Let the good times roll!

 
Back
Top Bottom