Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane

Huyo Bujibuji hata bure simtaki.
Mwanaume gani anakunywa mpaka anasahau nyumba yake.
Madame B, siku ile nilizuga tu ili nipate huruma yako, nilale kwako. Huoni tulivyo u saula tu pombe yote ilivyokata? Unakumbuka nilivyosimamia kucha hadi jua la saa nne asubuhi? Unakumbuka ulivyokuwa ukiipepea tukuyu baada ya kuepelekewa moto wa gesi?

chama unaongea sana na wewe, mi mwenzako ni mtu wa action tu, bila kujalisha ni mbinu dhaifu kiasi gani nitaitumia, lakini mwisho wa siku lazima nile kuku na mchele wake
 
Last edited by a moderator:
Pumzika my wii usijepata presha ya kushuka na ujauzito wako...afu Ben Saanane ahusike hapo asije akakimbia majukumu


BTW nlikumiss mno wifi yangu..msalmie wifi mkubwa ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
hahaaa Madame B ko hii taarifa sio ya ukweeee

we wajua kupenda hujui kuachwa nimeipenda hiyo
 
Last edited by a moderator:
halafu Madam B...Usijipatie presha,kwa afya ya kijacho pliiz.
 
Last edited by a moderator:
kaka Erickb52 umechokoza chuki hapa ona wanavyotoka kama siafu
shauriro ukibondwa tumwite shem sosoliso akusaidie maana hapa
patachimbika nionavyo mm
Pumzika my wii usijepata presha ya kushuka na ujauzito wako...afu Ben Saanane ahusike hapo asije akakimbia majukumu


BTW nlikumiss mno wifi yangu..msalmie wifi mkubwa ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
yaani besti nimeshangaa kuona wanavyojishaua hapa jamvini
ikabidi nitupe karata kusema unakaribishwa huku kumbe sivyo


achana nao hao wanaoharibu ndoa za watu tena wako wengi
na huyu anayejiita jinala baba yangu huyu nikimkamata
wewe mwache tu kwani ndiye aliyeniharibia mie

Sijaachika dada.
Erickb52 na Elizabeth Dominic wanajifurahisha tu.
 
afadhali tumepata rais wa TFF jf CC karibu bestito
Nimekaa hapa nawasikiliza tu.. leo angalau ndo nimefumbua macho na angalau nakumbuka hata jina na jinsia yangu baada ya kunywa mfululizo tangu alipotangazwa raisi mpya wa TFF.. bili yao nimewaandikia cheque asubuhi hii dadadeki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…