Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Juzi nilikunywa pombe sasa kurudi home wife kalianzisha timbwili timbwili, nikataka kuzabua vibao japo viwili ghafla ikanijia Kifo cha kanumba aaaaah nikaghairi pale pale nikaenda chumba cha mtoto nikaangusha zangu hadi asubuhi.

Wanawake wanaongoza kusababisha vifo vya wenza wao kwa asilimia kubwa sana, halafu bila aibu anaolewa na mwanaume mwingine ptuuu.
Ulitaka aolewe na nani kama si mwanaume?
 
Wanalia kwa uchungu sana , Jana ilikua siku mbaya kwa mastaa kama hamisa , wema , irene uwoya , wolper , yani wivu umewajaa kama nawaona
Irene naye yumo kwenye wivu yeye si ana mme tayari na alishawahi funga ndoa ngoja na wenzie waonje maisha
 
Analiaje sasa hvi , na alivyokua obsessed na diamond mwenyewe kila akijojiwa anamsifia diamond , diamond alichomfanya naona Hana hamu🤣🤣🤣, sasa hvi sifa kwa baba fantasy ,sema baba fantasy sasa hvi mume mtarajiwa wa lulu , maisha haya

Hamisa anavuna alichopanda, Kakosa kwa majizzo, kakosa kwa diamond , mi nikikumbuka tu alivyokua akisijisifia pussy so good nacheka mbavu sina
Sahivi hadi naongea kikenya ha ha ha haaaaaa
 
Huyu lulu sialisema yeye hataki mtu mwingine amuoe zaidi ya yule mmarekani mwimba miziki sijui wanamuita jastini beiba

Amahakika jela imemfunza kuwa hata hapa bongo waoaji wapo
hahaa
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Kwani yule dada aliyemchumbia ncha kali mbona anamwili wa kizembe pia kama Dina sema yeye mweupe usikute huyo ncha kali ndio swaga zake
Kumbe kashachumbia kungine jamani!daah!dina jamani Mungu amuone
 
Write your reply...Dina anajionaga anajua kila kitu hapendagi kukosolewa kabisaa. na ukimzidi kidogo tu kosa yaani yeye awe juu siku zote ndiyo mtaelewana.
 
Back
Top Bottom