Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Ulitaka aolewe na nani kama si mwanaume?
 
Wanalia kwa uchungu sana , Jana ilikua siku mbaya kwa mastaa kama hamisa , wema , irene uwoya , wolper , yani wivu umewajaa kama nawaona
Irene naye yumo kwenye wivu yeye si ana mme tayari na alishawahi funga ndoa ngoja na wenzie waonje maisha
 
sasa mbona huyo majizo kavaa kimajizo majizo tu?
 
Sahivi hadi naongea kikenya ha ha ha haaaaaa
 
Huyu lulu sialisema yeye hataki mtu mwingine amuoe zaidi ya yule mmarekani mwimba miziki sijui wanamuita jastini beiba

Amahakika jela imemfunza kuwa hata hapa bongo waoaji wapo
hahaa
 
Reactions: Paa
Kwani yule dada aliyemchumbia ncha kali mbona anamwili wa kizembe pia kama Dina sema yeye mweupe usikute huyo ncha kali ndio swaga zake
Kumbe kashachumbia kungine jamani!daah!dina jamani Mungu amuone
 
Write your reply...Dina anajionaga anajua kila kitu hapendagi kukosolewa kabisaa. na ukimzidi kidogo tu kosa yaani yeye awe juu siku zote ndiyo mtaelewana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…