Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane

Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane

Slave mambo vipi,
Nilikupa ushauri wa bure hamia town unanizirau;
si unaona unavyokosa vitu vya mujini? ha ha ha utani tu lakini.

kalagabaho!! muulize Mamndenyi akupe full story hawa watu wanapendana ndani kwa ndani hawajionyeshi kwa watu

Last edited by a moderator:
nimeufuatilia huu uzi kwa makini ila nikasema sichangii hadi nitakapo sikia kauli yako shem, now umetoa la moyoni japokuwa umeongea kiutatautata.......!
Lady doctor,.....

Shem nimeshangaa hao waliotoa 'Likes'Kwenye hii thread ya Erickb52 kumbe walikua hawapendi uhusiano wetu na Madame B? Au ndo wamependa tuwe na Elizabeth Dominic maana Likes zao pia ni Utata!

Last edited by a moderator:
Lady doctor,.....

Shem nimeshangaa hao waliotoa 'Likes'Kwenye hii thread ya Erickb52 kumbe walikua hawapendi uhusiano wetu na Madame B? Au ndo wamependa tuwe na Elizabeth Dominic maana Likes zao pia ni Utata!

shem wewe ndio mtoaji maamuzi wa mwisho ujue, kauli yako ndio yaweza kufanya watu waendelee kusheherekea au wanyamaze kabisa...!
Sasa na wewe usijenge utata tuambie moja Eliza au Madam!

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Slave mambo vipi,
Nilikupa ushauri wa bure hamia town unanizirau;
si unaona unavyokosa vitu vya mujini? ha ha ha utani tu lakini.
hata kwa mawe siwezi kuhamia mjini nitakuwa nakiuka utaratibu wa baba wa taifa ule wa kujitegemea alitutoa mjini akatuleta huku kijijini na sasa tumezoea hatuna tena mawazo ya vyakula vya kupima

By Erickb52

Shem huyu Ben Saanane anampenda sana Elizabeth Dominic sema akiikumbuka mimba walompa Madame B anaweweseka

Erick haya mapinduzi yako ya kuvunja ndoa za watu mi nimeshaanza kukuogopa

cc: Madam B, Ben Saanane
Wala usiniogope....mimi ni muidhinishaji tu wala sina kosa...nafanya kwa kufuata maelekezo...utashi wangu sio saaana ni waoawao

shem wewe ndio mtoaji maamuzi wa mwisho ujue, kauli yako ndio yaweza kufanya watu waendelee kusheherekea au wanyamaze kabisa...!
Sasa na wewe usijenge utata tuambie moja Eliza au Madam!

Hahahahaaa Lady doctor huyu jamaa ( Ben Saanane ) hakawii kusema Wote ni wake....hahahaaaa

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom