Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

He is the one holding the current world record, his own, but here he was only trying to prove the possibilities of running 42km in under 2 hours.
Akisaidiwa na watu waliozuia upepo usimpige.

Hili ni jambo ambalo watu hawalisemi.

That is not a natural marathon.
 
Nani amepinga? Eliud hana haja ya kuweka record kwani tayari ana world record. Hapa alikuwa anajaribu kuweka historia kuwa binadamu wa kwanza kukimbia marathon chini ya masaa mawili. Ndio, hii ya leo hajavunja world record lakini amevunja historia bado na ataingia Guiness world book of records. World record alivunja Berlin mwaka uliopita.wacha kupingana na sisi kwani sisi ndio wenyeji tunajua haya mambo.
Eliud kama hana haja ya kuweka record kwa nini anakimbia?

Unataka kusema Eliud hataki kuvunja record ya sub 2 hours bila kusaidiwa na watu wanaozuia upepo usimpige?
 
Fanya wewe basi tuone km utamaliza...wakuwekee basi haswa wacha watu...

NO HUMAN IS LIMITED
World record hata wewe unaweza kuanzisha.

But who are you beating? Which record are you breaking?

Huu mchezo wa kukimbia huku watu wanazuia upepo usikupige haujawahi kufanyika, hivyo msilinganishe kukimbia huku watu wanazuia upepo usikupige na kukimbia naturally.

 
Fanya wewe basi tuone km utamaliza...wakuwekee basi haswa wacha watu...

NO HUMAN IS LIMITED
Uzi huu si wangu, ni wa Kipchoge.

Mimi si mwanariadha, sasa utanipaje challenge ya wanariadha?
 
Kwn walimbeba...
Kwhyo unapinga hakukimbia mwenyewe
This is not an IAAF record.

Wamempongeza tu kama watu wanavyompongeza JF.

Unabisha?

Kipchoge ametengeneza artificial conditions za kumsaidia kushinda.

This is not a natural marathon.
 
Sindano hyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii si rekodi ya marathon.

Kakimbia kwa kusaidiwa na watu waliozuia upepo usimpige.

Eliud Kipchoge is a great runner, he has a wirld record and all.

Lakini hapa kaanzisha mchezo mpya, hizi si mbio za marathon. Ni mbio za kusaidiwa na watu usipigwe na upepo labda.
 
World record of running a marathon in 2hrs
This is not a marathon record.

Soma articles za CNN na The New Yorker nimeweka links hapo juu.

Hizi mbio hazitambuliwi kwa sababu ameweka watu wa kumsaidia asipigwe upepo.

It is not a natural marathon.
 
Umasikini unamfanya mtu kuwa na roho mbaya!Hebu ona wazungu wameenda kumshangilia mtu hata wasiyemjua!Sababu kuu wanajua breakfast watakula nini au wamekula nini,watoto ada zimelipwa,hawaiwazii kesho chakula cha watoto wala ada wala matibabu wala usenge mwingine.Wanapesa.Sisi ni maskini,tuna roho mbaya na wivu.Tunajua tu kuwarekodi wenzetu hata tukipewa papuchi,Tunawakamatisha wakufunzi wakati wameomba papa!Roro mbaya ya umasikini!
 
So you want to tell us that there was no wind getting into Eliud's body?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii si rekodi ya marathon.

Kakimbia kwa kusaidiwa na watu waliozuia upepo usimpige.

Eliud Kipchoge is a great runner, he has a wirld record and all.

Lakini hapa kaanzisha mchezo mpya, hizi si mbio za marathon. Ni mbio za kusaidiwa na watu usipigwe na upepo labda.
 
A
You have failed to ask a question.

You posed a vague question.

I answered you a musical album is a record.

Ukisema a record is achieving what was never done before, hata wewe unaweza kuanzisha kitu ambacho hakijafanywa ukasema una record.

But that does not mean anything, because there is no comparison point.

Ningemuona Kipchoge ni champion kama angekimbia hivyo bila watu wa kumsaidia asipigwe na upepo.
Alishakimbia hivyo mwaka uliopita na kuvunja world record. Wewe una upuzi sana. Mtu tayari ana world record halafu kaomba asaidiwe kuvunja sub 2 hours lakini wewe na wivu ya punda unaleta miwivu humu.
 
Back
Top Bottom