Taarifa hii ni ya kweli 100%, na ilipigwa muhuri tarehe 27.10.2013 mbele ya wafuatao; Filipo, PakaJimmy, Mzee wa Rula KIBANGA Ampiga Mkoloni, Passion Lady Cantalisia Elizabeth Dominick Lady doctor Erickb52 Ben Saanane na mimi mwenyewe.
Hello wana Chitchat!
Ninaomba mpokee taarifa ya mahusiano mapya kati ya Elizabeth Dominic na Ben Saanane kuanzia leo.
Nimeyafiki mapinduzi haya kwa kuwa Madame B anamiliki SACCOS ya wanaume wakati Elizabeth Dominic hana wa kumpetipet. Tabia hii ya SACCOS ya Madame B imekuwa ikimuumiza sana Ben Saanane na kumnyima usingizi akiwaza ni lini atapata mke wake peke yake...! Hivyo leo wameamua kuungana na huyu kimwana kuwa kitu kimoja ili awe ana bofya akijisikia na sio kupangishwa foleni kama yuko clinic!
Nawatakia maisha mema ya ndoa yao!
I remain
Erickb52
Mwenyekiti wa Mahusiano
Special Copy: Madame B
Cc Arushaone Bishanga Chocs Arabela Filipo The secretary Mamndenyi Kaizer DEMBA sosoliso Paloma amu Heaven on earth Lady doctor charminglady C6 Fixed Point SnowBall gfsonwin snowhite Dark City sweetlady Blaki Womani PakaJimmy Mungi LiverpoolFC nitonye Avemaria beibe nasty Preta watu8 ladyfurahia measkron -@stevoh kiwatengu shansarie Passion Lady Mtoto halali na hela Mentor TANMO Ruttashobolwa-Mr Rocky Dena Amsi Slave KakaKiiza Nivea mimi49 zubedayo_mchuzi mwallu Mrembo by Nature Mzee Kongosho Baba V Mzee wa Rula marejesho Nicas Mtei Asprin chama-
mie alinambia Ben Saanane ndio muhusika.......
Madame B mwaka huu wake,najua pamoja na kumiliki wanaume wengi ila kwa Ben Saanane ndiyo ilikuwa chaguo lake
Kama huamini kaa chonjo....mapenzi yangu au mapenzi yetu na Ben Saanane ni ya kipekee, mi nasema ya kidigitali zaidi na kama alivyosema Erickb52 hapa ni touch screen tu hamna kubofyabofya na mipango ya Saccos. Umenipata?
Nimeku-miss mpaka jasho linanitoka na kutetemeka!
Nasikia ndoa yako na Mzee wa Rula ndo kifuatacho aitivii.
huyu Erickb52 nae ni majanga tuu ndugu yangu, mwenyekiti gani anaruhusu mapinduzi katika mapenzi utafikiri tupo jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo??
Yethu wangu... Kumbe safari yooote alopanga Elizabeth Dominic ilikuwa ni ya kwenda kufanya hivi........
I salute u mamito!!!
Wapi ubwabwaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
we chekelea tu ngoja na wewe upinduliwe. Madame B usikubali kuachia ngazi kirahisirahisi banana hadi kieleweke.
yani we ndio umempindua madame wewe....
Makofiii..makofi tafadhali...