Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Kwn walimbeba...
Kwhyo unapinga hakukimbia mwenyewe
In effect walimbeba, kwa kuzuia upepo usimpige.

Ndiyo maana hakuna chama cha mbio cha kimataifa kinachoitambua hii mbio.
 
Nimekuliza who holds the world record.
This is not a marathon record.

Soma articles za CNN na The New Yorker nimeweka links hapo juu.

Hizi mbio hazitambuliwi kwa sababu ameweka watu wa kumsaidia asipigwe upepo.

It is not a natural marathon.
 
Eliud kama hana haja ya kuweka record kwa nini anakimbia?

Unataka kusema Eliud hataki kuvunja record ya sub 2 hours bila kusaidiwa na watu wanaozuia upepo usimpige?
Tayari ashavunja record. Wewe nyamaza tu maana huna unachosema hapa. Unakera watu bure.
 
Sasa unapinga nn kumbe hata kwenye riadha hujui mambo yanaendaje...

Kwhyo unataka kusema wale amabao wankua namba 4 na 5 nyuma ya wale watatu katika kikundi cha kwanza cha huaga nao wanasaidiwa na wenzao kisa wameuzia upepo...
Then mbna huaga hawashindi na wakati upo nyuma ya watu wanne hku wenzao wakipasua upepo...

Jealousy, jealousy, jealousy
Uzi huu si wangu, ni wa Kipchoge.

Mimi si mwanariadha, sasa utanipaje challenge ya wanariadha?
 
Hawa wenzake walianzia katikati au ni vipi maana sielewi?
 
Nani kakwambia ni record ya marathon...
He is already a world record holder..alichukua last year berlin...

Huyu ni mtu mwenye maona...si kila kitu ungoje mpka wengine wapange ndio ukafanye ..jaribu na wewe kufanya mambo yako kivyako..
 
This is not a marathon record.

Soma articles za CNN na The New Yorker nimeweka links hapo juu.

Hizi mbio hazitambuliwi kwa sababu ameweka watu wa kumsaidia asipigwe upepo.

It is not a natural marathon.
wewe ni chizi mda mrefu tu akili yako haipo sawa
 
Tayari ashavunja record. Wewe nyamaza tu maana huna unachosema hapa. Unakera watu bure.
Record gani? Inayotambuliwa na chama gani?

Kasaidiwa na watu kuzuia upepo, kasaidiwa na watunza muda.

Not a natural marathon.

Arudie tena kukimbia bila kusaidiwa hivyo, akiweza kukimbia ndani ya masaa mawili hapo kuna kitu kipya cha kusheherekea.

Vinginevyo what is the difference between this and doping?

Vyote viwili ni kutumia artificial assistance to run a certain distance in a certain time.

This is just like doping.

That is why no respectable body of athletics recognizes this as a record.
 
Hakuna chama cha riadha cha kimataifa kinachoitambua hii kama world record.

Hao wa 4 na 5 huwa hawa arrange a deliberate set of people to run ahead to give them an advantage against the wind.

This is like doping. No difference.

Siwezi kuwa na jealousy na mtu ambaye si competitor wangu, mimi sinmwanariadha, sasa jealousy itaanzia wapi?
 
Wamerekani ndio wenye wanajua kila kitu...wakisema basi ndio kwel...
Mbona basi data zao jiwe anazikataa na hku mkiwaita mabeberu...mnafiki mkubwa wewe
This is not a marathon record.

Soma articles za CNN na The New Yorker nimeweka links hapo juu.

Hizi mbio hazitambuliwi kwa sababu ameweka watu wa kumsaidia asipigwe upepo.

It is not a natural marathon.
 
Huyo jamaa ako na ujinga kwa DNA.
 
Magufuli amechangi sana Kipchoge kushinda,kwakuwa nchi za afrika mashariki yeyre ndiye mwenyekiti
 
Wewe nimeona ni malaya. Sina la ziada.
 
But it's a record. That's the bitter truth.
Hakuna chama cha riadha cha kimataifa kinachoitambua hii kama world record.

Hao wa 4 na 5 huwa hawa arrange a deliberate set of people to run ahead to give them an advantage against the wind.

This is like doping. No difference.
 
What is a marathon according to you?
 
Wamerekani ndio wenye wanajua kila kitu...wakisema basi ndio kwel...
Mbona basi data zao jiwe anazikataa na hku mkiwaita mabeberu...mnafiki mkubwa wewe
Mimi mwenyewe Mmarekani na sijawahi kumuita Mmarekani beberu.

Usikariri nyambafu wewe.
 
Heheeeee!!mbna basi iaaf wamempongeza...
Jibu swali langu kwanza, no.4 ba 5 katika marathon kulingana na akili zako ai huaga baridi haiwapati kwa sababu ya wale watatu walioko mbele katika kikundi cha kwanza...

Mbna basi huaga hawashindi na wakati wenzao wanapasua upepo hku wao wakiwa nyumba km wasindikizaji katika kundi[emoji1787][emoji1787]
Hakuna chama cha riadha cha kimataifa kinachoitambua hii kama world record.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…