Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

He is the one holding the current world record, his own, but here he was only trying to prove the possibilities of running 42km in under 2 hours.
Akisaidiwa na watu waliozuia upepo usimpige.

Hili ni jambo ambalo watu hawalisemi.

That is not a natural marathon.
 
Eliud kama hana haja ya kuweka record kwa nini anakimbia?

Unataka kusema Eliud hataki kuvunja record ya sub 2 hours bila kusaidiwa na watu wanaozuia upepo usimpige?
 
Fanya wewe basi tuone km utamaliza...wakuwekee basi haswa wacha watu...

NO HUMAN IS LIMITED
 
Fanya wewe basi tuone km utamaliza...wakuwekee basi haswa wacha watu...

NO HUMAN IS LIMITED
Uzi huu si wangu, ni wa Kipchoge.

Mimi si mwanariadha, sasa utanipaje challenge ya wanariadha?
 
Kwn walimbeba...
Kwhyo unapinga hakukimbia mwenyewe
This is not an IAAF record.

Wamempongeza tu kama watu wanavyompongeza JF.

Unabisha?

Kipchoge ametengeneza artificial conditions za kumsaidia kushinda.

This is not a natural marathon.
 
Sindano hyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii si rekodi ya marathon.

Kakimbia kwa kusaidiwa na watu waliozuia upepo usimpige.

Eliud Kipchoge is a great runner, he has a wirld record and all.

Lakini hapa kaanzisha mchezo mpya, hizi si mbio za marathon. Ni mbio za kusaidiwa na watu usipigwe na upepo labda.
 
World record of running a marathon in 2hrs
This is not a marathon record.

Soma articles za CNN na The New Yorker nimeweka links hapo juu.

Hizi mbio hazitambuliwi kwa sababu ameweka watu wa kumsaidia asipigwe upepo.

It is not a natural marathon.
 
Umasikini unamfanya mtu kuwa na roho mbaya!Hebu ona wazungu wameenda kumshangilia mtu hata wasiyemjua!Sababu kuu wanajua breakfast watakula nini au wamekula nini,watoto ada zimelipwa,hawaiwazii kesho chakula cha watoto wala ada wala matibabu wala usenge mwingine.Wanapesa.Sisi ni maskini,tuna roho mbaya na wivu.Tunajua tu kuwarekodi wenzetu hata tukipewa papuchi,Tunawakamatisha wakufunzi wakati wameomba papa!Roro mbaya ya umasikini!
 
So you want to tell us that there was no wind getting into Eliud's body?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
A Alishakimbia hivyo mwaka uliopita na kuvunja world record. Wewe una upuzi sana. Mtu tayari ana world record halafu kaomba asaidiwe kuvunja sub 2 hours lakini wewe na wivu ya punda unaleta miwivu humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…