Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane

Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane

hata kwa mawe siwezi kuhamia mjini nitakuwa nakiuka utaratibu wa baba wa taifa ule wa kujitegemea alitutoa mjini akatuleta huku kijijini na sasa tumezoea hatuna tena mawazo ya vyakula vya kupima

Bora ubaki hukohuko ili tuendelee kupata kuku wa kienyeji
 
lol karibu sana shemkwe...salamu kwa mabinti wote zitafika
watu8 post yako haijazingatia haba langu....ulipaswa kusema Karibuni na sio Karibu....haji mwenyewe coz dunia haiaminiki siku hizi....
ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kutii wosia.
hata kwa mawe siwezi kuhamia mjini nitakuwa nakiuka utaratibu wa baba wa taifa ule wa kujitegemea alitutoa mjini akatuleta huku kijijini na sasa tumezoea hatuna tena mawazo ya vyakula vya kupima
 
Back
Top Bottom