Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Kiptchoge.....marathon runner
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akisaidiwa na watu waliozuia upepo usimpige.He is the one holding the current world record, his own, but here he was only trying to prove the possibilities of running 42km in under 2 hours.
Vipi na yule mkenya aliyeolewa south hawataonesha live akitinduliwa marinda?
Bottom line, popote utakaposoma, this is not a marathon record.
Ni matangazo ya biashara za watu tu.
OK, let's do this, who holds the world record?Akisaidiwa na watu waliozuia upepo usimpige.
Hili ni jambo ambalo watu hawalisemi.
That is not a natural marathon.
Eliud kama hana haja ya kuweka record kwa nini anakimbia?Nani amepinga? Eliud hana haja ya kuweka record kwani tayari ana world record. Hapa alikuwa anajaribu kuweka historia kuwa binadamu wa kwanza kukimbia marathon chini ya masaa mawili. Ndio, hii ya leo hajavunja world record lakini amevunja historia bado na ataingia Guiness world book of records. World record alivunja Berlin mwaka uliopita.wacha kupingana na sisi kwani sisi ndio wenyeji tunajua haya mambo.
World record hata wewe unaweza kuanzisha.
But who are you beating? Which record are you breaking?
Huu mchezo wa kukimbia huku watu wanazuia upepo usikupige haujawahi kufanyika, hivyo msilinganishe kukimbia huku watu wanazuia upepo usikupige na kukimbia naturally.
Weiterleitungshinweis
www.google.com
Tusiwaige kwenye huo udhaifu waoWewe wakenya kwenye mambo mazuri huwa hawasemi EA ila kwenye mambo mabaya ndo huwa wanajumisha EA nzima 😂😂😂
See how ignorant you are, so you know better than IAAF? The official body in charge of athletics?
Are we talking about the world record or running a marathon in under 2 hours?OK, let's do this, who holds the world record?
Yap, hilo hatutawaiga kabisaTusiwaige kwenye huo udhaifu wao
Uzi huu si wangu, ni wa Kipchoge.Fanya wewe basi tuone km utamaliza...wakuwekee basi haswa wacha watu...
NO HUMAN IS LIMITED
This is not an IAAF record.
Wamempongeza tu kama watu wanavyompongeza JF.
Unabisha?
Kipchoge ametengeneza artificial conditions za kumsaidia kushinda.
This is not a natural marathon.
Are we talking about the world record or running a marathon in under 2 hours?
Uzi huu si wangu, ni wa Kipchoge.
Mimi si mwanariadha, sasa utanipaje challenge ya wanariadha?
Hii si rekodi ya marathon.Sindano hyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
This is not a marathon record.World record of running a marathon in 2hrs
Hii si rekodi ya marathon.
Kakimbia kwa kusaidiwa na watu waliozuia upepo usimpige.
Eliud Kipchoge is a great runner, he has a wirld record and all.
Lakini hapa kaanzisha mchezo mpya, hizi si mbio za marathon. Ni mbio za kusaidiwa na watu usipigwe na upepo labda.
Alishakimbia hivyo mwaka uliopita na kuvunja world record. Wewe una upuzi sana. Mtu tayari ana world record halafu kaomba asaidiwe kuvunja sub 2 hours lakini wewe na wivu ya punda unaleta miwivu humu.You have failed to ask a question.
You posed a vague question.
I answered you a musical album is a record.
Ukisema a record is achieving what was never done before, hata wewe unaweza kuanzisha kitu ambacho hakijafanywa ukasema una record.
But that does not mean anything, because there is no comparison point.
Ningemuona Kipchoge ni champion kama angekimbia hivyo bila watu wa kumsaidia asipigwe na upepo.