Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi kweli jamani akalale tena mweeeeKalale tena umuote demu mwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi kweli jamani akalale tena mweeeeKalale tena umuote demu mwingine.
Ulitaka aolewe na nani kama si mwanaume?Juzi nilikunywa pombe sasa kurudi home wife kalianzisha timbwili timbwili, nikataka kuzabua vibao japo viwili ghafla ikanijia Kifo cha kanumba aaaaah nikaghairi pale pale nikaenda chumba cha mtoto nikaangusha zangu hadi asubuhi.
Wanawake wanaongoza kusababisha vifo vya wenza wao kwa asilimia kubwa sana, halafu bila aibu anaolewa na mwanaume mwingine ptuuu.
Irene naye yumo kwenye wivu yeye si ana mme tayari na alishawahi funga ndoa ngoja na wenzie waonje maishaWanalia kwa uchungu sana , Jana ilikua siku mbaya kwa mastaa kama hamisa , wema , irene uwoya , wolper , yani wivu umewajaa kama nawaona
Kweli kabisa Irene ndoa 2 Mungu ampe nini sasaUwoya alishaolewa Mara mbili ya kiislamu na kikristoo!!!Wengine wale pale ndo kazi wanayo!!!hakuna kitu kibaya kama hichoo...!!
Ataolewa tu siku ikifikaMwenzenu natamani dina marios aolewe ujue basi tu!!
Kama saivi kanenepeana lol hahahaDina is so decent but she doesn’t know how to put herself together.
Sahivi hadi naongea kikenya ha ha ha haaaaaaAnaliaje sasa hvi , na alivyokua obsessed na diamond mwenyewe kila akijojiwa anamsifia diamond , diamond alichomfanya naona Hana hamu🤣🤣🤣, sasa hvi sifa kwa baba fantasy ,sema baba fantasy sasa hvi mume mtarajiwa wa lulu , maisha haya
Hamisa anavuna alichopanda, Kakosa kwa majizzo, kakosa kwa diamond , mi nikikumbuka tu alivyokua akisijisifia pussy so good nacheka mbavu sina
hahaaHuyu lulu sialisema yeye hataki mtu mwingine amuoe zaidi ya yule mmarekani mwimba miziki sijui wanamuita jastini beiba
Amahakika jela imemfunza kuwa hata hapa bongo waoaji wapo
Okay aendelee kutafuta ndoa kwa waganga ha ha haHapana Missa Muislam majizzo mkristo!!!wangeishia bomani ndoa ambayo wala sio ya ndoa kidini
HahaaHongereni,
Naona kaoa mwanae!!
DuuOkay aendelee kutafuta ndoa kwa waganga ha ha ha
Atapata!!hata Lulu ashawahi kutwa na mahirizi live!!!ila Leo kachumbiwa!![emoji2] [emoji23] [emoji2] [emoji2]Okay aendelee kutafuta ndoa kwa waganga ha ha ha
Ncha kali unamuonaje alivyo sasa na Dina mwenyewe anavyojiweka kizembe wangeendana kweli? Pale labda fainali uzeeni
Kumbe kashachumbia kungine jamani!daah!dina jamani Mungu amuoneKwani yule dada aliyemchumbia ncha kali mbona anamwili wa kizembe pia kama Dina sema yeye mweupe usikute huyo ncha kali ndio swaga zake
also ni muongeaji mjuaji sana, kuna siku nlimkuta pale anapopika nlishangaa jinsi anavyowasaula wenzie lol!Dina is so decent but she doesn’t know how to put herself together.